TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Kwanza poleni wanafamilia kwa msiba wa msanii Agnes Masogange na kila mpenda sanaa Tanzania ni kifo kilichomshtua kila mmoja.

Ili kila mmoja aweze kushiriki mazishi ya mrembo huyo ningeishauri familia wapange mazishi ya msiba huo yawe siku ya sikukuu ya Muungano maana ni siku ambayo wale wapenzi ambao ni wafanyakazi ni rahisi kupata muda wa kushiriki mazishi hayo.

Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.Amen
Haujafikiria kuwa utakuwa umeandamana?
 
Kwani typhoid haitibiki?[/QUOTE
Kwani malaria haitibiki?Mbonai Typhoid inatibika ila ikishafika stage ya mwisho bila matibabu inaweza kukuua na imeshaua wengi tu. Miaka kadhaa iliyopita ilimbeba jamaa yangu.
Dhambi ni kuuza unga tu? Wrote tuna dhambi hats we we? Tumepata malipo gani? Acheni kuhukumu nyie.
Umenena vyema na kibinadamu kabisa, tumekuwa wepesi wa kutuhumu na kuhukumu kana kwamba sisi tu wasafi kwelikweli. Lakini pia tumekuwa na mizaha kwenye vifo vya wenzetu, ndio njia moja yetu sote ni suala la muda tu.
 
Typhod haipo kwa wingi kama hospital nyingi wanavyodai. Kwa kifupi cases za typhod kwenye hospital zetu ni chache. Ila kuna kitu kimoja unatakiwa ku note. Mara nyingi watu wenye ukimwi hushambuliwa na magonjwa mengi na typhod ni mojawapo.
Ebu kasome vizuri tena walao ujue tofauti ya mtu mwenye HIV na mwenye AIDS, unaweza kuwa HIV+ na usiwe na AIDS (UKIMWI). HIV ni mojawapo ya visababishi vikubwa vya HIV, kwa wanaoanza kutumia dawa mapema wakati CD4 zikiwa bado juu si rahisi kufikia stage ya kuwa na AIDS.
 
Kwahiyo unazani atazikiwa kinondoni kama kanumba? 26.4 wale walipania kufanya yao itakua nikubanana mjini
 
Utasikia Alikuwa ni dada,shangazi,mama,mamdogo n'a bla bla nyiiingi. Kwamba asisemwe Kisa tutaumiza ndugu. Ndugu ambao walifaidika n'a biashara haramu y'a ndugu yao wakakaa kimya.
Kawafuata aliowahua kwa ngada, yupo na Mangwea wanawasubiri wenfine wenye tabia kama hizo. Yaani mtu anabeba unfa madebe mawilu hadi yanamshida kubeba. Wa South Africa watakuwa wamefurahi si kwa kuwaulia watoto wakafurahi wao hatiii
 
Haujafikiria kuwa utakuwa umeandamana?
Masogange(R.I.P) anataka kututoa kwenye line 2604
[emoji16] [emoji16]
Uoga tu wa watawala sidhani kama kutakuwa na Maandamano........wamemkatili tu Bint wa watu.
Kwahiyo unazani atazikiwa kinondoni kama kanumba? 26.4 wale walipania kufanya yao itakua nikubanana mjini
Nina swali moja tu.
Je dada Mange akuja kuongoza hayo maandamano?
Atakuwepo au atawaingiza kingi wafuasi wake?
 
Vifo vyote visivyotokana na uzee,chini ya miaka 70 ni mpango wa shetani.Ukimtumikia Mungu wa kweli huwezi kufa mapema.Imeandikwa
Nanyi mtamtumikia BWANA, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako. Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza."
Kutoka 23:25‭-‬26
Mbona Jesus alidead na miaka 32 au 33 tu. Kwa nchi zetu maskini kuna sababu nyingi sana za vifo tunazosababisha wenyewe na haswa zinaloletwa na viongozi wanye dhamana ya kutuongoza. Kama hakuna madawa hospitali na wagonjwa wakafa kwa magonjwa ya kawaida hilo si la Mungu wala shetani, ni uzembe wetu. Barabara zinaharibika hazirekebishwi ikitokea ajali tumlaumu shetani? Maji safi na salama hakuna tukifa kwa typhoid tunamlaumu nani? tukiugua tunauziwa dawa zilizokwisha muda wake, nani wa kulaumu tukifa?
 
Mkuu swali la msingi tunamtumikia bwana au shetani?Kizazi cha siku hizi waigizaji tu,wanadhani Mungu ni babu yao.Walo kufa washakufa who is next?Me and you.lakini lipo tumaini ukimpokea Yesu leo,Mungu naye anajua fanya mbwembwe zako zote ila wanadamu wote wana one point of intersection it is called "death" hapo wote tunakutana.Usicheze na Mungu,haangalii sura ila ukimtumikia huwa anakupa taarifa kabisa kabla hajakuchukua.
Mkuu Mungu anakupa taarifa kabla hajakuchukua?
 
Back
Top Bottom