TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Wewe unatumia mawazo ya kale kutishia watu. Enzi zimebadilika. Ukiishi katika matendo mabaya utasemwa hata kama umefariki. Huku siyo kuhukumu ila watu wanaelezea maisha yake yalivyokuwa. Kila binadamu anaandika historia ya maisha yake wakati wa uhai. Anapofariki jamii ''huisoma''. Hapa watu wanajaribu ''kusoma'' historia aliyoiandika mwenyewe.
 
pombe na unga kipi hatari na kinaleta vifo vingi????,alcohol ni drugs kama unga ila serikali inapata kodi..deadly poison on earth..
Usifananishe drugs na pombe tafadhali, drugs ni kitu kingine kabisa.
 
Huenda mtoto alikuwa akitaka matumizi makubwa lakini mama kwa kutotaka kumzoesha hela akiwa mdogo yeye akawa anatoa kulingana na umri wa mtoto ili asizoe starehe udogoni
Anasoma shule za kata 'Elimu bure'kweli?
 
Ujaribu kunifundika kitu ambacho huenda nakijua kuliko wewe!
 
Basi hili la kusema alikuwa na hela nyingi za ngada huenda pia ni majungu yetu sie wanadamu
Unawajua wasanii?maisha yao wanawekeza kwenye starehe tu wakiamini wataishi milele yote tena hawa mapunda ndo kabisaa wanakula ujana tu
 

Siwezi kumbishania mtu aliekua anabeba sembe, Maneno yangu hayatatanguka kwake kama atazikwa KIKRISTO bali tu akizikwa KIPAGANI
 
Nina swali moja tu.
Je dada Mange akuja kuongoza hayo maandamano?
Atakuwepo au atawaingiza kingi wafuasi wake?
Naongezea swali: wale wanasiasa wanaozuia maandamano, wataenda kusukumana na waandamanaji kuwazuia ama?
 
Mara nyingi kama unatumia madawa hasa hasa heroine halafu ukisitishiwa ghafla au ukiyatandika kupita kiasi utaishia kufa. Sina maana ya kuwa Huyu binti amefariki kwa sababu ya madawa
 
Jana shilawadu walitaka kurusha skendo yake ya kutomhudumia mtoto wake ambae anaishi Kigogo na shangazi yake ghafla wanapata taarifa za msiba



Mara nyingi kama unatumia madawa hasa hasa heroine halafu ukisitishiwa ghafla au ukiyatandika kupita kiasi utaishia kufa. NB: Sina maana ya kuwa Huyu binti amefariki kwa sababu ya madawa
 
Jana shilawadu walitaka kurusha skendo yake ya kutomhudumia mtoto wake ambae anaishi Kigogo na shangazi yake ghafla wanapata taarifa za msiba
Heeee kumbee ndio maana nilikuwa naona shilwadu wanajiandaa kwelii,,
Naomba kuuliza Aggy alikuwa anavaa vizuri sana alikuwa ana ofisi wapi muda wote yupo kimtoko!
Na kupendeza kote kule hamuhudumii mwanae ??yatajulikana tu
 
Kumbe na wewe umeaua na kuharibu watoto wa watu kwa madawa!
 
Heeee kumbee ndio maana nilikuwa naona shilwadu wanajiandaa kwelii,,
Naomba kuuliza Aggy alikuwa anavaa vizuri sana alikuwa ana ofisi wapi muda wote yupo kimtoko!
Na kupendeza kote kule hamuhudumii mwanae ??yatajulikana tu
Jamaa wa mochwari watamfaidi sana watamsafisha vilivyo ule msambwanda
Kuhusu Swali lako la ofisi yake ni Ipi jibu ni ule msambwandaz wake si ndyo ulikuwa mtaji wake

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…