TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Kama unaamini Biblia ikitaja Yesu aliishi miaka 33 hapa duniani biblia hiyohiyo inaeleza Yesu kristo yeye aliyeutoa uhai wake mwenyewe.Hakufa natural death alitoa uhai wake kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu .Usisome bibilia nusu ukiamua kusoma biblia soma yote na ukubaliane na maneno yote ya kwenye biblia.Kifo cha mapema sio mpango wa Mungu!
Mkuu km hujui Yesu alikufa kwa kosa LA uhaini,
 
tapatalk_1521266737314.jpg
 
Maisha kujirusha ngada na ngono daima si marefu hasa Africa. Utavumaaaaa ila mwisho utapasuka tu. Hivi Aggy ni wa watu kutafuta michango ya kumzika? Mipicha yote ile kumbe account zero? Jifunzeni nyie ma staa maisha si hivyo. Mtoto wake tu yupo shule ya kata dahh.
Acha upumbavu..

Hata angeacha bilioni kwenye account zake ..unafikiri mtu akifa unaenda kujichotea tuu hela bank .. nyambafu kabisa

Halafu unaweza ukawa unahoji account za watu huku ukiwa huna kitu
 
Heeee kumbee ndio maana nilikuwa naona shilwadu wanajiandaa kwelii,,
Naomba kuuliza Aggy alikuwa anavaa vizuri sana alikuwa ana ofisi wapi muda wote yupo kimtoko!
Na kupendeza kote kule hamuhudumii mwanae ??yatajulikana tu

Jamani si uko mjini, hujui kutupia picha vile na mitako nje nje ndio tunamtafuta kwa speed kitu msambwanda bana? Au biashara hujui ni matangazo, alikuwa kifaa basi tu, kwaheri Aggie
 
Muuza ngada na papuche kavuta Pole kwa wazazi na Jamaa zake ila ni faraja kwa wazazi WA mateja mi sijaumia wala nini alale mbele msambwanda akamuuzie lucifer....
 
Kama unaamini Biblia ikitaja Yesu aliishi miaka 33 hapa duniani biblia hiyohiyo inaeleza Yesu kristo yeye aliyeutoa uhai wake mwenyewe.Hakufa natural death alitoa uhai wake kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu .Usisome bibilia nusu ukiamua kusoma biblia soma yote na ukubaliane na maneno yote ya kwenye biblia.Kifo cha mapema sio mpango wa Mungu!
Biblia yangu imeandikwa akikubali kufa kwa ajili ya kuukomboa ulimwengu. Hakuna palipoandikwa amejiua/ametoa uhai wake yeye mwenyewe
 
Back
Top Bottom