Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Azam Media imeanza juzi, Simba imeanza 1936Hivi kumbe Simba ni dude kubwa hadi ukaache kazi Azam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam Media imeanza juzi, Simba imeanza 1936Hivi kumbe Simba ni dude kubwa hadi ukaache kazi Azam
Kumbe wakwetu😂😂
Kukaa karibu na watopolo haimaanishi na ww ni UtopoloKumbe wakwetu[emoji23][emoji23]
Hawa watu wamepagawa kabisa😅.Kukaa karibu na watopolo haimaanishi na ww ni Utopolo
Mbona hata sisi madem zetu wanashabikia Uto na Siku ya Mwananchi tunawapa kampani kama kawa.
Kumbe jamaa nae ndo wale wavhambuzi wa MCHONGOSafi, maana wasemaji wa timu ilifika kipindi wenye kujua kuchonga ngenga ndio wanapewa mashavu...
Kumbe jamaa nae ndo wale wavhambuzi wa MCHONGOSafi, maana wasemaji wa timu ilifika kipindi wenye kujua kuchonga ngenga ndio wanapewa mashavu...
SureYanga na Simba zinahitaji wasemaji waropokaji,wakurupukaji,wenye amsha amsha na mapenzi ya dhati kwa timu
Hata mie nimeshangazwa huyu najua team utopolo,. Sasa huku Unyamani kufanyaje? Aaaah atolewe bhana lol
Yani uto mnatia huruma.Yale yale ya Aden Rage! Haji Manara ni Yanga damu. Na jambo hili liko wazi kabisa kutokana na familia anayo tokea. Mikia fc alikuja tu kuwalia hela zenu kama ilivyo kwa Yusuph Mhilu, Hassan Dilunga, na sasa huyu Ahmed Ali.
Duh, pengo la Manara limekuwa gumu kuzibika. Wangemchukua GENTAMYCINE angewasaidia sana
Nyinyi ndiyo maana Rage aliwaitwa mbumbumbu! Mna macho lakini hamuoni! Mna masikio lakini hamsikii. Siku zote huwa mnashtuka mkiwa mmeshachelewa.
Huyu ni Kijana wetu. Kama ilivyo kwa HD, Yusuph Mhilu, na wengineo wengi ambao tumewapa kwa mkopo.
Mwambie huyo manara aoneshe vyeti.Duh, pengo la Manara limekuwa gumu kuzibika. Wangemchukua GENTAMYCINE angewasaidia sana