TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Maskini msafwa wa watu kaenda na shape lake kifo hiki mhh [emoji17]
 
Kuna nini tena, kafa lini?
Kafariki leo mchana saa tisa, kafia hospital ya mama ngoma mwenge, kws sasa mwili wake umehamishiwa muhimbili kwa ajili ya kuhifadhiwa ili kusubiri taratibu nyingine mungu aipokee roho yake.
 
Jamani kwenye mambo kama haya ya kuumiza tujalibu kua serious, kila mtu ana madhambi yake
halafu "" mimi "nimemshangaa "kweli yaani ""
wajua ""umri wako "ukisogea "kidogo"" una paswa kuonyesha "tofauti yko "kifikira/ mitazamo baina ya mtu mzima na kijana""
kwakweli ile ""comment haikuapaswa"" kutolewa na ""mtu wa Kariba lake "" achilia mbali uwezo wake ""mkubwa wa "kufikiri ambao" huwa tunajuwa kuwa anao""
 
Mwenyezimungu ampeleke maali panapostaili kutokana na matendo yake kwa kipindi chote cha uhai wake.
 
Belle 9 tuandalie mwingine "Masogange" wako Mola kambeba.

Nenda dada nasi twaja
 
Safari hii ni ya wote lkn pia ni kukimbushwa ya kuwa iko siku inakuja ambayo hauijui diku wala saa ,tunak7mbushwa kujiandaa na kulekebisha njia au matendo yetu,tangulia mpendwa nasi tu njiani RIP
 
Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... ⚰ Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Hakuna binadamu mwenye haki ya kumnyooshea mwingne kidole, nani kakupa haki ya kuhukumu? Je wewe ni msafi.Sikuungi mkono kwa hili.
 
Back
Top Bottom