Nenda Chato ukaone viwanja vya ndege, viwanja vya gofu, taa za barabarani/mashambani, maghorofa ya mahotel, mbuga za wanyama za kulazimisha na majumba yasiyo na kazi yalivyosiamama huko. Alitaka kukibadilisha Kijiji cha Chato kuwa jijionesha ushahidi wa mali yoyote kaacha huyo marehemu yenye nusu thaman ya 1.5B
Unaunafiki SANA wewe. UtakumalizaNimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??
Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?
Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.
Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!
Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.
Nimemaliza!
Wewe nawe na JanuaryHata bilioni 6 za vyura alizo saini Kalemani wakati Rais Magufuli mwaka 2020 wanajaribu kumuangushia January na Samia..
Mchezo huu tumestukia mapema..
CAG ripoti inasema huo mkataba umesainiwa mwaka 2020...wao hawamgusi Kalemani kabisa
Hujajibu hoja . Jukwaa hili ni la watu wenye bongo (GT). Kama umezidiwa uwezo na hoja bakia Facebook kwa wenzioMkuu
Endelea kusaka danga kule
Huku tuachie madanga turaruane kwa hoja
tupo hapa kukemea baya lolote sio kumteta mtu , kuna watu wa karibu yenu ubong ukaribia wa znjnthropus , unatetea mtu kisa anamchukia usie mpenda ila huangalii mabaya yake TAKATAKAAA KBSTunisia na ripoti ya CAG vimeingiaje?
We ni msomi kweli?
CAG anasema mkataba WA vyura Marekani umesainiwa mwaka 2020..
Wewe Hilo nalo utapinga?..
Wewe utahamia wapi?au wewe Una haki zaidi ya kuhamisha wengine ??
Selective outrage sio kitu kipya
Twende kwa hoja. Hivi nani mnafiki kati yangu mm na ninyi mnaopanua vinywa vyenu hivi Sasa?Unaunafiki SANA wewe. Utakumaliza
Pekua huko nyuma uone, mimi nilikuwa critique Kwa kila Rais, ila watu kama nyie mnaangalia affiliation na viushungi vyenuKama hamkufanya hivyo kwa jiwe aliyeiba mwenyewe 1.5 trilioni na kumfukuza prof. Assad kwa kuziweka kwenye ripoti, hamna uhalalli wa kupiga kelele hivi Sasa. Mnaonekana wanafiki mliojaqa chuki binafsi.
Nimebishana na watu vibaya mno. Mkataba uliingiwa wakati wa Mkapa. Uliisha wakati wa Magufuli. Kwa Nini hakuwarudisha hao vyura? Ditto James kama mlipaji mkuu wa serikali aliingia mkataba mwingine mwaka 2020 Juni. Makamba hakuwepo ila Leo kila mtu anamtwisha mzigo usiomhusu. Tuacheni unafiki. Braza anajua na nyota anayo pamoja na bahati. Usiulalie mlango wazi maana utapitiwa na usingizi.Hata bilioni 6 za vyura alizo saini Kalemani wakati Rais Magufuli mwaka 2020 wanajaribu kumuangushia January na Samia..
Mchezo huu tumestukia mapema..
CAG ripoti inasema huo mkataba umesainiwa mwaka 2020...wao hawamgusi Kalemani kabisa
Wewe acha mapepe yako Mama kashachukua hatua kawaita "stupid".Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??
Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?
Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.
Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!
Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.
Nimemaliza!
KinyamaUnazingua
Hujamlizia mama kaiba fedha za watanzaniaNimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??
Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?
Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.
Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!
Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.
Nimemaliza!
Tusipokuwa makini awa wajinga watatumaliza kwa kwa hoja zao dhaifu kuwa Kila anaehoji kitu Cha serikali ni Sukuma gangDuh! Kwa hiyo kitu kama "over invoicing" ya manunuzi ya ndege ya mzigo kutoka 57 $mil hadi 86 $ mil, tunyamaze kwa sababu Sukuma gang nao wanaipigia kelele.! Kwa hiyo nchi nzima tunyamaze kwa point za kijinga kama hizi!
Hapa unamtetea nani?
Mtu kama wewe ukiwa Chawa basi naamini asali ni tamu.Hata bilioni 6 za vyura alizo saini Kalemani wakati Rais Magufuli mwaka 2020 wanajaribu kumuangushia January na Samia..
Mchezo huu tumestukia mapema..
CAG ripoti inasema huo mkataba umesainiwa mwaka 2020...wao hawamgusi Kalemani kabisa
Wewe nae chenga tu siku hiziNimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??
Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?
Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.
Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!
Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.
Nimemaliza!
We kipindi hicho ulikuwa wapi mbona hukuandamana au kulalamika kuwa umeibiwa helaHizi hela zinaikaribia 1.5 trilioni? Zilipokwapuliwa 1.5 trilioni na jiwe mlipaswa kuandamana na kumuondoa madarakani.
Kama hamkufanya hivyo kwa jiwe aliyeiba mwenyewe na kumfukuza prof. Assad kwa kuziweka kwenye ripoti, hamna uhalalli wa kupiga kelele hivi Sasa. Mnaonekana wanafiki mliojaqa chuki binafsi.
Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??
Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?
Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.
Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!
Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.
Nimemaliza!
Nisamehe, nimeifuta kwenye comment yanguKuniita mjinga ni kunitukana.
Ninakurepoti kwa mods kama maneno haya yanaruhusiwa
Naona kama hizi kelele zinaambatana na chuki na unafikiKWA HIYO ULITAKA WATU WAKAE KIMYA LICHA YA MADUDU YANAYOFANYIKA YANAONEKANA
Hapana. Mama huyu hakuna haja ya kumkemea, kumzodoa ama kumtisha. Ni msikivu sana. Hivyo tumpe ushauri wa maana ataufanyia kazi.Pekua huko nyuma uone, mimi nilikuwa critique Kwa kila Rais, ila watu kama nyie mnaangalia affiliation na viushungi vyenu