Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Sasa JK anahusika vipi na uwepo wa rasilimali tulizonazo!?
Wewe nawe!
Wa dini moja.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa JK anahusika vipi na uwepo wa rasilimali tulizonazo!?
Wewe nawe!
unless you're dumber than I thought, which I still don't think you are....you seem to be horribly missing the whole point - the doctrine stuff. maybe I have been too philosophical, but I thought you would be equal to it.
re your argument above, JK should thank BWM (a Mwalimu's handpick) for installing the all important foundations. mzee Ruksa created a free-for-all jungle and it became messy. then came BWM who put it back on track, which we all know JK wouldn't have been able to - why? the laissez-faire stuff!
we have to count ourselves lucky - seriously lucky - that there was a BWM between mzee Ruksa & JK.
And all the best and great things happened by chance during Kikwete's.
Similarly, others did not have that chance, or they were damned unfortunate? Especially the quarter century of a failed doctrine.
You, philosophical? My flat behind.
...We must be realistic.Hili ni la Kikwete.
Magufuli ntampongeza atapohakikisha viwanda vya betri vinaletwa Mtwara na malighafi inatumika hapo viwandani.
Ni wakati muafaka wa Magufuli kuhakikisha tunaenda hatua kumi mbele kwa kuwakinaisha makampuni kama Tesla waje kuunda magari ya betri hapa Tanzania kwani malighafi muhimu kabisa kwa hayo magari ndiyo hiyo Kikwete katuvumbulia, sasa kazi kwetu.
...This is BS.Nafikiri kipindi cha kikwete ndipo tafiti nyingi zilifanyika na kugundua rasilimali tunazozisikia sasa.
...Haya unayoyaona yanafanyika sasa ni hitimisho la tafiti. Madini ya aina tafauti tafauti, yanafahamika kuwapo nchini kwa muda mrefu sasa. Kinachofanyika ni ku establish commercial viability yake. Lazima wafanye "utafiti" upya.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
JK alitengeneza mazingira ambayo yamesababisha wawekezaji kuja na kuanza kufanya utafiti wa madini na hatimaye madini yamepatikana.
It means what?...This is BS.
...Never mind.It means what?
...Una amini Tesla anaweza jenga kiwanda cha magari Tanzania, simply kwa sababu kuna graphite?Dada FF naomba uache kujibishana na hao watu unaharibu huu uzi wako. Huu uzi ni wa kitaalam na unahusu maendeleo ya kiteknolojia (Next generation elecric cars). Na hii ni taaluma yangu na nilibahatika kufanya field yangu huko nikiwa chuo. Naomba usiuharibu. Tuongelee yaliyomo kwenye mada
...Haya unayoyaona yanafanyika sasa ni hitimisho la tafiti. Madini ya aina tafauti tafauti, yanafahamika kuwapo nchini kwa muda mrefu sasa. Kinachofanyika ni ku establish commercial viability yake. Lazima wafanye "utafiti" upya.
umenyimwa UDC NINI ok mwenzako Lizaboni kashikwa ugoni mitandaoni yaan tapeli wa ccm.Na waandishi wa habari mtakaoiandika habari hii magazetini mkumbuke credits kwa JF na FaizaFoxy aliyewajuza. Maana wengi wenu mmekalia kutafuta habari za udaku tu, habari muhimu za uchumi na malighafi inayobadilisha aina ya magari duniani ipo hapa kwetu Tanzania na yenye ubora kuliko yoyote ingine duniani nyie hamna hata habari kwa kuendeleza udaku wa kujazana ujinga tu.
...Una amini Tesla anaweza jenga kiwanda cha magari Tanzania, simply kwa sababu kuna graphite?
poor England MalikiaEver heard of Volt Resources before?
...Una amini Tesla anaweza jenga kiwanda cha magari Tanzania, simply kwa sababu kuna graphite?
hahahahaha FaizaFoxy have mercy on your so called girlfriend you made my dayGirlfriend, I knew it.
I know you like muscled boys like in your avatar.
Have you seen the video I posted above? Ain't you excited knowing that we possess the best graphite deposits thanks to Kikwete.
Ndio uzuri wa Dada FF yaani ukimjia kichwa kichwa ni lazima akuache na cha kulalia...hahahah!= ladha