Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata angekuwa mwizi, jambazi,n.kUsijitie upofu tu kwamba Masogange alikuwa ni muuwaji na hujui ameuwa vijana wangapi indirect kwa kuwasambazia unga.
Usikurupuke tu na mihemko yako.
Watu sijui tuna akili gani jamani, Mungu atusamehe tuuKuweni makini na matani ya kipuuzi, leo uko inspired kwa tamaa za kimwili kesho tables turn mama yako/aunt/sister lays dead na mpuuzi mwingine ammendee mfu wako will you still be inspired? smh!
Badala ya kumvisha mkeo unamvisha mchepuko? mkeo analo la kumtosha?Dah....Binadamu angekuwa anauzwa kama chuma chakavu ningelinunua lile tako nikamvishe mchepuko wangu mmoja.
Maana anapata tabu sana kulitafuta tako.
Dah...aisee....Uoga tu wa watawala sidhani kama kutakuwa na Maandamano........wamemkatili tu Bint wa watu.
Mange analalamikia maandamano ambayo yeye mwenyewe hatakuja kuandamana!!!Mange Kimambi na timu yake utasikia wanasema hii ni njama ya Makonda kuwasahaulisha watanzania na maandamano ya tarehe 26. RIP Agnes.
Mkuu yote yanatoka wapi ?Unaandika maneno mengi lakini elewa ,Prematured death is curse/kifo cha mapema ni laana.Mungu amekuweka hapa duniani umtumikie .Usipomtumikia mahali ulipo utakufa mapema.Longevity/maisha ya marefu ni baraka za Mungu.Hiyo ni Kibiblia kabisa!
ubinaadamu kazi mkuu""Kweli mkuu...
Mijitu mingine inapenda sifa kama kidonda cha kichwa!
Insta sio chombo rasmi cha habari.Taarifa za Awali mbona wanasema pressure?
View attachment 751208
Tusipepese Maneno, ukiuwa kwa UPANGA utauliwa kwa UPANGA, hakuna kulala pema peponi hapo.
dhambi za watu wengine zi dhahiri, zawatangulia kwenda hukumuni, wengine dhambi zao zawafuta
1timotheo 5:24
Achana na hadithi zako hizo, peleka kanisani kwani unaandika kama vile una ushaihidi na unachokisema. We unamjua baba yake Yesu? Unajua kwa nini Joseph aliamua kukubali yaishe? Unajua sababu halisi za Yesu kuwambwa msalabani ukiachana na hayo unayosoma kwenye Biblia, unajua kuwa alikufa na kamwe hakufufuka?. Acha tumtakie pumziko jema Aggy na Mungu amrehemu.Yesu aliuwawa na kumbuka Yesu alikuja kwa kusudi maalumu hapa duniani na hakuwa mwanadamu kama mimi na wewe. Alikuwa mwanadamu kwa asilimia 100 maana alivaa, alikula, alisikia maumivu n.k na alikuwa ni Mungu kabisa kwa asilimia 100. Mwana pekee wa Mungu, aketiye Mkono wa Kuume wa Mungu baba, Yesu pekee ndie Mwana wa Mungu, ndio limbuko letu, ndie mkombozi, ndie atakayetuhuishi tena ile siku ya mwisho. Hakutakuwa na hukumu ya adhabu juu ya walio kwa kristo Yesu.
Isaya 9:6

Kwani ame OD?Few people already know the real cause of death,and that will remain to be their deep secret as per their professionalism
RIP Agness, your attractive female appearence will never seem again live and alive on the surface of this planet but your beautiful images will continuee to capture peoples attention.
Huku ndiko kunaitwa ''kuwaka tamaa kwa mwili''. Unatamani kufanya ngono na mwanamke hata anapofariki badala ya kupata masikitiko wewe bado unafikiria ulivyokosa kulala naye! Roho ya shetani hii ikemee!Aisee yupo demu mmoja nilikuwa nimempangia ratiba si akafa ghafla! Nilitamani kwenda mochwari kumalizia mission. Kuna madem ni shida acha kabisa, nilipoambiwa kafa sikulala siku hiyo maana nilikuwa nimemiss bonge la target!
Mtoto anae mkuu, tena mkubwa mno, ila alikuwa anataka mumuone mbichi akawa anamficha sana..
Hakuna mwanamke anayetokea mbeya awe mzuri alafu afkishe miaka 20 bila kutolewa bikra ya kizazi..
Mbona umekomaa na huyo mtu? Kama hakuelewi achananaye. Unaelewa unabishana na mtu wa aina gani?Mkuu yote yanatoka wapi ?
Inamaana abeli wa kwenye biblia alilaaniwa au sio mkuu?
Au watoto wadogo ambao hawana hata dhambi huwa wamelaaniwa?
Tuwe hata na tone moja la heshima aisee, hayo ya kusema huyu kalaaniwa sijui nani wewe umejuaje mkuu au ndio ushakuwa Mungu sahizi!!
Na wewe ambaye hujalaaniwa unajua siku yako ya kufariki?
Sijui ni Mungu yupi unamzungumzia, ndo maana tumetofautiana ktk imani juu ya huyo Mungu. Waamini Yesu hakufufuka ila mimi naamini ALIFUFUKA.Achana na hadithi zako hizo, peleka kanisani kwani unaandika kama vile una ushaihidi na unachokisema. We unamjua baba yake Yesu? Unajua kwa nini Joseph aliamua kukubali yaishe? Unajua sababu halisi za Yesu kuwambwa msalabani ukiachana na hayo unayosoma kwenye Biblia, unajua kuwa alikufa na kamwe hakufufuka?. Acha tumtakie pumziko jema Aggy na Mungu amrehemu.