Ahsante Kikwete, utajiri mpya Tanzania

And all the best and great things happened by chance during Kikwete's.

Similarly, others did not have that chance, or they were damned unfortunate? Especially the quarter century of a failed doctrine.

You, philosophical? My behind.
 
And all the best and great things happened by chance during Kikwete's.

Similarly, others did not have that chance, or they were damned unfortunate? Especially the quarter century of a failed doctrine.

You, philosophical? My flat behind.

ain't my cup of tea!!
 
ain't my cup of tea!!

Girlfriend, I knew it.

I know you like muscled boys like in your avatar.

Have you seen the video I posted above? Ain't you excited knowing that we possess the best graphite deposits thanks to Kikwete.
 
...We must be realistic.

...Tupunguze mahaba niue.
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

JK alitengeneza mazingira ambayo yamesababisha wawekezaji kuja na kuanza kufanya utafiti wa madini na hatimaye madini yamepatikana.
...Haya unayoyaona yanafanyika sasa ni hitimisho la tafiti. Madini ya aina tafauti tafauti, yanafahamika kuwapo nchini kwa muda mrefu sasa. Kinachofanyika ni ku establish commercial viability yake. Lazima wafanye "utafiti" upya.
 
...Una amini Tesla anaweza jenga kiwanda cha magari Tanzania, simply kwa sababu kuna graphite?
 
Wewe mbona hujafanya?
 
umenyimwa UDC NINI ok mwenzako Lizaboni kashikwa ugoni mitandaoni yaan tapeli wa ccm.

swissme
 
...Una amini Tesla anaweza jenga kiwanda cha magari Tanzania, simply kwa sababu kuna graphite?

Unaonesha hata article hujaisoma au hujaelewa ulichokisoma.

Pia Unaonesha hata vijana wanaoifanikisha Tesla huwaelewi.

Nyie ndiyo walewale walemavu wa uelewa na kila kizuri akifanyacho fulani basi kwenu donge.

Hayo ni maradhi yaliyopo mioyoni, hatuwashangai.
 
...Una amini Tesla anaweza jenga kiwanda cha magari Tanzania, simply kwa sababu kuna graphite?

Hapana siamini. Pamoja na kuwa kujengwa kiwanda hutegemea sana ukaribu wa malighafi ila pia kuna sababu nyingine. Ambazo nadhani kwa Tanzania hatuna kwa sasa. kwahiyo atakapopiga hesabu zake akaona ni nafuu zaid kusafirisha malighafi ifuate hizo sababu nyingine(utaalam,teknolojia,umeme wa uhakika na hata pengine tax incentives).

Basi atafanya kile chenye unafuu kibiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…