Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

Hawa jamaa sijawaelew!!! Nimeajiriwa mwaka 2014 na kufikia mwezi wa 8 mwaka huo huo nikaanza kulipa deni ambalo jumla yake lilikuwa mil, 11 cha ajabu naangalia jana nimekuta nadaiwa milion 8 na ni miaka 7 sasa wanakata pesa yao[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nipo kwenye computer ila bado inagoma, sijui shida iko wapi?

Kuna mdau alisema username inaji-generate automatically kutoka kwenye F4index number lakini holaaa.

Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
Naona site yao bado hauipo sawa. Mimi nimeishia kujidajipi baada ya kuhangaika kama siku tatu hivi. Sasa hivi nahangaika kufika sehemu ya deni langu. Kila niki click inasema "try again"
 
Hawa jamaa sijawaelew!!! Nimeajiriwa mwaka 2014 na kufikia mwezi wa 8 mwaka huo huo nikaanza kulipa deni ambalo jumla yake lilikuwa mil, 11 cha ajabu naangalia jana nimekuta nadaiwa milion 8 na ni miaka 7 sasa wanakata pesa yao[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Mwajiri wako ameanza kupeleka pesa yako lini?

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
 
Kuna yeyote aliepata statement kwa njia ya email? Masaa 72 yamekata, sijapata email na niki log in kwa acc na kuomba statement, naambiwa hakuna mtandao

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
Kuishi hizi nchi maskini raha sana, kila kitu stress..
Internet strength shida
Website availability/accessibility shida

Yaani wanataka twende tukajazeni kwenye maofisi yao, watupangishe foleni siku nzima halafu bado hupati huduma stahiki.

I love my country

Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Nilienda jana statement walinipa tulikuwa wengi wengine deni limepungua ila kwa upande wangu limeongezeka wameniwekea VALUE RETENTION FEE ya mwezi wa NNE 2021 kama laki NNE hivi kwahiyo hata sielewi nini kinaendelea sijui mama Samia
Hukutaka kuhoji?
 
Tangu 2014 boss mwez wa tisa salary slip inaonyesha wanakata mpaka leo

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Mkuu, shida sio salary slip kusoma je, makato yako yalifika bodi??

Niliwahi fanya kazi kampuni flan ambapo makato ya bodi na Nssf hayakuwa yakipelekwa. Angalia statement yako itaonesha mtiririko wa michango ulivyo

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
 
Taarifa:

Ni kwamba bodi wameifunga website yao baada ya watu wengi kuingia frequently kufuatilia madeni yao yamebaki kiasi gani au kama wamemaliza.

Mie pia nimeshindwa kuangalia,wamesema tarehe 1 ndo wataifungua.

Nahisi mie nimemaliza ghafla,maana deni lao lilibaki M 2 tu.
 
Kwahyo kiongozi unataka kuniambia makato yangu hayajafika??! Maana deni lilikuwa ml.11 lakni mpaka mwaka huu mwezi wa 4 nilikuw nimebakiza ml.4 kwa mujibu wa salary slip,,,deni lilikuwa linapungua

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Taarifa:

Ni kwamba bodi wameifunga website yao baada ya watu wengi kuingia frequently kufuatilia madeni yao yamebaki kiasi gani au kama wamemaliza.

Mie pia nimeshindwa kuangalia,wamesema tarehe 1 ndo wataifungua.

Nahisi mie nimemaliza ghafla,maana deni lao lilibaki M 2 tu.
Jitie moyo mkuu.
Mimi ilibaki 2.1 mill nilipoenda ofisini kwao jana nimekuta 2.6 mill.
Nilipowauliza kulikoni wakaniambia kuna VRF ya mwezi 4 kabla mama hajafuta mei mosi
 
Back
Top Bottom