Ahaa! Kumbe wanatumia ripoti ya CAG kukamilisha ajenda yao!!!! Mama usiyumbishwe

Kama kipindi Cha J.p.m Kuna hizo hela ziliibwa kama anavyo dai je alizuiliwa kuhoji aweke ushahidi apa
Ache upimbi wake
Umesahau kuwa alikuwa anateka, anaua, anapiga watu risasi na anapora watu?? Nani angethubutu kuhoji???
 
Bora hata magufuli alifukuza watu nyie mpaka Leo mmemuonya hata mtu mmoja?
Mbona hakujifukuza yeye mwenyewe? MwiI namba moja alikuwa yeye jiwe, maana aliiba 1.5trilioni.
 
Hata bilioni 6 za vyura alizo saini Kalemani wakati Rais Magufuli mwaka 2020 wanajaribu kumuangushia January na Samia..
Mchezo huu tumestukia mapema..
CAG ripoti inasema huo mkataba umesainiwa mwaka 2020...wao hawamgusi Kalemani kabisa
Chawa wa Mama mtetezi wa dinišŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Jiwe alikuwa muuaji na mwizi
 
Nenda Chato ukaone viwanja vya ndege, viwanja vya gofu, taa za barabarani/mashambani, maghorofa ya mahotel, mbuga za wanyama za kulazimisha na majumba yasiyo na kazi yalivyosiamama huko. Alitaka kukibadilisha Kijiji cha Chato kuwa jiji
Kwani anayefaidika hapo ni nani?
 
Toa ripoti yako ya upotevu wa 1.5 trilioni tuujadili.
 
Huyo Magufuli Wako Alifukuza Asiowapenda.

Magufuli Ndiyo Rais Pekee Katika Nchi Yetu Aliyeongoza Kwa Kuiba Pesa Nyingi.1.5 Trilion Siyo Kidogo Haijawahi Tokea Toka Tanzania Imekuwa Nchi Huru.

Bila Kusahau Genge La Majambazi Yakunyanganya Watanzania Pesa .

Utekaji .Na Uuwajj.
 
Kwahyo hivi ndivyo vilikuwa vipaumbele vya huyo mama yenu alipokabidhiwa kijiti kutuongoza kama rais?

Saiv sukuma gang kimekuwa ndo kichaka cha kujifichia watu wakihoji issue sensitive za kitaifa. Kwani CAG alitumwa na Sukuma gang kuibua huo ufisadi wenu?

Yaani mnaiba halafu bado mnapata nguvu ya kuja kutunanga aisee! Hivi unajua nyie jamaa mnadharau sana?!

Yaani mnaona 'Kuwafanya wapinzani kuwa ndugu' ni achievment kuubwa sana kwa kiongozi wa nchi kiasi cha kuacha sasa watu wajilie pesa ya umma watakavyo?!..Mapinzani nayo kama majingašŸ˜’
 
Sababu nyingine ya kufanya Jpili ya leo Nivute kaya siku nzima huku nikisikiliza hotuba za hayati Jiwe JPM kiboko ya wahuni na mafisadi wa Taifa hili.
Jiwe alimfunga fisadi gani wa nchi hii zaidi ya kubambikiza watu kesi za uhujumu uchumi? Kamuulize MO yaliyomkuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…