Hatakujibu atazunguka zunguka. Hili swali nimemuuliza takribani miaka 2 hana jibu. Ni swali lililo njia panda, na hataki kulijibu. Kwa vile hawezi kujibu, sijui kama tutakosea tukisema anaeneza fitna.
Kuhusu Havard, cChenge kasoma Havard! ehe!
Kama ni hivyo mbona upo uwanjani bado?
mzee wangu Dada faiza hapo juu amenifunza juu ya neno haram..
ahsante...
Swali na dukuduku langu bado lipo hapa.. JE YALE MAPINDUZI YA Z'BAR YALIKUWA SAHIHI AU SI SAHIHI!!??
Kwa muono na uchambuzi wako, nisaidie sana.. nakukubali wewe ni mwandishi bobezi na mtafiti.. niwie radhi mzee naomba jibu hata PM ikiwezekana maana hapa umesema unakwepa mtego.
Ahsanta
Kyenju,Leo Sheikh kabanwa mbavu.
Utasubiri sana hadi Rais wa awamu ya tano anamaliza muda wake Sheikh Mohamed Said hawezi kutoa jibu ingawa najua jibu lake analijua fika tatizo lipo katika kulitetea.
Kweli bado nipo nashangaa shangaa na watamaji bado hawaamini kilichotokea.
yeye kadai hapo juu kwenye post ya Ngongo kwamba swali lako lina mtego.. kwahio ndio kusema yupo radhi kuficha muono/maoni na jawabu lake ktk hilo kwasababu tu ya kukwepa MTEGO.
mkuu hebu toa huo mtego tupate jawabu uliza kwa namna nzuri.
Ahsanta
mzee wangu Dada faiza hapo juu amenifunza juu ya neno haram..
ahsante...
Swali na dukuduku langu bado lipo hapa.. JE YALE MAPINDUZI YA Z'BAR YALIKUWA SAHIHI AU SI SAHIHI!!??
Kwa muono na uchambuzi wako, nisaidie sana.. nakukubali wewe ni mwandishi bobezi na mtafiti.. niwie radhi mzee naomba jibu hata PM ikiwezekana maana hapa umesema unakwepa mtego.
Ahsanta
Bibie FaizaFoxy Sheikh Mohamed Said kashindwa kujibu swali jepesi kakimbilia kusema ni mtego haya basi kama ni mtego ufyatue usijemnasi mwingine hataki ananiletea mahojiano yake na Wasiwasi wa Azam tv sijui yameingiaje au yana mahusiano gani na mapinduzi matukufu ya Zanzibar yaliyoongozwa kwa umahiri mkubwa na Baba wa taifa la Zanzibar Field Marshal John Okello mgalatia kutoka nchi ya Uganda.
Leo ukapita Zanzibar hakuna mtaa,barabara au jengo la kumbukumbu ya Field Marshal John Okello Baba wa taifa la Zanzibar Sheikh Mohamed Said kashindwa kuonyesha uzalendo wa Field Marshal Okello katika kitabu chake "The life & time of Abdulwahid 1924 - 1968) huku akijua mahusiano ya karibu baina ya Tanganyika na Zanzibar.
Remote naomba nilirudie swali hili tena. Nimeliuliza mara zaidi ya 50yeye kadai hapo juu kwenye post ya Ngongo kwamba swali lako lina mtego.. kwahio ndio kusema yupo radhi kuficha muono/maoni na jawabu lake ktk hilo kwasababu tu ya kukwepa MTEGO.
mkuu hebu toa huo mtego tupate jawabu uliza kwa namna nzuri.
Ahsanta
Ungejibu swali la halal au haram tu!? haya mengineyo uliyoweka hata hatuyahitaji.
Remote naomba nilirudie swali hili tena. Nimeliuliza mara zaidi ya 50
Kwa faida ya wana ukumbi nalirudia
Utangulizi: Mohamed Said katika maandiko yake ameeleza mapinduzi ya Zanzibar yamefanywa na Nyerere
Kaonyesha majina ya watu waliohusika na kambi waliyowekwa(Kipumbwi)
Mohamed yupo katika rekodi akieleza siku ya mapinduzi Karume hakuwa Znazibar alikuwa Dar tena akionyesha alipolala
Mohamed yupo katika rekodi( tunazo) za maandishi JF na vitabuni na katika mihadhara akieleza mapinduzi kama njama za Nyerere kuua Uislam zanzibar.
Swali: Kwavile tunajua mapinduzi yaliandaliwa Tanganyika kwa lengo lolote liwalo, na kwavile Wazanzibar wanaapa kuyalinda na kuyadumisha kila.
a) Mapinduzi ya Znz ni jambo halali au ni jambo haramu?
b) Wznz wanaposhangilia mapinduzi Jan 12, wanaadhamisha jambo halali au haramu?
c) Nini kauli ya mwanazuoni na mwanamajilisi mwenzetu kuhusu znz, na akipewa nafasi atawaambia wznz kitu gani kuhusiana na mapinduzi, historia na mustakabali wa nchi yao?
Joka Kuu,
Huwezi kufananisha kitabu cha Dr. Harith Ghassany na kitabu cha Ramadhani
Mapuri.
Hata siku moja.
Mmoja ni kada wa CCM na mwingine ni msomi wa Harvard.
Binafsi nina uzoefu mkubwa wa kazi za makada.
Kuna kitabu cha Historia ya TANU 1954 - 1977 kilichoandikwa na Kivukoni Ideological
College.
Ukiwa hujakisoma kitafute usuuzike na nafsii yako.
Kuna kitabu cha maisha ya Rashid Mfaume Kawawa alichoandika Dr. John Magoti
Mohamed Said: MAPITIO YA KITABU SIMBA WA VITA KATIKA HISTORIA YA TANZANIA RASHIDI MFAUME KAWAWA
Kitafute ustarehe.
Mimi sitaki kutia neno nakuachia wewe na Majlis mvisome vitabu hivyo kisha mlete
khabari hapa jamvini.
Sasa kumleta Mapuri...
Huu ni mzaha mbaya.
Msome Mapuri kisha msome Dr. Ghassany uone tofauti iliyopo - chalk and cheese.
Hao "outsiders" weshaandika.
Hakuna jipya litakalotoka kwao leo baada ya nusu karne.
Prof. Mohamed Bakari anasema ni bora tukaandika historia zetu wenyewe badala
ya kusubiri Wazungu watuandikie kwa kuwa wataandika mambo sisi hatukubaliani nayo.
Remote naomba nilirudie swali hili tena. Nimeliuliza mara zaidi ya 50
Kwa faida ya wana ukumbi nalirudia
Utangulizi: Mohamed Said katika maandiko yake ameeleza mapinduzi ya Zanzibar yamefanywa na Nyerere
Kaonyesha majina ya watu waliohusika na kambi waliyowekwa(Kipumbwi)
Mohamed yupo katika rekodi akieleza siku ya mapinduzi Karume hakuwa Znazibar alikuwa Dar tena akionyesha alipolala
Mohamed yupo katika rekodi( tunazo) za maandishi JF na vitabuni na katika mihadhara akieleza mapinduzi kama njama za Nyerere kuua Uislam zanzibar.
Swali: Kwavile tunajua mapinduzi yaliandaliwa Tanganyika kwa lengo lolote liwalo, na kwavile Wazanzibar wanaapa kuyalinda na kuyadumisha kila.
a) Mapinduzi ya Znz ni jambo halali au ni jambo haramu?
b) Wznz wanaposhangilia mapinduzi Jan 12, wanaadhamisha jambo halali au haramu?
c) Nini kauli ya mwanazuoni na mwanamajilisi mwenzetu kuhusu znz, na akipewa nafasi atawaambia wznz kitu gani kuhusiana na mapinduzi, historia na mustakabali wa nchi yao?
We mtoto je! Unatambua kuwa wewe uko ktk kundi gani kati ya hayo mawili ulioyataja hapo juu?
Mkuu,,
Huyo bint yangu wa kufikia remote niachie mimi mwenyewe ninajua cha kumfanya nyumbani huyo,
Hana adabu huyo,,
Kaolewa na kuachika hii sasa ndoa ya tano na hiv sasa kazalishwa yupo tuh pale nyumbani namfuga yeye na vifaranga vyake visivyo na mbele wala nyuma,
Huu mjadala ni wa wakubwa zake ajabu yupo hapa sijui anafanya jambo gani,
Ana laana yangu huyo,muache tuh nakuomba we nisamehe mimi bure tuh,
:madgrin: :madgrin: :madgrin:
Remote naomba nilirudie swali hili tena. Nimeliuliza mara zaidi ya 50
Kwa faida ya wana ukumbi nalirudia
Utangulizi: Mohamed Said katika maandiko yake ameeleza mapinduzi ya Zanzibar yamefanywa na Nyerere
Kaonyesha majina ya watu waliohusika na kambi waliyowekwa(Kipumbwi)
Mohamed yupo katika rekodi akieleza siku ya mapinduzi Karume hakuwa Znazibar alikuwa Dar tena akionyesha alipolala
Mohamed yupo katika rekodi( tunazo) za maandishi JF na vitabuni na katika mihadhara akieleza mapinduzi kama njama za Nyerere kuua Uislam zanzibar.
Swali: Kwavile tunajua mapinduzi yaliandaliwa Tanganyika kwa lengo lolote liwalo, na kwavile Wazanzibar wanaapa kuyalinda na kuyadumisha kila.
a) Mapinduzi ya Znz ni jambo halali au ni jambo haramu?
b) Wznz wanaposhangilia mapinduzi Jan 12, wanaadhamisha jambo halali au haramu?
c) Nini kauli ya mwanazuoni na mwanamajilisi mwenzetu kuhusu znz, na akipewa nafasi atawaambia wznz kitu gani kuhusiana na mapinduzi, historia na mustakabali wa nchi yao?
Na umemsahau MS. na Mohamed Saidology yakeNguruvi3, Mohamed Said,
..historia ya Znz ni vizuri ikaandikwa na outsiders ambao hawataelemea upande mmoja
..kinyume cha hapo tutabaki na historia za Ramadhani Mapuri vs Dr.Harith Ghassany.