TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Nimeona clip steve nyerere anatamka kuwa agness ameumwa pumu kwa siku nne na ndio ugonjwa ulio muua
Pumu ndo ugonjwa gani...

Tusaidie kwa English ili tu gugo..
 
Mange Kimambi na timu yake utasikia wanasema hii ni njama ya Makonda kuwasahaulisha watanzania na maandamano ya tarehe 26. RIP Agnes.
 
Mkuu, unaheshima sana hapa jukwaani!! Naona Heshima yako unaidhalilisha. Yanini kumhukumu marehemu?!
Huyo Mshana hana heshima yeyote humu jukwaani acha kumpaisha,huyo mshana ni mtu mzima mwenye akili za kitoto,umri umemtupa mkono lakini anajilazimisha kuandika utoto humu! Mtu mzima kukosa busara ni hasara kubwa sana!
 
Jamani effect ya kutumia heroine ni kama inavyo jieleza hapo chin;

Nakubaliana na aliyesema huyu mdada alikua akitumia heroine kama kweli kilimuondoa ni pumu (asthma) R.I.P

Those who snort also carry the risk of asthma attacks, nosebleeds, breathing problems, and damage and irritation to the nasal passages, sinuses, and cartilage of the nose. People who share straws also run the risk of contracting various viral and bacterial infections from other users.
 
Mkuu kama kweli una nia ya kupata majibu yako yaliyo sahihi,nenda mbele za Mungu mwombe au ingia makanisa ya kipentecoste wakati wa sunday school uliza hilo swali lako.Nilikushauri ujifunze kitu kwenye majibu ya Yesu ila umefanya haraka.Soma biblia utapata majibu yako siwezi kukujibu nahitaji kutafuta maandiko mengi zaidi ili nikupe jibu litakalokufaa.Ila binafsi unaweza end kumwuliza Mungu hata Ayubu alimwuliza Mungu siyo dhambi.
Nimesema mwanzo hakuna contradiction,it's your limited knowledge that will contradict you,kuna kitu nafuatilia kwa sasa sitakujibu mapema.

Asante sana ndugu yangu kwa muda wako naamini ukipata hizo findings utarudi unisaidie.
 
With WAHEGURU everything are possible.r.i.p
0de9c5fd35241004d0bdc606d9ba3b6e.jpg
 
Back
Top Bottom