GE2025 Agosti 9, 2025: Rais Samia achukua fomu ya urais

GE2025 Agosti 9, 2025: Rais Samia achukua fomu ya urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
downloadfile-3.jpg
 
Chama cha Mapinduzi kesho, Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dk.Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dk.Emmanuel Nchimbi, wanaenda kuchukua fomu...kwenye Tume Huru Ya Uchaguzi Dodoma"- Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla

Haahaa wahuni wamembana mama Kila kona, chezea Wana mtandao wewe...
 
Wameshaonywa lakini wasiende.... Mwana kulitafuta.....!!!!
Huyu aliyewaonya ana mamlaka gani au nguvu gani?
Na ana utakaso gani hadi awaamuru wenzake au kuwaonya?

HUYO NAYE NI KEYBOARD WARRIOR KAMA WENGINE TU!
 
Wameshaonywa lakini wasiende.... Mwana kulitafuta.....!!!!
moyo wa mwanadamu aliyeanguka huwa na asili ya kiburi. Kiburi hutangulia uangamivu.

“Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko.
”
— Mithali 16:18 (Biblia Takatifu)
 
Back
Top Bottom