Ahmed Rajab akosoa historia ilivyoandikwa na Dr.Ghassany!!

Hatakujibu atazunguka zunguka. Hili swali nimemuuliza takribani miaka 2 hana jibu. Ni swali lililo njia panda, na hataki kulijibu. Kwa vile hawezi kujibu, sijui kama tutakosea tukisema anaeneza fitna.

Kuhusu Havard, cChenge kasoma Havard! ehe!

yeye kadai hapo juu kwenye post ya Ngongo kwamba swali lako lina mtego.. kwahio ndio kusema yupo radhi kuficha muono/maoni na jawabu lake ktk hilo kwasababu tu ya kukwepa MTEGO.
mkuu hebu toa huo mtego tupate jawabu uliza kwa namna nzuri.
Ahsanta
 
Last edited by a moderator:
Utasubiri sana hadi Rais wa awamu ya tano anamaliza muda wake Sheikh Mohamed Said hawezi kutoa jibu ingawa najua jibu lake analijua fika tatizo lipo katika kulitetea.

mzee wangu Dada faiza hapo juu amenifunza juu ya neno haram..
ahsante...
Swali na dukuduku langu bado lipo hapa.. JE YALE MAPINDUZI YA Z'BAR YALIKUWA SAHIHI AU SI SAHIHI!!??
Kwa muono na uchambuzi wako, nisaidie sana.. nakukubali wewe ni mwandishi bobezi na mtafiti.. niwie radhi mzee naomba jibu hata PM ikiwezekana maana hapa umesema unakwepa mtego.
Ahsanta
 
Last edited by a moderator:
yeye kadai hapo juu kwenye post ya Ngongo kwamba swali lako lina mtego.. kwahio ndio kusema yupo radhi kuficha muono/maoni na jawabu lake ktk hilo kwasababu tu ya kukwepa MTEGO.
mkuu hebu toa huo mtego tupate jawabu uliza kwa namna nzuri.
Ahsanta

Remote,
Tusongeni mbele na mnakasha.
Vijembe na hamaki zitatuvurugia mjadala ambao ulikuwa unakwenda vyema.
 
mzee wangu Dada faiza hapo juu amenifunza juu ya neno haram..
ahsante...
Swali na dukuduku langu bado lipo hapa.. JE YALE MAPINDUZI YA Z'BAR YALIKUWA SAHIHI AU SI SAHIHI!!??
Kwa muono na uchambuzi wako, nisaidie sana.. nakukubali wewe ni mwandishi bobezi na mtafiti.. niwie radhi mzee naomba jibu hata PM ikiwezekana maana hapa umesema unakwepa mtego.
Ahsanta

Ohoo sasa umetoka kwenye uharam na uhalali na umeingia kwenye "sahihi au si usahihi".

Kusema kweli mimi sijasahihisha kwa hiyo siwezi kujuwa kama ni "sahihi au si sahihi", hebu nipe historia ya hayo mapinduzi kutoka kwa wale walioioandika na wakaiona ni "sahihi" na kutoka kwa wale walioiandika wakaona "si sahihi" halafu mimi nizipitie nizihakiki kwenye usahihi na pale pasipo na usahihi kwa muono wangu.

Haya, nnazisubiri ili nianze kuhakiki ni "sahihi au si sahihi".

Jee, umewahi kumsoma Mshume Kiyate kwenye historia ya kudai Uhuru wa Tanganyika?
 
Bibie FaizaFoxy Sheikh Mohamed Said kashindwa kujibu swali jepesi kakimbilia kusema ni mtego haya basi kama ni mtego ufyatue usijemnasi mwingine hataki ananiletea mahojiano yake na Wasiwasi wa Azam tv sijui yameingiaje au yana mahusiano gani na mapinduzi matukufu ya Zanzibar yaliyoongozwa kwa umahiri mkubwa na Baba wa taifa la Zanzibar Field Marshal John Okello mgalatia kutoka nchi ya Uganda.

Leo ukapita Zanzibar hakuna mtaa,barabara au jengo la kumbukumbu ya Field Marshal John Okello Baba wa taifa la Zanzibar Sheikh Mohamed Said kashindwa kuonyesha uzalendo wa Field Marshal Okello katika kitabu chake "The life & time of Abdulwahid 1924 - 1968) huku akijua mahusiano ya karibu baina ya Tanganyika na Zanzibar.

Ngongo,
Punguza hamaki.
Angalia red light hapo juu.

Katika mahojiano yale ya Azam TV nimezungumza John Okello na dhana
ya Field Marshal.

Ikiwa hukusikiliza tatizo ni wewe si mimi.
Kitu kinakutafuna huwezi kusikiliza moyo unakuuma.

Umekuja tena na "Mapinduzi Matukufu."
Umekuja na "Baba wa Taifa la Zanzibar John Okello."

Unakuja na lugha za kubezana, "Mgalatia."
Mimi si mtu wa lugha hizo.

Hapa mimi nipo kufanya mjadala wa heshima.
Hilo la Okello katika kitabu cha Abdul Sykes sioni sababu ya kulielezea.
 
yeye kadai hapo juu kwenye post ya Ngongo kwamba swali lako lina mtego.. kwahio ndio kusema yupo radhi kuficha muono/maoni na jawabu lake ktk hilo kwasababu tu ya kukwepa MTEGO.
mkuu hebu toa huo mtego tupate jawabu uliza kwa namna nzuri.
Ahsanta
Remote naomba nilirudie swali hili tena. Nimeliuliza mara zaidi ya 50

Kwa faida ya wana ukumbi nalirudia

Utangulizi: Mohamed Said katika maandiko yake ameeleza mapinduzi ya Zanzibar yamefanywa na Nyerere
Kaonyesha majina ya watu waliohusika na kambi waliyowekwa(Kipumbwi)
Mohamed yupo katika rekodi akieleza siku ya mapinduzi Karume hakuwa Znazibar alikuwa Dar tena akionyesha alipolala

Mohamed yupo katika rekodi( tunazo) za maandishi JF na vitabuni na katika mihadhara akieleza mapinduzi kama njama za Nyerere kuua Uislam zanzibar.

Swali: Kwavile tunajua mapinduzi yaliandaliwa Tanganyika kwa lengo lolote liwalo, na kwavile Wazanzibar wanaapa kuyalinda na kuyadumisha kila.
a) Mapinduzi ya Znz ni jambo halali au ni jambo haramu?
b) Wznz wanaposhangilia mapinduzi Jan 12, wanaadhamisha jambo halali au haramu?
c) Nini kauli ya mwanazuoni na mwanamajilisi mwenzetu kuhusu znz, na akipewa nafasi atawaambia wznz kitu gani kuhusiana na mapinduzi, historia na mustakabali wa nchi yao?
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3.

Unaweza kurudia hata mara 100 ikawa kazi bure kwa faida ya Wanaukumbi hebu tuwekee hiyo quote ya Sheikh Mohamed Said ili tukate mzizi wa fitna.

Wanaukumbi wanasubiri bahati nzuri JF ina kumbukumbu za kila member.

Nipo kipembeni hapa nimejibanza nasubiri hiyo quote.
 
Last edited by a moderator:
Remote naomba nilirudie swali hili tena. Nimeliuliza mara zaidi ya 50

Kwa faida ya wana ukumbi nalirudia

Utangulizi: Mohamed Said katika maandiko yake ameeleza mapinduzi ya Zanzibar yamefanywa na Nyerere
Kaonyesha majina ya watu waliohusika na kambi waliyowekwa(Kipumbwi)
Mohamed yupo katika rekodi akieleza siku ya mapinduzi Karume hakuwa Znazibar alikuwa Dar tena akionyesha alipolala

Mohamed yupo katika rekodi( tunazo) za maandishi JF na vitabuni na katika mihadhara akieleza mapinduzi kama njama za Nyerere kuua Uislam zanzibar.

Swali: Kwavile tunajua mapinduzi yaliandaliwa Tanganyika kwa lengo lolote liwalo, na kwavile Wazanzibar wanaapa kuyalinda na kuyadumisha kila.
a) Mapinduzi ya Znz ni jambo halali au ni jambo haramu?
b) Wznz wanaposhangilia mapinduzi Jan 12, wanaadhamisha jambo halali au haramu?
c) Nini kauli ya mwanazuoni na mwanamajilisi mwenzetu kuhusu znz, na akipewa nafasi atawaambia wznz kitu gani kuhusiana na mapinduzi, historia na mustakabali wa nchi yao?

Nguruvi3,
Hivi unajua kuwa kwa CCM Zanzibar wameshindwa uchaguzi mara tatu?
Sasa hayo mapinduzi yanayolindwa ni yapi?

Umemsikia Mzee Moyo kasema nini kuhusu uchaguzi wa 2005?
 
Joka Kuu,
Huwezi kufananisha kitabu cha Dr. Harith Ghassany na kitabu cha Ramadhani
Mapuri
.

Hata siku moja.
Mmoja ni kada wa CCM na mwingine ni msomi wa Harvard.

Binafsi nina uzoefu mkubwa wa kazi za makada.

Kuna kitabu cha Historia ya TANU 1954 - 1977 kilichoandikwa na Kivukoni Ideological
College.

Ukiwa hujakisoma kitafute usuuzike na nafsii yako.
Kuna kitabu cha maisha ya Rashid Mfaume Kawawa alichoandika Dr. John Magoti
Mohamed Said: MAPITIO YA KITABU SIMBA WA VITA KATIKA HISTORIA YA TANZANIA RASHIDI MFAUME KAWAWA

Kitafute ustarehe.

Mimi sitaki kutia neno nakuachia wewe na Majlis mvisome vitabu hivyo kisha mlete
khabari hapa jamvini.

Sasa kumleta Mapuri...
Huu ni mzaha mbaya.

Msome Mapuri kisha msome Dr. Ghassany uone tofauti iliyopo - chalk and cheese.
Hao "outsiders" weshaandika.

Hakuna jipya litakalotoka kwao leo baada ya nusu karne.

Prof. Mohamed Bakari anasema ni bora tukaandika historia zetu wenyewe badala
ya kusubiri Wazungu watuandikie kwa kuwa wataandika mambo sisi hatukubaliani nayo.

Mudeer,

Kama kawaid yetu,

Ulipo wewe sisi tunaweka kambi,

NA NI WALE WALE SIKU ZOTE TULIOWAZOEA KINA NGURUVE,,

ha ha ha

hawashughulishi akili yetu,,ila tartiiiib sisi tupo pemben hapa tunapata ghahawa na kashata tunakusoma kwa utuvu sana
 
Remote naomba nilirudie swali hili tena. Nimeliuliza mara zaidi ya 50

Kwa faida ya wana ukumbi nalirudia

Utangulizi: Mohamed Said katika maandiko yake ameeleza mapinduzi ya Zanzibar yamefanywa na Nyerere
Kaonyesha majina ya watu waliohusika na kambi waliyowekwa(Kipumbwi)
Mohamed yupo katika rekodi akieleza siku ya mapinduzi Karume hakuwa Znazibar alikuwa Dar tena akionyesha alipolala

Mohamed yupo katika rekodi( tunazo) za maandishi JF na vitabuni na katika mihadhara akieleza mapinduzi kama njama za Nyerere kuua Uislam zanzibar.

Swali: Kwavile tunajua mapinduzi yaliandaliwa Tanganyika kwa lengo lolote liwalo, na kwavile Wazanzibar wanaapa kuyalinda na kuyadumisha kila.
a) Mapinduzi ya Znz ni jambo halali au ni jambo haramu?
b) Wznz wanaposhangilia mapinduzi Jan 12, wanaadhamisha jambo halali au haramu?
c) Nini kauli ya mwanazuoni na mwanamajilisi mwenzetu kuhusu znz, na akipewa nafasi atawaambia wznz kitu gani kuhusiana na mapinduzi, historia na mustakabali wa nchi yao?

kinachofanyika ni kuelezwa uhalisia kisha ukaachiwa msomaji ufanye maamuz yako kwa kutumia akili zako,

Ufanye maamuz ya kwamba je kile ulichokisoma kina make sense??

Hadidu za rejea ulizopewa na mwandishi zinakidh njaa yako ya akili??

Kama kilichoandikwa na mwandishi ni upuuzi je umekipuuza??au je umeshawahi kufikiri kuandika maandiko yako ya kupinga upotoshaji wa mwandishi kisha ukakisambaza kwa walimwengu wakaujua ukweli??

AU WEWE UMEAMUA KWA MAKUSUDI KABISA KUBAIKIA KUWA WA HUMU HUMU TUH JAMII FORUM UKICHARANGA ZAKO MAUNO KAMA DONDOLA MITHILI YA BINT YANGU ALIEACHIKA AITWAE REMOTE BINT KALA HASARA??

WHAT WILL YOU GAIN FROM MOHAMED SAID'S REPLY OF WHETHER YALE MAPINDUZ YALIKUWA HALALI AU HARAMU??

ALWAYS HUWA NAKUULIZA HILI SWAALI,HUWA HUTAKI KUNIJIBU...

LEO NAKUULIZA TENA...''ARE YOU GROWING WISER OR YOU ARE JUST GROWING TALL??...
 
We mtoto je! Unatambua kuwa wewe uko ktk kundi gani kati ya hayo mawili ulioyataja hapo juu?

Mkuu,,

Huyo bint yangu wa kufikia remote niachie mimi mwenyewe ninajua cha kumfanya nyumbani huyo,

Hana adabu huyo,,

Kaolewa na kuachika hii sasa ndoa ya tano na hiv sasa kazalishwa yupo tuh pale nyumbani namfuga yeye na vifaranga vyake visivyo na mbele wala nyuma,

Huu mjadala ni wa wakubwa zake ajabu yupo hapa sijui anafanya jambo gani,

Ana laana yangu huyo,muache tuh nakuomba we nisamehe mimi bure tuh,

:madgrin: :madgrin: :madgrin:
 
Teh teh teh teh.
Baba Remote usije muachia radhi tu mwanao.
Atakosa wachumba mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Remote naomba nilirudie swali hili tena. Nimeliuliza mara zaidi ya 50

Kwa faida ya wana ukumbi nalirudia

Utangulizi: Mohamed Said katika maandiko yake ameeleza mapinduzi ya Zanzibar yamefanywa na Nyerere
Kaonyesha majina ya watu waliohusika na kambi waliyowekwa(Kipumbwi)
Mohamed yupo katika rekodi akieleza siku ya mapinduzi Karume hakuwa Znazibar alikuwa Dar tena akionyesha alipolala

Mohamed yupo katika rekodi( tunazo) za maandishi JF na vitabuni na katika mihadhara akieleza mapinduzi kama njama za Nyerere kuua Uislam zanzibar.

Swali: Kwavile tunajua mapinduzi yaliandaliwa Tanganyika kwa lengo lolote liwalo, na kwavile Wazanzibar wanaapa kuyalinda na kuyadumisha kila.
a) Mapinduzi ya Znz ni jambo halali au ni jambo haramu?
b) Wznz wanaposhangilia mapinduzi Jan 12, wanaadhamisha jambo halali au haramu?
c) Nini kauli ya mwanazuoni na mwanamajilisi mwenzetu kuhusu znz, na akipewa nafasi atawaambia wznz kitu gani kuhusiana na mapinduzi, historia na mustakabali wa nchi yao?

Mtoto wa kiume kuwa na tabia za kuzuazua maneno ni dalili tasa sana.
Na huenda ikaathiri mpk baadhi ya viungo vya kimwili vya mwanamme.

We unaposema "Mohamed kasema bla..bla..bla.. kwa mwanamme anaejitambua mara zote anaweka na ushahidi ili muulizwa husika aweze kujibu hoja zako bila kipingamizi lkn tatizo la mtoto wa kiume kulelewa karibu na jiko ndio hili. Ile harufu ya michuzimichuzi lzm uwe nayo tu.

Hakuna msomi hapo Tz asiyetambua kuwa Nyerere NI ADUI wa Wazanzibari miaka yote.
Hakuna Kheri alowafanyia wazanzibari na mpaka leo wanazidi kudhulumiwa na serikali haramu iitwayo "jamuhuri ya Muungano".
Wewe ni mmoja wa ndumilakuwili.
Unajifanya kuonyesha wanaukunbi kuwa unajali yanayowasibu wazanzibari hali ya kuwa unatetea unyama uliofanywa na unaoendelea kufanywa na Hio serikali ya Tanganyika.

Bahati mbaya Mnafiki huwa hajifichi. Na wewe unatambulika hapa kwa unafiki wako.

Vipi unauliza mauwaji yaliofanyika wakati wa mapinduzi kuwa ni Halali au haramu?
Au kwa sababu una imanj Unaemuabudu aliuawa kwa ajili yako basi na Wale waliouawa huko Zanzibar hawana Maana sio?

Halafu tukisema Ugalatia Nuksi mnapiga kelele.
Amkeni waefeso, na tambueni kuwa KUUA YYT bila Hukumu ya haki Sio sawa na Ni HARAMU KUBWA Kabisa na wala huna haja ya kuwa msomi kulifahamu Hili.

Vitimoto vinaharibu vichwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom