Agriculture,Fisheries and livestock in Tanzania - East Africa

Kwikwikwikwi sasa hivi yatajulikana tu. Tanzania ya jana sio ya leo.
Halafu usitutanie mnawauzia UN kitu gani uwe specific. Kama maua sema tunawauzia UN maua. Na useme, maana ya UN isije ikawa unamaanisha Uhuru wa Nairobi.
UN inunue maua ikitafuta nini?
wananunua mafuta, chandarua, vifaa vya ujenzi, lakini sana sana ni chakula kinanunuliwa na WFP,UNHCR.... tena tunawauzia kwa faida baada ya kununua kwa bei rahisi huko Tz, alafu hio faida ndo tunatumia kununua chakula chetu ..

hicho chakula tunacho nunua tz sidhani kinapita hata $100 million

 
Haya haya wale wavuta sigara. Nawaletea tumbaku safi kutoka tanzania.
Tumbaku hupatikana tabora, kahama, geita nk

Leteni pesa mpate tumbaku na sigara safi toka tanzania. Achaneni na mirungi na kunywa chang'aa
 
Endelea na takwimu zako.
 
Usianze na mimi ewee bwana.You will not notice what hit you my Friend.Sitaki ushenzi ya mla Albino.Get out of my sight.Bora usiniroge

Nilijua utazungumzia mambo ya Albino kwa kuwa huna kitu chochote chenye substance 2 contribute!

Revisit contribution ya Mkenya mwenzako one Waltham, huyo anaonyesha amekwenda shule, siyo wewe hybrid vigor product wa slums dwellers wa Kibera ndiyo maana huna maadili, masaa yote unatumia lugha chafu, ndiyo mazingira uliyo kuwa raised - who can blame you?
 

Kuna mengi machafu ya kuzungumzia Tangachoo...You are very pretentious evil people.You behave as if Your slum city and your witch country is a small heaven on earth...far from it.Look inward my friend...toka hapo mwananyamala kwa kopa and educate yourself.Usilie sana...pia wewe unachokijua Kenya ni Kibra tu....Get a life and I will punch you left right and centre as long as you portray my country in the manner you are doing...Now go bitching in that Jukwaa la siasa and stop this nonsense you son of a b*****
 
Pata dagaa safi kutoka mwanza.
Najua kenya wanaogopa kuingia ziwa Victoria kwa sababu ya M7 atawagonga kutokana na kisiwa cha migingo.
Unaweza pata dagaa watamu toka mwanza
 
Vipi ndugu umevamiwa na mapepo?
Mbona jambo tunaloongelea ni tofauti kabisa?
Leta pesa tuwauzie bidhaa.
 
Nawaletea mawese safi toka kigoma.
Mawese yanatokana na michikichi - red palm.
Pia maweze hutumika kutengeneza sabuni safi kabisa.
Unajua wakenya ni weusi sana kama mkaa. Ni vyema wakaogea sabuni zitokanazo na mawese na watang'aa japo kidogo.
 


Mbona basi sijawai ona beef au maziwa toka campuni za tanzania huku kenya....... lakini huko Tz maziwa na packed frozen feef ziko kwa wingi ndani ya supermarkets.........
kama mko na ngombe na mbuzi wengi basi labda mnatuuzia wwakiwa hai , na maziwa yakiwa raw milk, alafu si tunachukua na ku process alafu tunawaregeshea kama proccessed goods tunawauzia bei ghali
 
Huyu jamaa hata Mimi nilishamuambia hayupo sawa labda kuna fyuzi imechomoka kichwani.Hawezi kuchangia mada bila kuongelea albino. Labda atakua yeye ndio anajihusisha na hiyo biashara chafu isiyo yakibinadam.
 
Maembe sasa.
Maembe kila kona TZ yanapatikana. Lakini kwa wingi ni
Tanga, Morogoro, Pwani, Geita, Shinyanga, Mwanza nk.
 
Endelea na takwimu zako.
Umeshinda ukiongelea ukulima na biashara.... kila unapo andika lazma useme leteni pesa.........
alafu nakuletea takwimu, unazitupilia mbali u atuekea mapicha ya holland, haha,..... kumbe hata si mkulima wala mwanabiashara, hujui A wala B kwa mambo ya ukulima, uko hapa kujifarijibele ya wakenya tu, wala haujali kilimo,...waltham alikua anaeka post zake vizuri sana, zilikua informative, zilikua na maelezo,recomendation,best practices...mkulima halisi atakua more interested in those exchanges in best practices plus actual pictorial evidence.... wakati wewe hata ulikua hauoni aibu kutuekea screen saver za kutoka holland -a first world country where the cost of agriculture is very cheap, the soil is different, the weather is completely different.........
sawa ntaendelea kukuletea takwimu, maanake kama ulikua haujui takwimu na hesabu ni muhimu sana kwa kilimo-biashara.... mkulima mtanzania akiona hizo takwimu na ajue kenya inauzia chakula kingi zaidi UN kuliko kile wanacho nunua toka Tz, anaeza amua kuongea na UN yenyewe (to skip the middlemen na auzie chakula directly ili faida yote aipate yeye) maanake chakula hicho kinauziwa UN hutumiwa kulisha refugees hapa kenya, msaada somali, s.sudan na hata DRC ambayo iko karibu yenu huko Tz.

Mkulima wa maua tanzania akipata takwimu za 2013, atagundua huo mwaka, tanzania ili produce maua mengi kuliko kenya (sababu ya general election jitters huku kenya) lakini kenya bado ilipata faida nyingi zaidi, sababu pale JNIA hakuna storage refregiration facilities za kutosha, tena ndege za cargo sio nyingi pamoja na shida zengineo za logistics, kwahivyo maua yakisafitishwa kupitia hio njia ya JNIA, by the time yamefika ulaya hua yamenyauka........... sasa mkulima mtz akiwa na hio takwimu anajua shida si mazao, shida ni logistics haswa pale JNIA....unaona vile takwimu zinasaidia?????? haya we tubandikia mapicha ujifurahishe
 


Well we know your level of intelligence judging from the asinine comments.
 
Sasa haya maelezo yote ya nini sasa kwenye uzi huu?
 
Export Market
Kenya Meat Commission is the biggest and most modern licensed export abattoir in East, Central and the Horn of Africa. Kenya Meat Commission supplies top quality meat products to international markets such as:
Middle East i.e. U.A.E, Kuwait, Qatar, Saudi Arabia
East Africa i.e. Tanzania, Uganda
Central Africa i.e. Democratic Republic of Congo
North Africa i.e. Sudan, Egypt
Since it’s reopening, KMC exports an average of 500 tons of fresh and frozen goat, lamb and beef by air, road and sea every week. Export consignments such as whole carcasses, primal cuts, canned products and other value-added products are professionally and hygienically packed for various markets.
EXPORT PRODUCT RANGE
KMC produces and offers for export sale the following products:
Whole carcasses of beef, lamb and goat both chilled and frozen
Special prime cuts – rump steak, sirloin, topside, fillet etc
Value added products – meat balls, beef burger, marinated products, stir fries, sausages, pet food etc
Canned products – corned beef, ox-tongue, and pet food
By products – meat and bone meal, tallow, skin and hide, blood meal, horns and hooves, ox-gall, ox-skull, mask, ox-pizzle, ears etc
Offals – liver, tripe etc
Beef Primal Cuts for Export
Process and Procedure
KMC procures all its raw materials for its processes with due consideration to high quality standards at all times. Strict procedures in livestock procurement and sourcing are adhered to. Stringent veterinary inspections of animals in the field, at reception, during the slaughter process and also at dispatch of the products are adhered to. KMC is certified as ISO22000:2005, Food safety management based ISO. In addition the facility is Halal certified and its product conforms to Kenya Bureau of Standard (KEBS) requirements.
KMC Export Requirements
KMC requires the following information from the export customer:
1. Company's Name, Profile Memorandum of Association
2. Custom Pin No.
3. Weekly/Monthly projection of export volumes in tonnes
4. Specification i.e. age, weight of lamb, goat and beef
5. Letter of no objection from the country you are exporting to.
Export documents to be provided by KMC
1. Certificate of origin
2. Veterinary certificate
3. Health certificate
4. Halal certificate
5. Proforma invoice


 
Wewe mama rudi zako milembe ulikotoroka, ama umhudumie mmeo hapo nyumbani, kazi kutuzingua wastaarabu humu...eboooo!!
Kwikwikwikwi. Kama unaona inakukera usisome huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…