Yesu aliuwawa na kumbuka Yesu alikuja kwa kusudi maalumu hapa duniani na hakuwa mwanadamu kama mimi na wewe. Alikuwa mwanadamu kwa asilimia 100 maana alivaa, alikula, alisikia maumivu n.k na alikuwa ni Mungu kabisa kwa asilimia 100. Mwana pekee wa Mungu, aketiye Mkono wa Kuume wa Mungu baba, Yesu pekee ndie Mwana wa Mungu, ndio limbuko letu, ndie mkombozi, ndie atakayetuhuishi tena ile siku ya mwisho. Hakutakuwa na hukumu ya adhabu juu ya walio kwa kristo Yesu.Bwana Yesu alikufa na miaka mingapi?
Isaya 9:6