TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Huyo kafa sababu ya heroine hio zingine kupambisha tu tokea ashitakiwe kesi ya madawa amekuwa na hali mbaya ..manji bahati yake alikuwa anakesha agakhan hospital

Kuacha heroine kusikiliza kesi yake ,huwezi kuacha heroine afya yako ikawa nzuri
Mzee una uhakika!

Walishtakiwa wangapi kisa heroine..?
 
Mungu atusamehe wote wenye pumzi tunaojifanya ni watakatifu na kuhukumu vile tunavyopenda..

Agness hakuwa malaika, kama sisi tuu kila mtu ana makosa yake, nashangaa wengi mnajifanya humu kama ni wasafi mno na kumsema marehemu kwa mabaya, Mungu atusamehe sana maana najua sote tuna mapungufu makubwa tuu ila tuna jeuri maana bado tuna pumzi ya bure bure aliyotupa Muumba aliyemuumba na agness..

Tukumbuke pia agness ana ndugu, ni dada,mdogo,shangazi n.k , tusiwaumize wenzetu katika kipindi hiki kigumu, licha ya umaarufu wa agness tutambue ana haki zake ikiwemo ya kuheshimu faragha yake.Tujaribu kuheshimu maana njia hiyo ni yetu sote na haikwepeki, zaidi tuombe tubadilike matendo pamoja na kuiombea familia yake katika nyakati hizi ngumu... ni hayo tuu wakuu Please dont judge her...
 
Nnavyo wajua wazee wa mochwari wengine walivyodata si ajabu wakaupiga mzigoooz
Wakauchezea huo msambwandaz aliyokuwa anautingishaga!

Ova
 
Hahahaa! Bora na wewe umemjua kua jamaa ni hodari sana wa kuchukua habari google kisha kuzitafsiri na kuzileta humu huku akijifanya ni zake!!
Ice.....
Dah!

Haya ngoja kukuche uone mashambulizi yatakayo letwa hapa!
Hatajibu yeye...ila sijui ni id's mingi au ni mikia...
Ila atakaye tapika....mie nitahara kabisa!
 
Bwana Yesu alikufa na miaka mingapi?
Yesu Kristo hakufa Bali aliyatoa maisha yake kwa ajili ya dhambi na maovu ya mwanadamu.Kuthibitisha hilo alifufuka siku ya 3 akapaa mbinguni.Ibrahim alikuwa mtumishi wa Mungu,akafa akiwa na miaka 175,Isaka alimtumikia Mungu akafa akiwa na miaka 180,Yakobo/Israel alimtumikia Mungu akafa akiwa na miaka 147.Juzijuzi hapa tumemzika Bill Graham ,mtumishi wa Mungu akiwa na miaka 99.Yatoe maisha yako kwa Mungu,umtumikie ili siku zako ziongezeke!
 
Mkuu swali la msingi tunamtumikia bwana au shetani?Kizazi cha siku hizi waigizaji tu,wanadhani Mungu ni babu yao.Walo kufa washakufa who is next?Me and you.lakini lipo tumaini ukimpokea Yesu leo,Mungu naye anajua fanya mbwembwe zako zote ila wanadamu wote wana one point of intersection it is called "death" hapo wote tunakutana.Usicheze na Mungu,haangalii sura ila ukimtumikia huwa anakupa taarifa kabisa kabla hajakuchukua.
Unaandika maneno mengi lakini elewa ,Prematured death is curse/kifo cha mapema ni laana.Mungu amekuweka hapa duniani umtumikie .Usipomtumikia mahali ulipo utakufa mapema.Longevity/maisha ya marefu ni baraka za Mungu.Hiyo ni Kibiblia kabisa!
 
Mungu atusamehe wote wenye pumzi tunaojifanya ni watakatifu na kuhukumu vile tunavyopenda..

Agness hakuwa malaika, kama sisi tuu kila mtu ana makosa yake, nashangaa wengi mnajifanya humu kama ni wasafi mno na kumsema marehemu kwa mabaya, Mungu atusamehe sana maana najua sote tuna mapungufu makubwa tuu ila tuna jeuri maana bado tuna pumzi ya bure bure aliyotupa Muumba aliyemuumba na agness..

Tukumbuke pia agness ana ndugu, ni dada,mdogo,shangazi n.k , tusiwaumize wenzetu katika kipindi hiki kigumu, licha ya umaarufu wa agness tutambue ana haki zake ikiwemo ya kuheshimu faragha yake.Tujaribu kuheshimu maana njia hiyo ni yetu sote na haikwepeki, zaidi tuombe tubadilike matendo pamoja na kuiombea familia yake katika nyakati hizi ngumu... ni hayo tuu wakuu Please dont judge her...
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Matoleo ya kafara za kuhamisha mawazo ya watu kuelekea 26/4
Naona kiki za wiki iliyopita hazijatosha na pia ajali za mabasi mfululuzo ikiwemo basi kuungua juzi likiwa na abiiria Ndani bado haitoshi

Kuelekea wiki ijayo ma super star kuweni Makini mtatolewa Sana sadaka kama hii ya Masogange haitatosha kusababisha social media zisahau 1.5 t na 26 April

Paulo kamtoa demu wake kafara

Mungu amrehemu Binti wa watu
Matackroo yako
 
Mungu atusamehe wote wenye pumzi tunaojifanya ni watakatifu na kuhukumu vile tunavyopenda..

Agness hakuwa malaika, kama sisi tuu kila mtu ana makosa yake, nashangaa wengi mnajifanya humu kama ni wasafi mno na kumsema marehemu kwa mabaya, Mungu atusamehe sana maana najua sote tuna mapungufu makubwa tuu ila tuna jeuri maana bado tuna pumzi ya bure bure aliyotupa Muumba aliyemuumba na agness..

Tukumbuke pia agness ana ndugu, ni dada,mdogo,shangazi n.k , tusiwaumize wenzetu katika kipindi hiki kigumu, licha ya umaarufu wa agness tutambue ana haki zake ikiwemo ya kuheshimu faragha yake.Tujaribu kuheshimu maana njia hiyo ni yetu sote na haikwepeki, zaidi tuombe tubadilike matendo pamoja na kuiombea familia yake katika nyakati hizi ngumu... ni hayo tuu wakuu Please dont judge her...
Usijitie upofu tu kwamba Masogange alikuwa ni muuwaji na hujui ameuwa vijana wangapi indirect kwa kuwasambazia unga.

Usikurupuke tu na mihemko yako.
 
Kabla sijalala jana nilisoma kuwa huyu binti kafariki kwa typhoid (waliandika homa ya matumbo) na anemia (upungufu wa damu), leo nimeona video clip ya sijui ndio msemaji wa bongo movie yule kuwa huyu da
kafa kwa asthma. Baada ya hapo nimeingia kwenye mitandao ya magazeti mbalimbali wengine wameandika kafa kwa pneumonia na low blood pressure .... inasikitisha sana nawahurumia ndugu zake maana mwisho wa siku wamempoteza ndugu yao, haijalishi nini kimemuua maskini. Rest in eternal peace Agness na Mungu awafariji wafiwa
 
Usijitie upofu tu kwamba Masogange alikuwa ni muuwaji na hujui ameuwa vijana wangapi indirect kwa kuwasambazia unga.

Usikurupuke tu na mihemko yako.
Utasikia Alikuwa ni dada,shangazi,mama,mamdogo n'a bla bla nyiiingi. Kwamba asisemwe Kisa tutaumiza ndugu. Ndugu ambao walifaidika n'a biashara haramu y'a ndugu yao wakakaa kimya.
 
q.jpg

Kwanza poleni wanafamilia kwa msiba wa msanii Agnes Masogange na kila mpenda sanaa Tanzania ni kifo kilichomshtua kila mmoja.

Ili kila mmoja aweze kushiriki mazishi ya mrembo huyo ningeishauri familia wapange mazishi ya msiba huo yawe siku ya sikukuu ya Muungano maana ni siku ambayo wale wapenzi ambao ni wafanyakazi ni rahisi kupata muda wa kushiriki mazishi hayo.

Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.Amen
 
Back
Top Bottom