Ahmed Ally atoa kauli kuhusu sakata la Yusuph Kagoma na Yanga SC

Hii wiki mashabiki wa makolo fc wameanza kunenepa ngoja ligi iendelee warudi kwenye miili yao
 
Tutawaachia mmpe experience halafu aje kwetu kutuletea makombe kabatini ilhali makabati yenu yako tupu
 
Huyu mpumbavu ameshawajua makolo amegeuka comedian akijua fika kwamba Yanga ya sasa haina mzaha na anajua mwisho wa msimu anaweza asiwe na kibarua. Lakini sisi wanayanga tunajua haya maneno ndio furaha ya makolo maama baada ya hapo wataishia kushangilia team pinzani na Yanga. Hivi mnaona kabisa huyu Kagoma ana nafasi pale Yqnga kiasi hicho? Ishu ni hatutaki dharau. Kama anapewa kichwa basi atafurahi.
 
Kuweweseka kubaya sana. Unaposa mke ukikataliwa unasema kwanza mke mwenyewe hazai, uliposa wa nini hahaaa
 
Simba ni sehemu ya mazoezi ya kujifua na kupika wachezaji wataokuja kuinufaisha yanga siku zijazo. Mfano chama
 
Huyo jamaa hapo ndio ana miaka 23? Kazi ipo aisee
 
IMG-20240910-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom