TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

KaKa wenye Msambwanda hawafi nini!!!!!!?


Hahaaaa hekima yako sijaiona hapo kwenye comment,,,au unapenda chura nini
Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... ⚰ Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
 
Kuna kauli nyingine mtu akiongea zimekaa kuudhalilisha utu wa mwanamke.

Hivi uliwaza nn kuandika hili neno "kutolewa bikra ya kizazi?".

Huoni kwamba limekaa kuutusi utu wa mwanamke?

We mama yako hakukuzaa? Unaona sifa kutusi hata waliokuleta dunian kwa maneno kama haya?
Msamehe hajui alitendalo.
 
Hivi kesi yake ilikuwaje..!?

Tukumbusheni hukumu..
 
Taarifa zooote za Mrembo masogange zilixoletwa humu zimefutwa gafla je hiii inamaanisha nini? Kama sio taarifa za kweli mnapaswa Kuzikanusha sio kufuta sasa maaana mtatuacha hewani
 
Back
Top Bottom