Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Alafu wewe bibi kizeeee nimekuweka kiporoooOk sis.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu wewe bibi kizeeee nimekuweka kiporoooOk sis.
Mkuu km hujui Yesu alikufa kwa kosa LA uhaini,Kama unaamini Biblia ikitaja Yesu aliishi miaka 33 hapa duniani biblia hiyohiyo inaeleza Yesu kristo yeye aliyeutoa uhai wake mwenyewe.Hakufa natural death alitoa uhai wake kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu .Usisome bibilia nusu ukiamua kusoma biblia soma yote na ukubaliane na maneno yote ya kwenye biblia.Kifo cha mapema sio mpango wa Mungu!
Alafu wewe bibi kizeeee nimekuweka kiporooo
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] nimeshakuona sku mingiii sana stay tune!!!!!You are welcome.
Anytime hun just bring it on.
Acha upumbavu..Maisha kujirusha ngada na ngono daima si marefu hasa Africa. Utavumaaaaa ila mwisho utapasuka tu. Hivi Aggy ni wa watu kutafuta michango ya kumzika? Mipicha yote ile kumbe account zero? Jifunzeni nyie ma staa maisha si hivyo. Mtoto wake tu yupo shule ya kata dahh.
Instagram kuna vituko,huyo sio Juma Kadara kweli?
kama sio kazi utawaambiaje waende mbeya, nenda mwenyewe ukapaone shubamiitii weweKubeba kamera nayo kazi?
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] nimeshakuona sku mingiii sana stay tune!!!!!
Heeee kumbee ndio maana nilikuwa naona shilwadu wanajiandaa kwelii,,
Naomba kuuliza Aggy alikuwa anavaa vizuri sana alikuwa ana ofisi wapi muda wote yupo kimtoko!
Na kupendeza kote kule hamuhudumii mwanae ??yatajulikana tu
Thread ya msibani. Watu wanataka kulianzisha.Nilijua tu...litarudi kwa speed ya mwanga gizani...
Otoro...unalikoki....likiwaka usiombe pooh!
We haya weeh.....
Lumburia umetisha.Muuza ngada na papuche kavuta Pole kwa wazazi na Jamaa zake ila ni faraja kwa wazazi WA mateja mi sijaumia wala nini alale mbele msambwanda akamuuzie lucifer....
Biblia yangu imeandikwa akikubali kufa kwa ajili ya kuukomboa ulimwengu. Hakuna palipoandikwa amejiua/ametoa uhai wake yeye mwenyeweKama unaamini Biblia ikitaja Yesu aliishi miaka 33 hapa duniani biblia hiyohiyo inaeleza Yesu kristo yeye aliyeutoa uhai wake mwenyewe.Hakufa natural death alitoa uhai wake kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu .Usisome bibilia nusu ukiamua kusoma biblia soma yote na ukubaliane na maneno yote ya kwenye biblia.Kifo cha mapema sio mpango wa Mungu!