Ahmed Ally wa Azam TV Msemaji Mpya wa Simba

Tuweke ushabiki pembeni, pengo la Manara pale Simba bado halijaweza kuzibika. Pamoja na mapungufu yote aliyokuwanayo Manara lakini jamaa alikuwa na vibe kubwa kiasi ya kuifanya Simba kusikika na kusifika.

Kuhusu Hamed Ally, huyu ni mtangazaji na mchambuzi mzuri wa soka kwenye Luninga na Redio lakini anaweza asiwe bora sana linapokuja suala la kuvisemea vilabu vya simba na Yanga ambao mhusika anatakiwa kuropoka hata upumbavu ili mradi tu mashabiki wahamasike.
 
Unataka kusema Simba kwa sasa haisikiki?
 
Mtu hana hata wiki kwenye mjukumu, umeshamuona failure?
 
Yanga tumemaliza kazi mapema huyu tumeshampachika bado sehemu nyingine
Akili za Manara hizi..Kutwa kuandika Upoyoyo tu.

Kwahivyo Dr Msolla, Nugaz, Ghalib na Kaimu CEO Senzo ambaye aliletwa na Simba SC, hapo Bonde la Jangwa wamepachika?

Tunawaambiaga kwamba nyie wengine ni mna ugonjwa wa akili yaani.
 
Yaani nyie watu sijui kichwani kuna kuwa na nini, Yaani hata we unaandika hivi..!

Simba SC na Yanga ni Timu Kongwe, Takriban miaka 80 huko nyuma ilikuwa Hazifahamiki na Kusikika?

Leo hii Simba uje useme kuna pengo kwa sababu ya Haji, kwa vile alikuwa anafanya Uropokaji na Upumbavu.

Halafu nani kasema Simba au Yanga lazima kuwe na mtu wa kuropoka, ni Sheria au Kanuni..! Acheni mambo ambayo hayana Mantiki.
 
Kama atafika miezi sita kwenye kiti hicho nitasema kweli anajua mazingira ya soka ya Tanzania na hasa kwa klabu za Simba na Yanga...
 
Heee,,wacha wee.
Shabiki la Uto ilo lime comment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…