ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Sisi tunashinda makombe kesi shindeni nyieKesi zenyewe wanashindaga basi? Ni kujitia tuu kazi wasizoziweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tunashinda makombe kesi shindeni nyieKesi zenyewe wanashindaga basi? Ni kujitia tuu kazi wasizoziweza
😃😃😃😃😃 haoooooSisi tunashinda makombe kesi shindeni nyie
Mchangieni Mzee wenu akate rufaa kashindwa kesi😃😃😃😃😃 haooooo
Anaipeleka FIFA...mjiandae..😃😃😃Mchangieni Mzee wenu akate rufaa kashindwa kesi
Tukiunganisha magoli jumla yatakuwa mangapi.Naona ww ndo unawenge..
6-0
5-0
4-0
4-1
2-0
Upo hapoo?? Mzee wa kuunga ...
Kwa Feisal ulidunda kwa Mayele mpaka alipokuja kwa Mwamposa .Yanga wanaroga sana wachezaji lakini wao sio Mungu.Kuna wakati ulozi wao unashindwa
Chama hajaja kuinufaisha Yanga . Chama kaja kula pensheni yake ya uzee Yanga .Simba ni sehemu ya mazoezi ya kujifua na kupika wachezaji wataokuja kuinufaisha yanga siku zijazo. Mfano chama
Chama hajaja kuinufaisha Yanga . Chama kaja kula pensheni yake ya uzee Yanga .Simba ni sehemu ya mazoezi ya kujifua na kupika wachezaji wataokuja kuinufaisha yanga siku zijazo. Mfano chama