TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Watanzania Wanamkufuru Sana Mungu!Sasa Mnachosikitika Huyu Mdada kufariki Ni nini???Au Nyie Wapagani?Vitabu vya Dini vinasema kila Mtu Atafariki
 
naomba hapo nielimishwe kidogo maana sijaelewa hapo huyo masogange sijawahi muona hata movie moja au kuhudhuria vikao vya bongo movie
Ila kwa nini kina steve wameuchukua msiba wake na kuuweka upande wao?

Siku nyingine uwe unafanya Kwanza ' Tafiti ' kabla ya kuja humu tafadhali. Marehemu alikuwa both katika Bongo Movie ( kwa Kushiriki katika Movie kubwa Tano za Kitanzania ) na Bongo Fleva ( kwa Kushirikishwa katika Nyimbo kadhaa za Wasanii kama Wawili Watatu wakubwa ) na ndiyo maana umeweza kuona ' Msiba ' wake umebebwa na Watu wa hizo ' Fani ' mbili. Hilo la kuhusu Steve Nyerere silizungumzii sana kwani kama Wewe ni Mtoto wa Mjini hutopata nae shida. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Marehemu Masogange alikuwa ni mdangaji na muuza unga.

Kuna Mwanaume mmoja nimekutana nae akilia nikamuuliza kulikoni alichonijibu tu kwa haraka haraka ni kwamba hamlilii sana ' aliyeondoka ' bali analilia kile ' alichomuachia ' hivyo nami ' nikajiongeza ' na kuondoza zangu. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Mkuu ninachokifikiria ndicho au sicho,
Anyway namimi naomba niishie hapa tafadhali
 
u are nice
 
Mkuu ninachokifikiria ndicho au sicho,
Anyway namimi naomba niishie hapa tafadhali

Unamjua Mpiga Solo mmoja hivi wa Kikongo ( DRC ) aliyepiga Gitaa katika Wimbo wa Kanda Bongoman ule wa ' Inde Monie ' kisha huyo huyu akaling'uta katika Wimbo wa ' Wapi Yo ' wa Yondo Sister kisha akamalizia tena kulipiga katika Wimbo wa ' Evelyn ' wa Aurlus Mabele? Mtafute kisha ' jiongeze ' tafadhali. Gitaa lake ' Kali ' na la ' hatari ' kamwe halijawahi kumuacha Salama Mtu maaruu na tajiri yoyote hapa Tanzania kwani huwa ' wanalicheza ' sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nimejikuta nacheka peke yangu!
Swadakta kaka jibu ninalo
 
Naomba nielimishwe kidogo maana sijaelewa. Huyo Masogange sijawahi muona hata movie moja au kuhudhuria vikao vya bongo movie ilaa kwanini kina Steve Nyerere wameuchukua msiba wake na kuuweka upande wao?
alikuwa anawauzia ngada
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nimejikuta nacheka peke yangu!
Swadakta kaka jibu ninalo

Ukishamjua huyo Mpiga Gitaa hilo la Solo basi baki nalo ' moyoni ' mwako. Actually hata sasa hivi naandika hapa nimevaa Headphone nasikiliza Wimbo huo wa ' Evelyn ' na nalisikia vizuri mno Gitaa lake linavyounguruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…