TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Usijitie upofu tu kwamba Masogange alikuwa ni muuwaji na hujui ameuwa vijana wangapi indirect kwa kuwasambazia unga.

Usikurupuke tu na mihemko yako.
Hata angekuwa mwizi, jambazi,n.k

The matter of fact hata mimi sijakamalika na wewe pia inatosha kabisa kutomhukumu tena akiwa amepoteza maisha yake.

We unaejifanya mtakatifu sawa, ila hekima na busara ndogo tuu ya kibinadamu inatuongoza tusimuongelee kwa ubaya marehemu, pengine wewe unayemuita muuaji una maovu makubwa na mabaya zaidi yake au mimi ninayeandika hapa ukute ni zaidi ya muuaji sema kwa vile hatujuani ndio maana tuna viburi vya kumuita marehemu muuaji na majina mengineyo.
 
Kuweni makini na matani ya kipuuzi, leo uko inspired kwa tamaa za kimwili kesho tables turn mama yako/aunt/sister lays dead na mpuuzi mwingine ammendee mfu wako will you still be inspired? smh!
Watu sijui tuna akili gani jamani, Mungu atusamehe tuu
 
Dah....Binadamu angekuwa anauzwa kama chuma chakavu ningelinunua lile tako nikamvishe mchepuko wangu mmoja.

Maana anapata tabu sana kulitafuta tako.
Badala ya kumvisha mkeo unamvisha mchepuko? mkeo analo la kumtosha?
 
Mange Kimambi na timu yake utasikia wanasema hii ni njama ya Makonda kuwasahaulisha watanzania na maandamano ya tarehe 26. RIP Agnes.
Mange analalamikia maandamano ambayo yeye mwenyewe hatakuja kuandamana!!!
 
Unaandika maneno mengi lakini elewa ,Prematured death is curse/kifo cha mapema ni laana.Mungu amekuweka hapa duniani umtumikie .Usipomtumikia mahali ulipo utakufa mapema.Longevity/maisha ya marefu ni baraka za Mungu.Hiyo ni Kibiblia kabisa!
Mkuu yote yanatoka wapi ?

Inamaana abeli wa kwenye biblia alilaaniwa au sio mkuu?

Au watoto wadogo ambao hawana hata dhambi huwa wamelaaniwa?

Tuwe hata na tone moja la heshima aisee, hayo ya kusema huyu kalaaniwa sijui nani wewe umejuaje mkuu au ndio ushakuwa Mungu sahizi!!

Na wewe ambaye hujalaaniwa unajua siku yako ya kufariki?
 
Tusipepese Maneno, ukiuwa kwa UPANGA utauliwa kwa UPANGA, hakuna kulala pema peponi hapo.

dhambi za watu wengine zi dhahiri, zawatangulia kwenda hukumuni, wengine dhambi zao zawafuta

1timotheo 5:24
Yesu aliuwawa na kumbuka Yesu alikuja kwa kusudi maalumu hapa duniani na hakuwa mwanadamu kama mimi na wewe. Alikuwa mwanadamu kwa asilimia 100 maana alivaa, alikula, alisikia maumivu n.k na alikuwa ni Mungu kabisa kwa asilimia 100. Mwana pekee wa Mungu, aketiye Mkono wa Kuume wa Mungu baba, Yesu pekee ndie Mwana wa Mungu, ndio limbuko letu, ndie mkombozi, ndie atakayetuhuishi tena ile siku ya mwisho. Hakutakuwa na hukumu ya adhabu juu ya walio kwa kristo Yesu.

Isaya 9:6
Achana na hadithi zako hizo, peleka kanisani kwani unaandika kama vile una ushaihidi na unachokisema. We unamjua baba yake Yesu? Unajua kwa nini Joseph aliamua kukubali yaishe? Unajua sababu halisi za Yesu kuwambwa msalabani ukiachana na hayo unayosoma kwenye Biblia, unajua kuwa alikufa na kamwe hakufufuka?. Acha tumtakie pumziko jema Aggy na Mungu amrehemu.
 
Few people already know the real cause of death,and that will remain to be their deep secret as per their professionalism

RIP Agness, your attractive female appearence will never seem again live and alive on the surface of this planet but your beautiful images will continuee to capture peoples attention.
Kwani ame OD?
Mbona hamsemi jamani.
 
Aisee yupo demu mmoja nilikuwa nimempangia ratiba si akafa ghafla! Nilitamani kwenda mochwari kumalizia mission. Kuna madem ni shida acha kabisa, nilipoambiwa kafa sikulala siku hiyo maana nilikuwa nimemiss bonge la target!
Huku ndiko kunaitwa ''kuwaka tamaa kwa mwili''. Unatamani kufanya ngono na mwanamke hata anapofariki badala ya kupata masikitiko wewe bado unafikiria ulivyokosa kulala naye! Roho ya shetani hii ikemee!
 
Mtoto anae mkuu, tena mkubwa mno, ila alikuwa anataka mumuone mbichi akawa anamficha sana..
Hakuna mwanamke anayetokea mbeya awe mzuri alafu afkishe miaka 20 bila kutolewa bikra ya kizazi..

Asee ni kweli naamin hili. Kuna mdada mmoja aliwah kukaa kitaani kwetu, alikua kisu kinasumbua mijanaume kumbe kuna mshkaji anamjua huko kwao mbeya akasema ana mtoto watu walibisha mpka ikapigwa simu mbeya kwa masela kuuliza wakathibitisha. Duh sasa tatzo ni nini wanazaa early hvyo mkuu.
 
Mkuu yote yanatoka wapi ?

Inamaana abeli wa kwenye biblia alilaaniwa au sio mkuu?

Au watoto wadogo ambao hawana hata dhambi huwa wamelaaniwa?

Tuwe hata na tone moja la heshima aisee, hayo ya kusema huyu kalaaniwa sijui nani wewe umejuaje mkuu au ndio ushakuwa Mungu sahizi!!

Na wewe ambaye hujalaaniwa unajua siku yako ya kufariki?
Mbona umekomaa na huyo mtu? Kama hakuelewi achananaye. Unaelewa unabishana na mtu wa aina gani?
 
Achana na hadithi zako hizo, peleka kanisani kwani unaandika kama vile una ushaihidi na unachokisema. We unamjua baba yake Yesu? Unajua kwa nini Joseph aliamua kukubali yaishe? Unajua sababu halisi za Yesu kuwambwa msalabani ukiachana na hayo unayosoma kwenye Biblia, unajua kuwa alikufa na kamwe hakufufuka?. Acha tumtakie pumziko jema Aggy na Mungu amrehemu.
Sijui ni Mungu yupi unamzungumzia, ndo maana tumetofautiana ktk imani juu ya huyo Mungu. Waamini Yesu hakufufuka ila mimi naamini ALIFUFUKA.

Mtakie pumziko jema na mungu wako amerehemu ila Mungu aliyeumba mbingu na nchi rehema zake ni mtu anapokuwa hai tu na sio baada ya kufa, ondoleo la dhambi lipo kwa ajili ya wanadamu walio hai na si kwa ajili ya wafu.
 
Back
Top Bottom