GE2025 Agosti 9, 2025: Rais Samia achukua fomu ya urais

GE2025 Agosti 9, 2025: Rais Samia achukua fomu ya urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chama cha Mapinduzi kesho, Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dk.Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dk.Emmanuel Nchimbi, wanaenda kuchukua fomu...kwenye Tume Huru Ya Uchaguzi Dodoma"- Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla

No impact
Anayependekezwa hatakubaliwa

Hata akikubaliwa hatachaguliwa

Hata akichaguliwa hatashinda

Hata akishinda hatatangazwa kuwa mshindi

Hata akitangazwa kushinda hatakalia kiti

Hata akikalia kiti hatatawala yeye

Hata akitawala yeye nafsi za watawaliwa zitaingiwa na roho ya kujiamulia nani awatawale na kwa masharti gani.
 
🙆🏻‍♂️🥲NINGELIJUA NINGEFUNGUA MGAHAWA DODOMA tokea mwezi wa 4 ule🍉🥞🍖
 
Hawajafuata utaratibu wa Chama chetu, hao wacheni kesho wachukue ila hawafiki popote.
 
Je wataidharau mahakama? Au CCM Iko juu ya mahakama? Vipi ingekuwa chadema?
 
Sikuzuia chura kiziwi yuko serious kiasi hiki. Kwamba kama mbwai na iwe mbwai
 
Leo itakuwa ni siku ya kihistoria,na nadhani haipewi attention inayostahili. Matukio muhimu ya historia lazima yaeleweke vizuri. Hivyo tu ndivyo unavyoweza kutabiri mambo yayakayotokea siku zijazo.
Mtu huyu anapandishwa cheo,mtu huyu anauawa: haya mambo yanafahamika tayari if you have your ear on the ground.
Ndiyo maana mi nastaajabu kuona kwamba Rais atachukua fomu kesho and yet hilo siyo kati ya mambo yanayojadiliwa hapa .
Sasa Rais huyu kaleta maendeleo sana. Nilikuwa natembea jioni hii nimepita Mwenge kutazama kituo cha mabasi ni meona maajabu kabisa, maendeleo makubwa.
Matatizo yanatokea,watu wengine wamesema hawatashiriki Uchaguzi mpaka tabia za ukatili zikomeshwe. Rais Samia hajasema hata siku moja kwamba ana kiu ya kutesa watu. Sasa malalamiko kama haya yakitokea anakuwa hajui ajibu nini.
CCM imeamua Rais Samia apewe mitano tena. Polepole sijui analalamika nini.
Tatizo ni kwamba Chadema haielekei kama itashiriki katika Uchaguzi,jambo ambalo EU na White House wanapinga sana.
 
giphy.gif
 
Back
Top Bottom