Agriculture,Fisheries and livestock in Tanzania - East Africa

Agriculture,Fisheries and livestock in Tanzania - East Africa

Sasa haya maelezo yote ya nini sasa kwenye uzi huu?
nenda forum yoyote ya ukulima, maelezo na kujadiliana na takwimu ni muhimu zaidi!
Lakini nakuelewa, ni vile wengi wetu hapa ni shallow minded , tunafurahia mapicha tu, hatutaki mengine...... nikama wale watu wazima hupenda kusoma vile vitabu vya hadithi za watoto zenye picha nyingi kuliko maandisha badala ya kusoma novel ama hata short stories zenye hazina mapicha
 
nenda forum yoyote ya ukulima, maelezo na kujadiliana na takwimu ni muhimu zaidi!
Lakini nakuelewa, ni vile wengi hapa wetu ni shallow minded , tunafurahia mapicha tu, hatutaki mengine...... nikama wale watu wazima hupenda kusoma vile vitabu vya hadithi za watoto zenye picha nyingi kuliko maandisha badala ya kusoma novel ama hata short stories zenye hazina mapicha
Acha kutukana wewe. Na kuwaambia watu wapo shalow. Wewe uwezo wako wa akili upoje?
Nyie mkaalia ushindani tu. Wenzako wanakufa na njaa wewe unakuja ku yap yap hapa.
Wewe takwimu hizo zinahusikana nini na huu uzi. Kama inakukera acha kusoma thread zangu.
 
Umeshinda ukiongelea ukulima na biashara.... kila unapo andika lazma useme leteni pesa.........
alafu nakuletea takwimu, unazitupilia mbali u atuekea mapicha ya holland, haha,..... kumbe hata si mkulima wala mwanabiashara, hujui A wala B kwa mambo ya ukulima, uko hapa kujifarijibele ya wakenya tu, wala haujali kilimo,...waltham alikua anaeka post zake vizuri sana, zilikua informative, zilikua na maelezo,recomendation,best practices...mkulima halisi atakua more interested in those exchanges in best practices plus actual pictorial evidence.... wakati wewe hata ulikua hauoni aibu kutuekea screen saver za kutoka holland -a first world country where the cost of agriculture is very cheap, the soil is different, the weather is completely different.........
sawa ntaendelea kukuletea takwimu, maanake kama ulikua haujui takwimu na hesabu ni muhimu sana kwa kilimo-biashara.... mkulima mtanzania akiona hizo takwimu na ajue kenya inauzia chakula kingi zaidi UN kuliko kile wanacho nunua toka Tz, anaeza amua kuongea na UN yenyewe (to skip the middlemen na auzie chakula directly ili faida yote aipate yeye) maanake chakula hicho kinauziwa UN hutumiwa kulisha refugees hapa kenya, msaada somali, s.sudan na hata DRC ambayo iko karibu yenu huko Tz.

Mkulima wa maua tanzania akipata takwimu za 2013, atagundua huo mwaka, tanzania ili produce maua mengi kuliko kenya (sababu ya general election jitters huku kenya) lakini kenya bado ilipata faida nyingi zaidi, sababu pale JNIA hakuna storage refregiration facilities za kutosha, tena ndege za cargo sio nyingi pamoja na shida zengineo za logistics, kwahivyo maua yakisafitishwa kupitia hio njia ya JNIA, by the time yamefika ulaya hua yamenyauka........... sasa mkulima mtz akiwa na hio takwimu anajua shida si mazao, shida ni logistics haswa pale JNIA....unaona vile takwimu zinasaidia?????? haya we tubandikia mapicha ujifurahishe

Naona unaleta porojo hapa, nakubali Waltham ni Pro hata maelezo yake yanadhilisha hilo labda kasoma Chuo Kikuu cha Egerton - lakini wewe mwenzangu mambo ya kudai eti Uhollanzi wanalima maembe, Michikichi na Korosho hizo ni tamthilia za waigizaji wa VOK i.e VITIMBI vya mzee nani yule...?
 
Naona yamepita matangazo kidogo toka kwa ndugu zetu toka kenya.
Sasa tunarudi kwenye mada. Sasa hivi nawaletea zao zuri la vitunguu toka tanzania.
Vitunguu vina kazi nyingi sana mwilini. Na hutumika kama kiungo na hufanya chakula kiwe kitamu.
Vitunguu vinapatikana:-
Arusha, Manyara, Singida, Dodoma na Morogoro.
Vitunguu1.JPG
Vitunguu2.jpg
Vitunguu3.jpg
Vitunguu4.jpg
Vitunguu5.jpg
Vitunguu6.jpg
 
Export Market
Kenya Meat Commission is the biggest and most modern licensed export abattoir in East, Central and the Horn of Africa. Kenya Meat Commission supplies top quality meat products to international markets such as:
Middle East i.e. U.A.E, Kuwait, Qatar, Saudi Arabia
East Africa i.e. Tanzania, Uganda
Central Africa i.e. Democratic Republic of Congo
North Africa i.e. Sudan, Egypt
Since it’s reopening, KMC exports an average of 500 tons of fresh and frozen goat, lamb and beef by air, road and sea every week. Export consignments such as whole carcasses, primal cuts, canned products and other value-added products are professionally and hygienically packed for various markets.
EXPORT PRODUCT RANGE
KMC produces and offers for export sale the following products:
Whole carcasses of beef, lamb and goat both chilled and frozen
Special prime cuts – rump steak, sirloin, topside, fillet etc
Value added products – meat balls, beef burger, marinated products, stir fries, sausages, pet food etc
Canned products – corned beef, ox-tongue, and pet food
By products – meat and bone meal, tallow, skin and hide, blood meal, horns and hooves, ox-gall, ox-skull, mask, ox-pizzle, ears etc
Offals – liver, tripe etc
Beef Primal Cuts for Export
Process and Procedure
KMC procures all its raw materials for its processes with due consideration to high quality standards at all times. Strict procedures in livestock procurement and sourcing are adhered to. Stringent veterinary inspections of animals in the field, at reception, during the slaughter process and also at dispatch of the products are adhered to. KMC is certified as ISO22000:2005, Food safety management based ISO. In addition the facility is Halal certified and its product conforms to Kenya Bureau of Standard (KEBS) requirements.
KMC Export Requirements
KMC requires the following information from the export customer:
1. Company's Name, Profile Memorandum of Association
2. Custom Pin No.
3. Weekly/Monthly projection of export volumes in tonnes
4. Specification i.e. age, weight of lamb, goat and beef
5. Letter of no objection from the country you are exporting to.
Export documents to be provided by KMC
1. Certificate of origin
2. Veterinary certificate
3. Health certificate
4. Halal certificate
5. Proforma invoice

View attachment 437744 View attachment 437745

Tunakubali, mambo ya kusindika vyakula na fruits mko mbali sana, lakini na sisi tuko mbioni kuwapiku. Sasa swali: Nchi ambazo zinaongoza kuwa na ng'ombe wengi barani Africa ni Ethiopia na Tanzania, sasa nyinyi ng'ombe wa kuchinja kwa wingi mnawapata wapi?
 
Nawaona wakenya mnaumi sana. Sasa nawaletea zao lingine zuri kutoka Tanzania. Zao la dengu.
Dengu zinapatikana mikoa ya Shinyanga, Geita, Mwanza, Kigoma, Kagera,Mara, Simiyu nk.
Leteni pesa acheni kulia lia.
Dengu hutumika kutengeneza biscuit, Bagia vile vile hutumika kwenye urembo kuondoa chunusi.
Najua ndugu zangu wakenya wanachunusi za kufa mtu na sura zao zimekomaa sana. Mnaweza tumia dengu asili kuodoa hizo chunusi.
Dengu1.JPG
Dengu2.jpg
Dengu3.jpg
Dengu4.jpg
Dengu5.jpg
 
Wazungu kama jadi yao hawata kubali kuuziwa na mtu ambaye sio mzungu mwezao. Mimi nilisha ona bidhaa za Tanzania kwenye supermarket za UK tena nakumbuka zilikuwa long beans. Lakini ukichunguza sana utakuta zinatoka kwenye shamba la mzungu wenzao alie huku, au mzungu na anayefunga safari na kuja kununua hayo mazao huku. Na Kenya ni hivyo hivyo, na Zimbabwe na South Afrika ni hivyo hivyo. Na ndio tatizo la mkataba wa EPA kwetu Tanzania, kwamba sisi tutalima malighafi wazungu anachukuwa wanakwenda kuongeza thamani halafu wanaturidishia kama bidhaa mpya na kutuuzia.
Fikra kama hizi.....kwa hawa marketers wanaopromote bidhaa za Kenya ughabuni ni wazungu? Uko na evidence yoyote kudhibitisha hayo unayoyasema?
Acheni hizi upuzi bana.
 
Annaeli ni wale watz wa mpakani na Kenya.....huenda ni Mtaveta ,Digo na kadhalika.....
 
Vijana wa Kenya acheni hasira. Nawaletea zao zuri la ubuyu.
Ubuyu ni dawa katika mwili wa binadamu. Hutumika pia kutengeneza mafuta ya kupikia. Mafuta yake ni mazuri sana hayana matatizo mwilini.
Wakenya karibuni tena kwenye zao hili.
Ubuyu unapatikana kwa wingi
Dodo, Singida na Tabora.
Ubuyu.jpg
Ubuyu1.jpg
ubuyu2.jpg
Ubuyu3.JPG
Ubuyu5.jpg
Ubuyu6.jpg
Ubuyu7.jpg
 
Ndugu zangu wanaukimbi nawapa mda kidogo mpumzike muweze kutafakari baadhi ya bidhaa nilizo waletea kutoka Tz.

Najua kuna baadhi ya wakenya ambao hawana hela midomo yao ni kama kasuku hawatafakari hata kidogo.

Lakini wakenya walio wengi wenye pesa hawana midomo sana na hutumia akili.

Kwa mfano kuna lijamaa limoja ninajiita iconoclastes limekomalia vitu vya ajabu ajabu sana huku limejaa povu mdomoni.

Ngoja nilisaidie kidogo.
Ndugu yangu uliye jaa povu mdomoni hizo picha nimekuwekea kwamba aina ya mazao hayo yanapatikana tanzania. Kwa watu wanajua kilimo wananielewa.
Kwa mfano aina flani ya mbuzi kipindi cha zamani walikuwa hawapo hapa Africa mashariki walikuwa wanapatikana ulaya tu.
Lakini sasa mbuzi hao wanapatikana TZ.

Sasa hilo jamaa limekomaa tu bila hata kutumia akili hata kidogo. Kila wakati limekaa kiushindani tuuu.

Basi karibuni tujadili mazao hayo wenye maswali waulize.
Ni bora pia kuonyesha ikiwa Kenya haizalishi hizi bidhaa unazoonyessha humu. Nijuavyo, sis ndio moja wa wale wanaongoza katika uzalishaji wa baadhi ya bidhaa za kilimo Africa. Maziwa, sukari, ngano, mchele, sunflower, millet/sorghum. nyama nk.

Sasa hatuna haja sana ya kuja TZ kuja kunua nyanay, ilhali huku Kenya baadhi hadi huozea masokoni juu ya kukosa wanunuzi. Nyanya kwa sasa huku mtaani kwetu, kifungu kimoja chenye nyanya nne ni shilingi ishirini tu!
Ni mahindi tu ndio sisi hununu kutoka kwenu.

Sasa ni lipi kweli huku Kenya tumekosa?
 
Ndugu yangu mbona maneno mengi sana. Tulia wenzako wenyeshida watakuja.
 
Well we know your level of intelligence judging from the asinine comments.

WELL WE ALL KNOW YOUR IDIOCY,DARK WORLD AND SAVAGE KIND OF LIFESTYLE YOU LEAD.ITS NOT ME TO JUDGE YOU.HALLLOOOOOO.....
 
Nawaona wakenya wanakuja kwa hasira sana kama vile ugomvi.
Sasa nawakaribisha Kivukoni Fish Market mpate samaki safi toka Bahari ya hindi.
Najua wakenya hamuwezi kuingia baharini kwa sababu Al Shababu mmewachokoza wenyewe. Sasa basi mnaweza kufika Kivukoni Fish market na kupata samaki Fresh kabisa waliovuliwa leo leo.
Fish1.jpg
Fish2.jpg
Fish3.jpg
Fish4.jpg
Fish5.jpg
Fish6.jpg
Fish7.jpg
Fish8.jpg
Fish9.jpg
 
Fikra kama hizi.....kwa hawa marketers wanaopromote bidhaa za Kenya ughabuni ni wazungu? Uko na evidence yoyote kudhibitisha hayo unayoyasema?
Acheni hizi upuzi bana.
Mm, kwahiyo umekaa hapo unajiaminisha kwamba, ni mkenya mweusi ndio ana promote bidhaa za Kenya nje. Na wale settlers wenye mashamba makubwa kenya wanafanya nini? Au waliokuwa Zimbabwe waliokuwa wanafanaya nini? Kama sio kushikilia ardhi na kuzalisha bidhaa kwajili ya masoko ya ndugu zao ulaya, hata ukienda Arusha or Moshi ni hao hao wazungu waliokimbilia kuchukuwa ardhi na ndio wanajuwa ndugu zao wanataka kununua nini. Kama weusi wange kuwa na access ya market ya ulaya, nchi zote za Africa wangelima mazao mengi na wakauza ulaya au hata sehemu nyingine. Lakini the bigger export countries za Africa, ni zile zenye settlers wengi wazungu na zenye ardhi inayofa kulima. South Africa, Zimbabwe, Kenya, Ivory Coast.
 
Hayahaya msiyempenda kaja. Ninawaletea karanga safi toka Tanzania.
Karanga huwa inamatumizi mengi sana mwilini.
Wenzetu huko kenya karanga ni kama dhahabu kwao. Sisi kwetu tunakula kama kawa.
Karanga hupatikana mikoa yote ya Tanzania
Karanga1.jpg
Karanga2.jpg
Karanga3.jpeg
Karanga4.jpg
Karanga5.jpg
Karanga6.jpg
 
Umeshinda ukiongelea ukulima na biashara.... kila unapo andika lazma useme leteni pesa.........
alafu nakuletea takwimu, unazitupilia mbali u atuekea mapicha ya holland, haha,..... kumbe hata si mkulima wala mwanabiashara, hujui A wala B kwa mambo ya ukulima, uko hapa kujifarijibele ya wakenya tu, wala haujali kilimo,...waltham alikua anaeka post zake vizuri sana, zilikua informative, zilikua na maelezo,recomendation,best practices...mkulima halisi atakua more interested in those exchanges in best practices plus actual pictorial evidence.... wakati wewe hata ulikua hauoni aibu kutuekea screen saver za kutoka holland -a first world country where the cost of agriculture is very cheap, the soil is different, the weather is completely different.........
sawa ntaendelea kukuletea takwimu, maanake kama ulikua haujui takwimu na hesabu ni muhimu sana kwa kilimo-biashara.... mkulima mtanzania akiona hizo takwimu na ajue kenya inauzia chakula kingi zaidi UN kuliko kile wanacho nunua toka Tz, anaeza amua kuongea na UN yenyewe (to skip the middlemen na auzie chakula directly ili faida yote aipate yeye) maanake chakula hicho kinauziwa UN hutumiwa kulisha refugees hapa kenya, msaada somali, s.sudan na hata DRC ambayo iko karibu yenu huko Tz.

Mkulima wa maua tanzania akipata takwimu za 2013, atagundua huo mwaka, tanzania ili produce maua mengi kuliko kenya (sababu ya general election jitters huku kenya) lakini kenya bado ilipata faida nyingi zaidi, sababu pale JNIA hakuna storage refregiration facilities za kutosha, tena ndege za cargo sio nyingi pamoja na shida zengineo za logistics, kwahivyo maua yakisafitishwa kupitia hio njia ya JNIA, by the time yamefika ulaya hua yamenyauka........... sasa mkulima mtz akiwa na hio takwimu anajua shida si mazao, shida ni logistics haswa pale JNIA....unaona vile takwimu zinasaidia?????? haya we tubandikia mapicha ujifurahishe
9e51566933c56f430217b8bfe802e02b.jpg

Swissport Tanzania : New Cold Storage Facilities At JNIA to Boost Fresh Produce | 4-Traders
 
Mbona basi sijawai ona beef au maziwa toka campuni za tanzania huku kenya....... lakini huko Tz maziwa na packed frozen feef ziko kwa wingi ndani ya supermarkets.........
kama mko na ngombe na mbuzi wengi basi labda mnatuuzia wwakiwa hai , na maziwa yakiwa raw milk, alafu si tunachukua na ku process alafu tunawaregeshea kama proccessed goods tunawauzia bei ghali
Tembea ujionee, usingoje kubwa.
 
Back
Top Bottom