Sawa mkuu, nakumbuka kuwa utaratibu ni lazima kuwe na walalamikaji kuwa wana wasiwasi na kifo cha marehemu, kama hakuna aliyefile madai hakuna atakayetoa ripoti kwa umma.Mkuu kuna utata kuhusu kifo cha masogang.NA huyu dada alikuwa ni msanii nyota.Ni vema ukweli uwekwe hadharani.
Na walio sema hana hata wa kusingiziwa tuwaelewe VP?Picha mtoto wa marehemu akiwa na baba yake.View attachment 752853
[emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Sema wewe huwezi heshimu maiti yake si wote? amewahi kushtakiwa kwa kesi yoyote ya mauaji?unajua maana ya uchi kwa tafsiri sahihi ya kiswahili na hata kwa mila za kitanzania tu. We unaacha kupambana na serikali inayoua watu wake kila siku kwa kutowapa huduma bora za afya, maji n.k huku wakipeleka pesa kwenye maeneo yasio ya kipaumbele, uanze kukashifu marehemu!!!!Tatizo watu wamezidi unafiki na huku ubinadamu ukipungua. Toa boliti jichoni kwako kwanza
Watu wanafiki sana!!Picha alipiga kwa hiyari yake na alijua kuwa hazina maadili, kwa nn aliziweka mitandaoni? Hii inaonyesha dhahiri kuwa hata yeye mwenyewe muhusika hakuwa na maadili. Sasa kama yeye mwenyewe hakujiheshimu, nani anadhani atamuheshimu hata kama kwa sasa ni marehemu?
Tutende yaliyo mema,mtu kaharibu vijana wetu mitaaani kwa madawa halafu tuendelee kumsifia kwa kazi yake hata kama kafa tutaendelea kumsifia kwa yale aliyokuwa anayatenda dunianiBila shaka hautokufa mkuu
Hahaha aiseeeHuyu jamaa ndy alikuwa anaufaidi ule msambwandaz
Ova
clouds wanarusha?,I am sorry... Clouds kurusha msiba was masogange live in ujinga Na kupoteza maana
She has never been a public image that any mother , father or husband would dream of
Clouds mmenajisi vipindi vyenu vizuri sana vya jumapili
We naeI am sorry... Clouds kurusha msiba was masogange live in ujinga Na kupoteza maana
She has never been a public image that any mother , father or husband would dream of
Clouds mmenajisi vipindi vyenu vizuri sana vya jumapili
Niambie kama nimekoseaWe nae
Radioniclouds wanarusha?,
thanks mkuu!! nilikua nauchukulia poa!!Inaua vizuri sana, tena ukichelewa tiba ni shida