Ahmed Ally wa Azam TV Msemaji Mpya wa Simba

Kukaa karibu na watopolo haimaanishi na ww ni Utopolo
Mbona hata sisi madem zetu wanashabikia Uto na Siku ya Mwananchi tunawapa kampani kama kawa.
Hawa watu wamepagawa kabisa😅.
 
Kweli simba yangu imekufa, manara anatutesa sana
 
Yanga tumemaliza kazi mapema huyu tumeshampachika bado sehemu nyingine
 
Hata ukibadilisha fonts upumbavu wako hauwezi kujificha,acha kumpa kiki Luc Eymel
Nyinyi ndiyo maana Rage aliwaitwa mbumbumbu! Mna macho lakini hamuoni! Mna masikio lakini hamsikii. Siku zote huwa mnashtuka mkiwa mmeshachelewa.

Huyu ni Kijana wetu. Kama ilivyo kwa HD, Yusuph Mhilu, na wengineo wengi ambao tumewapa kwa mkopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…