Muyenjwa Godfrey
Member
- Feb 18, 2017
- 28
- 17
R. I. P Agness Masogange.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah what is happening aise ...Wameona wamtangulize maana angetaja mabosi wake wanaomtumiaga kwenye kusafirisha ngada. Ni kama yule aliyesema Lowasa ni baba yake, alipotaja tu na kuomba msamaha mabosi wamemgeuka, sasa anacheza segere la Polisi peke yake.
All in all, RIP.
Dada polee nimeumia kawaida tu maana hata nami nimefiwa watu wengi tu wa karibu yangu ,sio kila kifo lazima kiniguse vilivyo tena bora hata hiki nimeumia wengine hata wakifa hata sishtuki kabisakwann unahisi huu msiba umewagusa wanaume?
wewe hujaumia kuona mwanamke mwenzako aliyeacha mtoto mdogo amekwenda?
wewe haijakuumiza kuona kijana mdogo wa miaka 29 akipoteza uhai wake just like that huku ndoto zake zikizima kama mshumaa?
Me naona ifike mahali tuwe na staha katika maandishi yetu sababu sotw ni binaadam na sote ni njia moja, pia tujue kua kifo ni mawaidha kwa wanaobaki,
Agness amefariki hospital kwa Typhod na Anemia hujui wewe utakufaje na wapi, utapondwa na roli uwe kama chapati watu wakuogope hata kukushika, utaungua na moto hata kuoshwa iwe shida uvishwe plastic, utakufa baharini uwe chakula cha samaki watu wasione maiti yako,
utakufa kwa kipindu pindu ndugu washindwe kukuzika uzikwe na city huku wamevaa mask na gloves.
Yote hayo mjitafakari kabla msiba wa mwenzenu hamjaugeuza kua wa kimajungu na fitna.
Message hii iende kwa wote waliodiss kuanzia comment za mwanzo mpk wanaoendelea kudiss.
Am out.
Mzigo ulikua sio wa kitoto ule sema wakubwa walifaidi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] r.i.p mosogangeIngewezekana kupeana lile tako tungegombania wengi lkn ndo hivyo kama alivyokuja nalo ndivyo alivyoondoka nalo
Halafu huko ni kuzuri ndo maana ndugu zetu wakienda huko hawarudi huku kuisoma namba,hahaaa huko hapa chagui mtu MZee"" amekwenda nyerere"" kwame nkurumah"" jf Kennedy"" farao (rammises) itakuwa masogange"" ukweli uliomchungu ni huu"" hata mimi nawewe tupo kwenye foleni ""
Yapi tena mkuu au kuingiza ile consigment hko kwa madibaUmri mdogo lakini amefanya makubwa sana !
You know what rafiki, the best we can do it be kinder to each other.
She is gone, gone too soon and only God knows where she will go. It could be Heaven, or it could be Hell. All these places are prepared for us human beings.
She may not have had the best manners in public according to some but you never know she just might have made peace with God.
She could be having a clean slate my friend. God works in ways we cannot see.
Believe it or not she is in a better place. Being harsh will only leave bitterness in your own heart. The best ypu can do is wish her well.
Hope and pray for her that all goes well. And let us pray for each other that when our time to depart is here, it shall be well with us, and ours.
Rest in Peace young lady.
AminaMzigo ulikua sio wa kitoto ule sema wakubwa walifaidi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] r.i.p mosogange
Alikuwa na kiwanda cha msambwandaz hyuMungu ametoa na Mungu amtetwaa Jina lake lihimidiwe...
Njia yetu ni moja..Tangulia Agnes Gerald
Nimewaza pia hivyo, inasemekana Mungu wa dar amemsumbua sana toka waachane watu wake wa karibu wanasema kila siku anamletea mapicha mara amnyang'anye vitu nk labda aliogopa angetoa siri zakeDa Upungufu wa damu,like seriously? Isiwe wazee wa NGADA wamefanya yao,postmortem inahusika sana hapo.
Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... ⚰ Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza