TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Biblia yangu imeandikwa akikubali kufa kwa ajili ya kuukomboa ulimwengu. Hakuna palipoandikwa amejiua/ametoa uhai wake yeye mwenyewe
Pia kuna vitabu vingine sio Biblia vimemuongelea huyo Yesu kwa namna nyingine, karibu maandiko mengi yanakubali kuwa mtu aliyeitwa/kujiita yesu alikuwepo akawa msumbufu kwa utawala akijiita mfalme wa wayahudi huku akijua kuwa upo utawala tayari. Na wanakubali alisulubiwa, adhabu ya kawaida kwa wakati huo kwa makosa aliyoshtakiwa nayo, akafa, akazikwa ikatoka.
 
Mungu si Athumani mkuu, naona tunakomaa kweli kumpangia au kufikiri kwa niaba yake nini atakifanya kwa waje wake wanaotangulia mbele ya Haki. Ni kitu cha ajabu sana kwa binadamu kutumia nguvu kujadili ya kitakachotokea baada ya kufa, hiyo ni kazi yake maulana na hafanyi kazi kwa akili na namna yetu ya kufikiri. RIP AGGY
 
..hatumaanishi uhusika wa moja kwa moja...kama walihusika Polisi nani kiongoz wa ulinzi Na Usalama wa mkoa??...japo hao Polisi wamesafishwa kuwa hawahusiki doesn't mean kwamba hawahusiki.....utawala huu unasifika kwa kupinga kila kitu....hao kina mambosasa wanaotoa amri wako chini ya nani?...I see this as linkage to bashite....hata jana nimemsikia anatamba kuwa atakabidhi majina ya wanaume walokaidi wito wake kwa mambosasa....

Case ya akwlina bashite hahusiki kabisa
 
Culture girl, your very clever girl
 
Wagalatia 6:7~8
 
Nasema movie wew waweka video umeshtua nini
ww ndio chiz, huyu anaitwa Video Queen au bongo movie quuen
km angecheza km kina Wema na Bongo movie mngeshamchafua mtoto wa kinyakyusa
 
Wameona wamtangulize maana angetaja mabosi wake wanaomtumiaga kwenye kusafirisha ngada. Ni kama yule aliyesema Lowasa ni baba yake, alipotaja tu na kuomba msamaha mabosi wamemgeuka, sasa anacheza segere la Polisi peke yake.

All in all, RIP.
Kwa nn hivyo inamana wamemuua?
 
MANGE KIMAMBI ASEMA AHESABU MATUSI ANAHESABU MAHELAAA
mwinyi blog 5 years ago Entertainment News



Mange Alikuwa Arusha Ambapo Alipeleka Vitu vya Kuuza Kutoka Ulaya Hizo ndio Picha na Maneno aliyoandika kwenye Website yake..........

HIKI NDICHO ALICHO ANDIKA....
"NYIE WALALA HOI MIE SIHESABU MATUSI NAHESABU MAHELAAAAAAAA...

MKIMALIZA KUTUKANA NJOONI NIWAPE AJIRA.
....LOLEST!!!!!

SIJIBISHANI NA WACHOVU...........

NDO KWANZAAAAA NATENGEZA MAHELAAA NA MUME ANANISUBIRI KWA HAMU,

MTACHONGA SANA HAACHWI MTU NA BONGOLICIOUS NDO MAMBO YOOOOTE.......

MWAKA HUU MTAISOMA NUMBERRRR.......

HATA MUONGEE NINI MIE NDO MANGE KIMAMBI NA MTAENDELEA KU KISS THE

GROUND I WALK ON........." Says Mange
MANGE KIMAMBI ASEMA AHESABU MATUSI ANAHESABU MAHELAAA - MWINYI BLOG
Sawa tutaandamana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…