TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Msingi makalio duu! Duniani tunapita ule urisi sjui atakuwa kamuachia Nani maana kila picha ilikuwa lazma ihusishe makalio dah! R.I.P
 
Naomba nielimishwe kidogo maana sijaelewa. Huyo Masogange sijawahi muona hata movie moja au kuhudhuria vikao vya bongo movie ilaa kwanini kina Steve Nyerere wameuchukua msiba wake na kuuweka upande wao?
kacheza nyingi tu na hii 'Nangoja ageuke'
 
Waandishi wa habari mkakimbilia hospitali kuwahi picha za maiti. Wahini na Mbeya mkaonyeshe na kwa marehemu pia.
 
Duuuuu itakuwa Ngoma hyo mkuu,,daah haya mambo mengine aiseee si mchezooo
 
Kamuachia nini etii!!!????
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Watu wafupi siku zoteeee wanakuaga na akili mbovuuu sanaaa sijui kwanini au na akili zinakuaga fupi pia..
 
Hawa wasanii wanafki mbona wakati ana shida mahakamani alikuwa peke yake wote walikimbia and now wanajifanya ndugu zake
Ogopa sanaaaa wasanii na waigizaji ni wajinga sanaaaa hawa watu...

Nitashangaa sanaaa mtu anahangaika kuwa msanii au muigizaji badala ya kufanya other business......
 
Unamsema Dally Kimoko!?
 
Steve Nyerere ni mtafutaji kama watafutaji wengine,Dada zetu wa Bongo movie wakiwa wazima jamaa huwa anakuwa pimp,wakifariki anafukuzia rambirambi
Unataka kuniambia pesa ya UKUADI na RAMBIRAMBI ndo inunue PRADO au jamaa huwa analikodi kukiwa na functions
 


umeambiwa mzaramo yule kwamba atazikwa Dar! ww lumumba vip fala nin

mumkalishe wiki nzima kwenye friji kwani anasubiria ndugu walioko nje nchi! kufa wewe leo tukuzike muungano hiyo
 
Dally Kimono!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…