Hakika, wakristo waliowengi hasa hawa wasomi uchwara kwa kulalamika wako mbele sana.
Waliiandama Azam, wakafika ZBC , in short when it come to religion, they left their logic behind.
Kwani Kuna Shekhe aliyemwagiwa tindikali ?
Kwani Kuna msikiti uliochomwa moto ?
Kuna vijana popote kwenye kanisa lolote wanaofundishwa kareti au kutumia silaha ?
Je, Kuna Makambi popote yanayoandaa wapiganaji wa kikristo hapa Tanzania
Jibu la ukweli na la haki ni kwamba hakuna .
Mtoa mada hajazungumzia Dini .
Amezungumzia undugu na kupeana rasilimali kimichongo . Waarabu wakimuona mwafrika kabla ya kujitlbulisha kuwa ni dini gani wa anawaona wote kama nyani .
Watakaa kwa muda tu ila watakuja kufukuzwa kama mbwa koko .
Hakuna dini iliyoleta rasilimali zilizojaa Tanganyika ambazo kwa karne nyingi waarabu na wazungu walizivamia kwa mitutu ya bunduki na kuzipeleka kwao.
Kama kuna dini yenye waumini wasiojua kuwa Mungu aliziumba hizi rasilimali kabla ya dini zote basi hiyo dini ni ya mashetani na haina msaada wowote kwenye jamii yoyote .
Ni upumbavu kuleta mambo ya kidini kwenye masuala muhimu ya kitaifa .
Ni wazi kuwa huu ujinga ndio unaoliangamiza taifa .
Watu wenye mawazo ya kipumbavu yaliyojificha kwenye dini wanaposhika madaraka ni hatari sana .
Wakristo linapokuja suala la haki ni wajibu wao kusema .
Waislam wengi ni wanafiki na sio siri unafiki ni hulka mbaya sana . Hata mwenyezi Mungu haipendi .
Kuna roho mbaya sana iko nyuma ya mafisadi kwa mgongo wa dini . Nani Nyerere ,Sokoine ,Merema ,Mengi, Mkapa ,Lowasa , JPM .
Nini kipo nyuma ya haya matukio na kwa lengo gani ?
Tuangalia ;
JK alipokua anaingia madarakani aliwadanganya waislam kuwa ataanzisha mahakama ya kadhi waislam wakashangilia .
Alipoingia madarakani hakutimiza ahadi yake . Waislam badala ya kum wa ajibisha mtu aliyewarubuni wanaanza kuhamishia shutuma zao kwa wakristo ambao hata jiwe hawarushii mtu zaidi ya kuweka hoja mezani .
Wajinga na wanafiki hawaoni upole wa wakristo .
Wakristo hawana vurugu na mtu hata akimtukana Mungu sembuse mambo ya siasa .!! Ingekuwa ni kupambana mbona Ukristo unatukana sana lakini huwezi ukasikia wakristo wakimwagia mtu tindikali ?
Kuna mtoto mdogo alikojole Korani tena katika ubishani wa kitoto lakini kilichotokea ni historia . Huo ndio Uislam. Hakuna ukristo wa kupanga matukio . Ndio maana ukrasto una madhehebu zaidi ya Elfu tano na hakuna anayehangaiaka na dhehebu la mtu wa zaidi ya kupingana kwa maneno na maandiko.
Sasa kujaza watu ujinga kuwa ukristo unapambana kwenye siasa ni upumbavu.
Wakristo hata pakiwa na group la kanisa ukiinguza mambo ya siasa wanakutoa . Ukiona kiongozi wa kikristo anaongelea mambo ya siasa ujue anaionya serikali na wasiotii Anguko linakuja maana wakristo ni wawakilishi wa kazi wa Mungu hapa duniani. Ukristo ni ufalme wa Mungu hivi ni wajibu wao kuonya viongozi wanaokosea bila kujali dini .
Utawala unakosolewa kwa sababu haifuati sheria . Mambo mengi yanafanyika kwa utashi na malengo
ya mtu mmoja jambo ambalo halifai kokote duniani .Hakuna nchi inayoendeshwa kwa mtu anavyotaka bila kufuata sheria .
Rushwa imetawala sana awamu hii hili halina ubishi .
Mama anatoa rushwa sana ili atawale ,sasa ni halali kwa uslam kupamaba rushwa kwa sababu tu mnawakomoa wakristo ?
Kwanini mashekhe walipokamatwa na JK tena baada ya makanisa kuchomwa moto na mapadri kumwagiwa tindikali kule zanzibar ,waislam hawakupiga kelele ? Lakini Wa apinzani akiwemo Lisu walipiga kelele kuwa wapelekwe mahakamani kama hakuna ushahidi waachiwe.
Labda mtuambia kwamba islam inaamini Rasilimali za nchi ni mali ya Rais peke yake na anauza anavyotaka . Huo mfumo Haupo Tanzania na haufai na ni mfumo wa kifisadi .