Ahmed Assas ana hati ya kusafiri ya kidiplomasia kwa hadhi ipi aliyo nayo? Nchi imeoza hii

Uzuri wa serikali ya mama ..Ukiiba ndio unaonekana mzalendo..hadi amalize kila waziri au Director wa taasisi atakuwa na ukwasi sio wa chini ya bilion 10

Means deani la taifa
 
Hapo angekuwa Mbantu mwenzenu hata awe na pesa kiasi gani asingepewa hiyo Passport lakini kwasababu huyu ni MuAsia aliyewekeza Bongo anapewa
 
Hii imeshangaza kweli kweli. Yaani kuna watu wanapewa hadhi ya diplomasia wakati si wana diplomasia
 
bora nyie makafiri wauaji na wezi au?? Msahau kupewa tena taifa
SIUNGI mkono masuala ya dini ila kuja ujinga mwingi sana unafanyika hapa Tz. Sio suala la dini.

Lakini pia nchi hii ni ya Wananchi sio yenu mnaosema msahau .
 
Najua... Lakini Uraia si jambo dogo kuliko hiyo Pasipoti ya kidplomasia.
Je unajua anaweza kupita mpaka wowote bila kukaguliwa?

Hao wenyewe hawa value uraia wabongo na asilimia 90 ya matajiri wana uraia pacha .
Uraia hata USA unaweza pata pale watakapoona una weza leta tija katika taifa au una kitu cha kipekee mfano wanamichezo, wavumbuzi n.k.
Je, USA wanaweza kukupa diplomatic passport ?
Mfano hata diddy, Eipsten na wangekuwa nayo wasingedakwa.


Hili halina justification hata kidogo, huu ni ujinga uliotukuka, tuukemee.
 
Hii nchi watawala wakiislamu wanaiharibu sana basi tu
Hapa ndio kwenye kiini cha tatizo la nchi hii..
CCM ni chama cha waislamu..angalia kina nani wanakifadhili hiki chama, hao ndio wenye chama! Rostam ni dalali wa nchi za middle east za kiislamu zenye maslahi kibiashara na uporaji wa rasilimali za nchi! wanamtumia yeye kupitia ccm sabab ndio waislamu wako wengi na wana nguvu na wanakimiliki chama..
Kitu cha kujiuuliza Rostam pamoja na utajiri anaosemwa nao kupitia hayo makampuni..taifa gas, caspian, kampuni ya simu ya Yas etc..haijulikani yeye ni nani kwenye hayo makampuni..ceo, md, manager au nani..? Pili, huwezi ona mtu mwingine mwenye sifa za ujuzi au maarifa km bodi member wa mojawapo ya makampuni mtu anayejulikana na umma, km vile labda waziri mstaafu au mbunge mstaafu..kila yakitajwa makampuni yake unamuona yeye rostam anajitokeza..! Tatu, makampuni yake yana ofisi sehemu zilizojificha huwezi kkuta yana ofisi sehemu ambayo iko wazi watu wote wanajua..huyu mtu km haya anayopanga kupitia uchaguzi huu yatafanikiwa..nchi hii haitakaa isimame!! Assignment ya kufanya kwa sasa kwa watanzania wote ni kuondokana na mtu huyu na mtandao wake wote! hata ikibidi kwa gharama ya machafuko yatakayomuondoa yeye na genge lake!
 
malofa wa masuala ya kidipolomasia wakikutana hupotoshana kindezi sana dah

ama kwa hakika jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza kinene πŸ’
We hujuwi kitu, wakati alipoingia magu watu wengi waliyokuwa na pass za kidiplomasia bila kuwa na kigezo hadhi ya kuwa nayo waliambiwa wazirudishe
Watu walizitumia kwa manufaa yao tu na wengine walikuwa wanaburuza sana mizigo haramu
Kisa wana diplomatic pport

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…