TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... [emoji1019] Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Maisha mapito, kifo sehemu ya maisha hata ukisomesha no wenzio,ukiwa mtu usiojulikana.ukiwa mkimbiza upepo. Tuwatendee mema wenzetu hatujui kesho yetu.
 
Sa
Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... ⚰ Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza

Sanifu za nini kwenye msiba jamani. Rip dada wa watu. Zaaaambi mwee. I
 
Video Vixen maarufu nchini Agness Masogange amefariki dunia mchana huu. Chanzo kutoka kwa mtu wake wa karibu kimethibitisha kutokea kwa kifo hicho.
Tunafuatilia kwa karibu kukujuza nini ambacho kinaendelea kuhusiana na msiba huo

Muungwana blog.
 
Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... ⚰ Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
ARDHI INANYONYAAA JAMANIIII SIOO KWA UZURI HUUU
FB_IMG_1524234521676.jpg
 
Yule mvuta ganja sepenga alivyoitwa ktk kundi la watumiaji au wauzaji wa ngano si alisema Mwanamfalme anamramba huyu ndio mana hajamtaja....!!!
Sepenga alisema tu, mwanamfalme joka la kibisa... hawezi kuparamia msambwanda kama huu. Labda kama alikuwa anamkuwadia babaake mfalme wa malaika jiwe.
 
Katoa sana 714

Ova
mademu wa mjini ndio desturi yao now days...sasa kama wamuona masogange anadhambi kwaliwa 0712"" vipi kuhusu viongozi wanao sabbisha migogoro baina ya nchi na nchi mpka kufikia ya watu kuuwana na kumwagana mapia ya damu ktika hii ardhi"" trust me hiyo dhambi uliyoisema hapo watu wengi mnoo huwa wanaishiriki ila kwaajili ya unafki wao wanaficha tu """
 
Maisha mapito, kifo sehemu ya maisha hata ukisomesha no wenzio,ukiwa mtu usiojulikana.ukiwa mkimbiza upepo. Tuwatendee mema wenzetu hatujui kesho yetu.
Naomba radhi kwa kutumia lugha isiyovaa nguo
 
Few people already know the real cause of death,and that will remain to be their deep secret as per their professionalism

RIP Agness, your attractive female appearence will never seem again live and alive on the surface of this planet but your beautiful images will continuee to capture peoples attention.
Watu mnajitutumua na vi English vyenu.
 
Back
Top Bottom