GE2025 Ahadi za Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan kwa siku 100 za kwanza za uongozi wake miaka mitano ijayo (2026 -2030)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama hizi ndio ahadi za mtu aliyekaa ikulu miaka minne,basi tuna kazi kubwa kama taifa.
Huenda ndio maana anawahofia Lisu na Mpina.
 
Kumewashikaa kumewaka 🔥🔥🔥#HAIJAPATAKUTOKEA #TUKAWASHANGAZE🇹🇿Kiongozi imara sana🔥🔥🔥#HAIJAPATAKUTOKEA #TUKAWASHANGAZE🇹🇿Kumewashikaa kumewaka 🔥🔥🔥#HAIJAPATAKUTOKEA #TUKAWASHANGAZE🇹🇿
 
Attachments

  • 6e275ff2-e388-48d3-9f27-a0792bf87f7b-watermark.mp4
    879.7 KB
Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje.

Maana ni hiyo hiyo inayoweza kumwezesha Nchimbie kuchukua uraisi.

Hiyo ibara inaogofya kwa Rais aliyeko madarakani na inatamanisha kwa Makamu wa Rais.
 
AHADI ZA SAMIA NDANI YA SIKU 100 BAADA YA KUCHAGULIWA (ATAKAYOFANYA)​

1. Utazinduliwa rasmi mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio. Wakianza Wazee, Watoto, Wajawazito, na Wenye Ulemavu. Gharama za matibabu kwa makundi haya zitabebwa na mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.

2. Serikali itaanza kugharimia kwa asilimia 100 matibabu na vipimo vya Kibingwa kwa Wananchi wasio na uwezo kwa magonjwa yasiyoambukiza, ikiwemo Saratani, Figo, Moyo, Sukari, Mifupa na Mishipa ya Fahamu. Haya ndio magonjwa ya gharama kubwa kwa watu wasio na Uwezo

3. Serikali itaajiri Wahudumu wa Afya Wapya 5,000 ndani ya hizo siku 100, wakiwemo Wauguzi na Wakunga kusaidia zaidi afya ya Mama na Mtoto.

4. Serikali itapiga marufuku hospitali yoyote nchini kuzuia miili ya Marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu aliyopatiwa marehemu yazijalipwa. Serikali itakuja na mfumo mwingine wa kuhakikisha jamaa wa marehemu wanalipa gharama hizo.

5. Serikali itaandaa mkakati madhubuti wa Kisayansi kuhakikisha kila mtoto wa darasa la 3 anaweza kusoma, husebu na kuandika bila shida. Katika kutimizia hilo, Serikali itaajiri Walimu 7000 wa masomo ya Sayansi na Hisabati.

6. Uzinduzi wa mpango wa pamoja kati ya Waajiri, Vyuo vya Ufundi stadi (VETA) na vingine na Vyuo Vikuu ili kulinganisha mafunzo na mahitaji ya sekta za kipaumbele kama Nishati, TEHAMA, Viwanda vya kuongeza thamani na maeneo kama hayo na kufanya Wanafunzi wa VETA kuchukuliwa viwandani kufanya kazi za mazoezi

7. Serikali itatenga Bilioni 200 ili kuwezesha upatikanaji wa mitaji kwa Wafanyabishara ndogondogo na za kati na kuwezesha uendeshaji wa Kampuni changa (Start-Ups)

8. Tutarasimisha sekta zisizo rasmi yaani Mama Lishe , Maafisa Usafirishaji (Bodaboda), na bajaji na Wajasiriamali wadogo watarasimishwa ili waingie mfumo rasmi wa Serikali waweze kupata huduma zao na kuweza kushirikiana na Serikali

9. Uanzishwaji wa Programu maalimu za Mitaa ya Viwanda Wilayani yenye kulenga kuzalisha ajira kwa Watanzania kuongeza thamani ya bidhaa za Kilimo, Mifugo, Uvuvi, Madini, Misitu na uzalishaji wa vifaa vya ujenzi

10. Ujenzi wa gridi ya Taifa ya maji utaanza kwa lengo za kuwa na vyanzo vya uhakika vya maji. Vyanzo ni kutoka Ziwa Victoria, Tanganyika na Ziwa Nyasa pamoja na mito mikubwa

11. Jitihadi za matumizi ya Nishati safi zitaendelezwa ili kupunguza utegemezi wa kuni na mkaa ili kutunza mazingira

12. Uanzishwaji wa mifumo rafiki ya Uwajibikaji ambapo Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Watendaji wengine wa Serikali watatoa taarifa na kujibu maswali kutoka kwa Wananchi kwa njia ya Kidigitali na SMS za bure. Hiki ndicho kitakuwa kipimo cha Mawaziri - Ameulizwa ngapi, amejibu ngapi na kuchukulia hatua ngapi

13. Tutaendeleza mashauriano na Wadau wa Siasa, Taasisi za Kiraia na Sekta Binafsi, kwa kuunda Tume ya Kuanzisha Mazungumzo ya Maridhiano na Upatanishi na kuandaa mazingira ya kuanza kwa Mchakato wa Katiba Mpya.

Samia amesema "Kwa ujumla kwa miaka 5 ijayo serikali ya CCM imejipanga kuongeza nguvu kwenye ubora wa huduma zinazotolewa kusimamia haki, amani na utulivu wa kisiasa ili tuweze kukuza uchumi na kuleta maendeleo na ustawi wa Taifa."

Rost tamu
 
Vyote vilivyoanishwa hapo hakuna jipya bali ni wajibu wa kila siku wa Serikali, ambavyo vilitakiwa vifanyiwe kazi siyo mpaka ahadi ya Chama.. Uwajibikaji siyo swala la kuahidi, ila la lazima kwa watendaji siyo mpaka upigiwe Kura ndo usimamie..
 
Samia anaweza kuitekeleza ilani yote ndani ya miaka miwili
 
Miaka yote mitano hatafanya chochote cha maana.hatakuwa na Fedha ya kutosha kwani wafadhili watamkimbia na uwezo wa kuthibiti ufisadi utapungua sana
 
Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje.

Maana ni hiyo hiyo inayoweza kumwezesha Nchimbie kuchukua uraisi.

Hiyo ibara inaogofya kwa Rais aliyeko madarakani na inatamanisha kwa Makamu wa Rais.
 
Daktari samia suluhu Hassan mgombea uraisi chama Cha mapinduzi asema kwamba serikali itaanza kugharamia matibabu na kutoka vifaa vya kibingwa kwa magonjwa kama kisukari Figo na moyo pia vipimo vya magonjwa haya vitatolewa bure katika hospital zote kwa wagonjwa wasiokuwa na uwezo zinazoshughulika na magonjwa hayo
 
Attachments

  • IMG-20250828-WA0467.jpg
    IMG-20250828-WA0467.jpg
    154.9 KB · Views: 29
Serikali inayoongozwa na awamu ya Sita Dkt.Samia Suluhu Hassan(SSH)amesema atagharamia vipimo takriba watu 100 kuwapatia matibabu wasiokuwa na uwezo.Hasa wale wenye magonjwa yasiyoambukizwa mfano Moyo,kisukari na Figo
#Haijapatakutokea
#Tutawashangaza
 
Attachments

  • IMG-20250828-WA0438.jpg
    IMG-20250828-WA0438.jpg
    154.9 KB · Views: 32
Daktari samia suluhu Hassan mgombea uraisi chama Cha mapinduzi asema kwamba serikali itaanza kugharamia matibabu na kutoka vifaa vya kibingwa kwa magonjwa kama kisukari Figo na moyo pia vipimo vya magonjwa haya vitatolewa bure katika hospital zote zinazoshughulika na magonjwa hayo
 
Attachments

  • IMG-20250828-WA0480.jpg
    IMG-20250828-WA0480.jpg
    154.9 KB · Views: 27
AHADI ZA SAMIA NDANI YA SIKU 100 BAADA YA KUCHAGULIWA (ATAKAYOFANYA)​

1. Utazinduliwa rasmi mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio. Wakianza Wazee, Watoto, Wajawazito, na Wenye Ulemavu. Gharama za matibabu kwa makundi haya zitabebwa na mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.

2. Serikali itaanza kugharimia kwa asilimia 100 matibabu na vipimo vya Kibingwa kwa Wananchi wasio na uwezo kwa magonjwa yasiyoambukiza, ikiwemo Saratani, Figo, Moyo, Sukari, Mifupa na Mishipa ya Fahamu. Haya ndio magonjwa ya gharama kubwa kwa watu wasio na Uwezo

3. Serikali itaajiri Wahudumu wa Afya Wapya 5,000 ndani ya hizo siku 100, wakiwemo Wauguzi na Wakunga kusaidia zaidi afya ya Mama na Mtoto.

4. Serikali itapiga marufuku hospitali yoyote nchini kuzuia miili ya Marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu aliyopatiwa marehemu yazijalipwa. Serikali itakuja na mfumo mwingine wa kuhakikisha jamaa wa marehemu wanalipa gharama hizo.

5. Serikali itaandaa mkakati madhubuti wa Kisayansi kuhakikisha kila mtoto wa darasa la 3 anaweza kusoma, husebu na kuandika bila shida. Katika kutimizia hilo, Serikali itaajiri Walimu 7000 wa masomo ya Sayansi na Hisabati.

6. Uzinduzi wa mpango wa pamoja kati ya Waajiri, Vyuo vya Ufundi stadi (VETA) na vingine na Vyuo Vikuu ili kulinganisha mafunzo na mahitaji ya sekta za kipaumbele kama Nishati, TEHAMA, Viwanda vya kuongeza thamani na maeneo kama hayo na kufanya Wanafunzi wa VETA kuchukuliwa viwandani kufanya kazi za mazoezi

7. Serikali itatenga Bilioni 200 ili kuwezesha upatikanaji wa mitaji kwa Wafanyabishara ndogondogo na za kati na kuwezesha uendeshaji wa Kampuni changa (Start-Ups)

8. Tutarasimisha sekta zisizo rasmi yaani Mama Lishe , Maafisa Usafirishaji (Bodaboda), na bajaji na Wajasiriamali wadogo watarasimishwa ili waingie mfumo rasmi wa Serikali waweze kupata huduma zao na kuweza kushirikiana na Serikali

9. Uanzishwaji wa Programu maalimu za Mitaa ya Viwanda Wilayani yenye kulenga kuzalisha ajira kwa Watanzania kuongeza thamani ya bidhaa za Kilimo, Mifugo, Uvuvi, Madini, Misitu na uzalishaji wa vifaa vya ujenzi

10. Ujenzi wa gridi ya Taifa ya maji utaanza kwa lengo za kuwa na vyanzo vya uhakika vya maji. Vyanzo ni kutoka Ziwa Victoria, Tanganyika na Ziwa Nyasa pamoja na mito mikubwa

11. Jitihadi za matumizi ya Nishati safi zitaendelezwa ili kupunguza utegemezi wa kuni na mkaa ili kutunza mazingira

12. Uanzishwaji wa mifumo rafiki ya Uwajibikaji ambapo Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Watendaji wengine wa Serikali watatoa taarifa na kujibu maswali kutoka kwa Wananchi kwa njia ya Kidigitali na SMS za bure. Hiki ndicho kitakuwa kipimo cha Mawaziri - Ameulizwa ngapi, amejibu ngapi na kuchukulia hatua ngapi

13. Tutaendeleza mashauriano na Wadau wa Siasa, Taasisi za Kiraia na Sekta Binafsi, kwa kuunda Tume ya Kuanzisha Mazungumzo ya Maridhiano na Upatanishi na kuandaa mazingira ya kuanza kwa Mchakato wa Katiba Mpya.

Samia amesema "Kwa ujumla kwa miaka 5 ijayo serikali ya CCM imejipanga kuongeza nguvu kwenye ubora wa huduma zinazotolewa kusimamia haki, amani na utulivu wa kisiasa ili tuweze kukuza uchumi na kuleta maendeleo na ustawi wa Taifa."

Nimeona namba 13
Katiba mpya ilitakiwa iwe namba moja
 
Back
Top Bottom