Ahmed Ally atoa kauli kuhusu sakata la Yusuph Kagoma na Yanga SC

Ahmed Ally atoa kauli kuhusu sakata la Yusuph Kagoma na Yanga SC

mwanzoni mwa ligi nyau huwa ana furaha sana ana jihakikishia utawala katikati anaanza kupoa

mwishoni anaanza kutaka kufukuza viongozi
 
Hakuna kesi pale TFF. Mfumo hauruhusu double registration, lazima utamtema mmoja. Ila katika karatasi, hata timu kumi unaweza kusign, ambayo ni kesi ya kupelekwa polisi tu huku ukiendelea kuripoti na kucheza mpira
Bali (ll) litembee ausioo
 
Back
Top Bottom