City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Sio mjumbe wa kamati kuu. Haata hivyo yeye hana nafasi yoyote ccm, mwenye nafasi ccm Ni kaka yake, pia sio mjumbe wa kamati kuu, Bali ni mnec. Kamati kuu ya ccm unaijua kweli? Au unaota?huyo ni mjumbe wa kamati kuu ya chama kinachotawala
Umeandika uongo ili upate faida ipi? Hili jukwaa kwa nini mnalifubaza?Ana sifa ya kuwa nayo
"A diplomatic passport is a special type of passport issued by a government to its diplomats and other officials who are representing the country on official business abroad"
Mkuu unaandika uongo kwa lengo lipi hasa? Unaijua vizuri diplomatic passport ni nini?? Hili jukwaa mbona mnalifanya lionekane halina maana? Hawa ndio wanaoruhusiwa kuwa na diplomatic passportNdio,tena inaruhusu hata mtu binafsi kupata hiyo pasipoti,mfano ni mwanamichezo mkubwa sana,ama ni tajiri sana,ama ni mtu ambae kafanya jambo kubwa kuiendeleza nchi na husafiri sana.Mfano marehemu mama yangu alikuwa na diplamatic pass,kwa mchango wake wa kuwasaidia watanzania wengi kwenda kusoma ujerumani,japo yeye alikuwa hana elimi ila aliolewa na mwanaume wa kijerumani
π‘we ume-quote outdated version ya "Tanzania standing order 2002", mambo yamebadilika dont be norrow minded, latest version ya standing order iliyopo ni ya 2009 ambayo kwa sasa pia imepitwa na wakati, ina vifungu kwa vingi ambavyo kwa sasa ni obsolete, vimepitwa na wakati, baadhi ya vifungu vipya kama posho, mishahara na stahiki zingine zinazotumika sasa, hazipo kwenye hiyo document ya 2009, so tafuta matoleo mbalimbali ya tanzania government gazetteπUmeandika uongo ili upate faida ipi? Hili jukwaa kwa nini mnalifubaza?
Wanaoruhusiwa kuwa na diplomatic passport ni Hawa tu
View attachment 3442030
View attachment 3442031
Naomba uweke hiyo ya 2009π‘we ume-quote outdated version ya "Tanzania standing order 2002", mambo yamebadilika dont be norrow minded, latest version ya standing order iliyopo ni ya 2009 ambayo kwa sasa pia imepitwa na wakati, ina vifungu kwa vingi ambavyo kwa sasa ni obsolete, vimepitwa na wakati, baadhi ya vifungu vipya kama posho, mishahara na stahiki zingine zinazotumika sasa, hazipo kwenye hiyo document ya 2009, so tafuta matoleo mbalimbali ya tanzania government gazetteπ
ubishi wa kijinga, kama unayo hiyo ya 2002, unashindwaje kupakua ya 2009 from the same source???soma nichoandika na pakua standing order ya 2009, nayo iko obsolete kwa baadhi ya issues π‘Naomba uweke hiyo ya 2009
Mkuu huenda umeleta kitu ambacho hukijui. Katika hii document uliyoleta hakuna inapozungumzia diplomatic passport na Hakuna inaposema kina nani wanapaswa kupata diplomatic passport.ubishi wa kijinga, kama unayo hiyo ya 2002, unashindwaje kupakua ya 2009 from the same source???soma nichoandika na pakua standing order ya 2009, nayo iko obsolete kwa baadhi ya issues π‘
u mean siijui standing order au sijui sijaelewa ulichoandika???Mkuu huenda umeleta kitu ambacho hukijui. Katika hiyk document uliyoleta hakuna inapozungumzia diplomatic passport na Hakuna inaposema kina nani wanapaswa kupata diplomatic passport.
Umeleta kitu ambacho wewe mwenyewe hukijui
Kwa kukusaidia nakuwekea pdf ya document uliyoleta. Sasa basi naomba usecreenshot inapozungumzia diplomatic passport
Hoja ilikua wanaopaswa kupata diplomatic passport, nilitegemea ulichoweka kiendane na diplomatic passport.u mean siijui standing order au sijui sijaelewa ulichoandika???
rudi ukasome jibu langu la mwanzo nilikuelekeza standing oders zote (latest 2009) zimepitwa na wakati, hazijawa updated, stahiki na taratibu nyingi zimekuwa obsolete, usi-quote taratibu za diplomatic passport, kwa sababu standing orde hata latest 2009 imepitwa na wakati, issues hii uitafute kwenye matoleo ya government gazette ambayao huytolewa kila mwezi
unajua mimi nimemuacha kwani kaonesha hana weledi,tuna safari ndefu sanaπ‘we ume-quote outdated version ya "Tanzania standing order 2002", mambo yamebadilika dont be norrow minded, latest version ya standing order iliyopo ni ya 2009 ambayo kwa sasa pia imepitwa na wakati, ina vifungu kwa vingi ambavyo kwa sasa ni obsolete, vimepitwa na wakati, baadhi ya vifungu vipya kama posho, mishahara na stahiki zingine zinazotumika sasa, hazipo kwenye hiyo document ya 2009, so tafuta matoleo mbalimbali ya tanzania government gazetteπ
Hili liko wazi na huwa sifichi kulisema hata mbele ya jamaa zangu ambao ni waislamu.Hii nchi watawala wakiislamu wanaiharibu sana basi tu
hujasema kwa nini hastaili diplomatic passpot, we uelewa wako hafifu unadhni hiyo ni hati ya viongozi wa serikali kuu na wanasiasa tu π‘Hoja ilikua wanaopaswa kupata diplomatic passport, nilitegemea ulichoweka kiendane na diplomatic passport.
Usizunguke sana, weka list ambayo ni updated ya wanaopaswa kupata diplomatic passport
Ndo mtaelewa Ile harambeeHaya ni machache yaliyopo hadharani. Hatuyajui ya sirini. Sote tunaijua hadhi ya kuwa na passport yenyewe hadhi ya kidiplomasia. Huyu mfanyabiashara anapitisha biashara ngapi kwa kutumia pass ya kidiplomasia aliyopewa? Waliyompa wamelipwa kiasi gani? Je serikali ni kweli haijui na kufahamu juu ya jambo hili.
Niseme tu kwa ufupi watanzania wenzangu mkiona mambo kama haya yapo hadharani basi mjue ya sirini yanatisha. Tuliombee taifa letu huyu mama kadhamiria iwe ni yeye au Wana Mtandao.
View attachment 3441509
Nimesema hastahili sababu hayumo kwenye Makundi yaliyoyotakiwa kupata passport hiyo, hayo Makundi nimekuwekea list yake. Nilitegemea wewe ungeweka list ambayo inapingana na hayo Makundihujasema kwa nini hastaili diplomatic passpot, we uelewa wako hafifu unadhni hiyo ni hati ya viongozi wa serikali kuu na wanasiasa tu π‘
Tanzanian government can grant diplomatic passports to citizens who meet specific criteria outlined in the Tanzania Passports and Travel Documents Act, 2002. These passports are typically issued to individuals holding certain high-ranking positions in government or those undertaking specific diplomatic or official duties.
- serikali si lazima ikutangazie sababu ya kumpa mtu diplomatic pssport kwa baadhi ya individuals ambao si viongozi wa serikali
Kaka yake anaitwa Salim ni mjumbe wa kamati Kuu. Wewe ndo hujuiSio mjumbe wa kamati kuu. Haata hivyo yeye hana nafasi yoyote ccm, mwenye nafasi ccm Ni kaka yake, pia sio mjumbe wa kamati kuu, Bali ni mnec. Kamati kuu ya ccm unaijua kweli? Au unaota?
Hili jukwaa kwa nini watu kwa sasa mnaandila uongo sana?