Mkirua
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 5,647
- 2,505
Leo Sheikh kabanwa mbavu.
Sio yeye hata kikongwe Faiza kashikwa pabaya leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo Sheikh kabanwa mbavu.
Sio yeye hata kikongwe Faiza kashikwa pabaya leo.
Na umemsahau MS. na Mohamed Saidology yake
Mkirua,
Huenda wewe ni kuku mgeni hapa Majlis...
Ikiwa maana hujaielewa muulize Maalim Faiza.
Mohamed Said nawasoma sana tu. Sina kamba mguuni.
Nimeshangazwa namna mnavyoshindwa kujibu swali rahisi sana mnabaki tu kuruka ruka jukwaaani.
Baado tunauliza....Ni halali au si halali?
Mohamed, umeona kauli za Mkirua tu, vijana wako wakiporomosha mitusi unawapa like.Mkirua,
Ukitaka uwe mtu wa kuheshimiwa na uwe msomi makini chunga lugha yako.
Lugha, "kurukaruka," ni matusi, kejeli na kebehi.
Nitakufunza adabu ya mjadala.
Ingekuwa mie ni wewe swali hilo ningeliliuliza hivi:
"Mohamed Said nimeshanga namna mnavyoshindwa kujibu swali hili rahisi
mimi nakuomba utuoe jibu...ni halali au si halali?"
Ritz pia kaomba niweke ushahidi.Mtoto wa kiume kuwa na tabia za kuzuazua maneno ni dalili tasa sana.
Na huenda ikaathiri mpk baadhi ya viungo vya kimwili vya mwanamme.
We unaposema "Mohamed kasema bla..bla..bla.. kwa mwanamme anaejitambua mara zote anaweka na ushahidi ili muulizwa husika aweze kujibu hoja zako bila kipingamizi lkn tatizo la mtoto wa kiume kulelewa karibu na jiko ndio hili. Ile harufu ya michuzimichuzi lzm uwe nayo tu.
Hakuna msomi hapo Tz asiyetambua kuwa Nyerere NI ADUI wa Wazanzibari miaka yote.
Hakuna Kheri alowafanyia wazanzibari na mpaka leo wanazidi kudhulumiwa na serikali haramu iitwayo "jamuhuri ya Muungano".
Wewe ni mmoja wa ndumilakuwili.
Unajifanya kuonyesha wanaukunbi kuwa unajali yanayowasibu wazanzibari hali ya kuwa unatetea unyama uliofanywa na unaoendelea kufanywa na Hio serikali ya Tanganyika.
Bahati mbaya Mnafiki huwa hajifichi. Na wewe unatambulika hapa kwa unafiki wako.
Vipi unauliza mauwaji yaliofanyika wakati wa mapinduzi kuwa ni Halali au haramu?
Au kwa sababu una imanj Unaemuabudu aliuawa kwa ajili yako basi na Wale waliouawa huko Zanzibar hawana Maana sio?
Halafu tukisema Ugalatia Nuksi mnapiga kelele.
Amkeni waefeso, na tambueni kuwa KUUA YYT bila Hukumu ya haki Sio sawa na Ni HARAMU KUBWA Kabisa na wala huna haja ya kuwa msomi kulifahamu Hili.
Vitimoto vinaharibu vichwa.
We mtoto je! Unatambua kuwa wewe uko ktk kundi gani kati ya hayo mawili ulioyataja hapo juu?
Nguruvi3,
Hivi unajua kuwa kwa CCM Zanzibar wameshindwa uchaguzi mara tatu?
Sasa hayo mapinduzi yanayolindwa ni yapi?
Umemsikia Mzee Moyo kasema nini kuhusu uchaguzi wa 2005?
Yani unaulizwa lingine unajibu usichoulizwa..!! sasa wewe mwanazuoni huko ambapo huwa unatowa/wasilisha papers ndio huwa unawajibu hivyo!!??
Ritz pia kaomba niweke ushahidi.
Nina waasa muachane na hoja hiyo. Mnatambua huwa sisemi bila ushahidi, Mohamed Said kaka kimya hajaomba niweke ushahidi. Anachowaambia ni kuwa achanane na hayo
Narudia, mkitaka ushahidi muwe tayari kumsiitiri mzee.
Nimeamua kumkumbusha Mzee Said, nisingependa tuanze kuvuana nguo.
Mnajua wazi nina uwezo huo. Waungwana tuache ‘jibwa lililo lala lilale'vingienvyo msije kuniona mbaya. Nawa nasahi sana!
Mzee Said, je, ungependa nifungue makabrasha yangu hapa Magila, Muheza?
Unakumbuka hapo nyuma nilifungua makabrasha kwambi la Ritz yaliyonyofolewa na panya na mengine uchagoni. Kilichofuata ni dhahma!
Mimi sipendi kufungua,unanishauri vipi?
Mohamed, umeona kauli za Mkirua tu, vijana wako wakiporomosha mitusi unawapa like.
Mzee Said, tunajukumu la kulea vijana
Haya watu wameelewa ''adabu'', Mkirua kauliza, ni Mapinduzini halali au ni haramu?
Baada ya kusoma, ukaweka ‘like' ukiunga mkono matusiNguruvi3,
Mimi sina mtu hapa Majlis nachangia kama anavyochangia mtu mwingine yoyote yule.
Pili siwezi kuunga mkono matusi na ikiwa una ushahidi wa mie kuunga mkono matusi
ulete tafadhali.Kwanza mbona unauliza swali la kijinga , kama ni Alama Mohamed Said kaandika hayo si uweke nukuu ya alichokiandika? Tukuamini vipi wakati unayasema wewe bila nukuu yoyote?
Pili, ni wapi Alama Mohamed Said kasema "hajui" kwenye hilo jibu alilokupa (nnakuwekea chini hapa utuoneshe).
Tatu, ni wapi Alama Mohamed Said alipoandika "Nyerere mbaya sana", tuoneshe, ukishindwa, basi ujuwe hayo ni yako na si yake na huo Waswahili huwa tunauita ufataani.
Baada ya kusoma, ukaweka ‘like' ukiunga mkono matusi
Ritz pia kaomba niweke ushahidi.
Nina waasa muachane na hoja hiyo. Mnatambua huwa sisemi bila ushahidi, Mohamed Said kaka kimya hajaomba niweke ushahidi. Anachowaambia ni kuwa achanane na hayo
Narudia, mkitaka ushahidi muwe tayari kumsiitiri mzee.
Nimeamua kumkumbusha Mzee Said, nisingependa tuanze kuvuana nguo.
Mnajua wazi nina uwezo huo. Waungwana tuache ‘jibwa lililo lala lilale'vingienvyo msije kuniona mbaya. Nawa nasahi sana!
Mzee Said, je, ungependa nifungue makabrasha yangu hapa Magila, Muheza?
Unakumbuka hapo nyuma nilifungua makabrasha kwambi la Ritz yaliyonyofolewa na panya na mengine uchagoni. Kilichofuata ni dhahma!
Mimi sipendi kufungua,unanishauri vipi?
Mohamed, umeona kauli za Mkirua tu, vijana wako wakiporomosha mitusi unawapa like.
Mzee Said, tunajukumu la kulea vijana
Haya watu wameelewa ''adabu'', Mkirua kauliza, ni Mapinduzini halali au ni haramu?
Mohamed Said nawasoma sana tu. Sina kamba mguuni.
Nimeshangazwa namna mnavyoshindwa kujibu swali rahisi sana mnabaki tu kuruka ruka jukwaaani.
Baado tunauliza....Ni halali au si halali?
Ngoja nikufahamishe Kiislam, haram si kazi yetu ni kazi ya Mwenyeezi Mungu na kisha ainisha kipi haram na kisha sema nimekuhalalishieni vilivyo vyema.
Kuuwa mtu ambae hajahukumiwa kifo ni haram. Kula nguruwe ni haram. Kuzini ni haram. Na mengineyo mengi yaliyo haramishwa, pitia Qur'an utayaona na utajuwa vya haram ni vipi.
Hamna Muislam anaeweza kuharamisha ambacho Mwenyeezi Mungu hajaharamisha na kama hajaharamisha basi hicho ni hilal au kinaweza kuwa makruh. Makruh ni kile amabacho hakijaharamishwa lakini kina kirihisha wengine "karaha".
Uhalali na Uharamu kwetu hauamuliwi na mchungaji.
Hapo ndipo mnapokosea kila mara,siku zote mnaingiza mara sheria/kanuni za dini kwenye mambo yasiyohusu dini.Mnakwepa maswali ya msingi kwa kuweka uwongo wa dini hapa hakuna dini itasalimika na uwongo.Nikutakeni yote wenye hyo kariba ya kuchanganya dini na mada zisizo dini mwache huo ujuha,tufanye mijadala na tujibu maswali bila kukwepa kwa kutumia vigezo vya kidini.
Meneno mengi hata kwenye kanga tumezoe kuyasoma leta ushahidi .Ritz pia kaomba niweke ushahidi.
Nina waasa muachane na hoja hiyo. Mnatambua huwa sisemi bila ushahidi, Mohamed Said kaka kimya hajaomba niweke ushahidi. Anachowaambia ni kuwa achanane na hayo
Narudia, mkitaka ushahidi muwe tayari kumsiitiri mzee.
Nimeamua kumkumbusha Mzee Said, nisingependa tuanze kuvuana nguo.
Mnajua wazi nina uwezo huo. Waungwana tuache jibwa lililo lala lilalevingienvyo msije kuniona mbaya. Nawa nasahi sana!