TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Kwa Mama Ngoma ni kidispensary?sio kweli mmewe kama sikosei ana kitendo kwenye masuala ya Kansa na ukiwa na pesa ukienda pale unahudumiwa vzr mpk Kansa wanapiga mionzi km sijakosea
Adam Kuambiana Alifia Mama Ngoma Hospital
 
Ngoja nilale tu labda naota ndoto ........agnec masogange siamini naona Kama naota ngoja kuche tu kwanza
 
Haina shida, hiyo habar imekaa kinafiki sana ndomana nime jbu kinafiki na mimi. Agnes haja faliki hiyo ni habar ya uzushi tu
I see. Najua utakuja kukanusha. Na quote kabisa. Baso unaamini ni uzushi?
 
HABARI ZIMETHIBITISHWA,TAYARI MWILI WAKE UMEHIFADHIWA MOCHWARI MUHI2
RIP MASOGANGE
UMEKUFA NA [HASHTAG]#MZIGO[/HASHTAG] WAKO MATATA
 
Asante na niwie radhi kwa nilichoandika... Ila Sidhani kama kitabadili ukweli.... Lugha imekuwa ya ukakasi kidogo lakini inapobidi lazima itumike...
Mmh...
Aliowatanguliza?atakutana nao akhera....wakati kaacha binti!
Uhakika upo hapo au ndio...??
 
mkuu kuna watu wanadhambi kama viongozi wa mataifa "" hizo dhambi alizonazo zakawaida tu ..kutoa .mimba .kuliwa either papuchi au 0712...na ukimuona mtu anaanza kumnyooshea mwenzie kidole kuhusu kuwa mdhambi ...aisee weka pause"" Maana hakuna aliyemsafi "" vifua vyetu vimehifadhi mengi mnoo"""
Kweli mkuu...
Mijitu mingine inapenda sifa kama kidonda cha kichwa!
 
Wadau nipo studio namalizia songi la kumsindikiza masogange


Najua Dada zetu wameshachagua rangi ya sare za madela kesho mapema wakanunue
 
Matoleo ya kafara za kuhamisha mawazo ya watu kuelekea 26/4
Naona kiki za wiki iliyopita hazijatosha na pia ajali za mabasi mfululuzo ikiwemo basi kuungua juzi likiwa na abiiria Ndani bado haitoshi

Kuelekea wiki ijayo ma super star kuweni Makini mtatolewa Sana sadaka kama hii ya Masogange haitatosha kusababisha social media zisahau 1.5 t na 26 April

Paulo kamtoa demu wake kafara

Mungu amrehemu Binti wa watu
Mmh...[emoji40][emoji40]
 
[HASHTAG]#REF[/HASHTAG];TAARIFA YA HABARI ITV
REF:SHILAWADU CLOUDS TV
MASOGANGE RIP,MWILI UMEFIKA MUHI2 SAA 18:30 TOKA MAMA NGOMA HOSP
 
RIP Agines.
Mnaochangia Mkumbuke marehemu hasemwi/hasimangwi.
Watakumbuka wapi ...wakati wao wanafanya ni wasafi??
Wanga jaani haoooo.. .
Sawa pamoja na udhaifu wake....lakini angalau basi mtu atumie lugha nyepesi....
Unaona twana linakurupuka na kichwa chake bununu lina tapika tu...kwa Mungu si mbaya pengine alitubu.. na sisi hatujui tutakufaje...pengine juu ya kinena...kwa zinaa hiyo hiyo...
Tartibu waungwana....nani msafi kama mtoto mchanga hapa ?
 
Back
Top Bottom