Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

Hivi baada ya kumaliza deni la HESLB, unatakiwa kufanya nini ili usiendelee kukatwa na board?
 
Leo 450k nzima inakatwa kwenye mshahara wangu kulipia hilo deni
 
Kwa upande wangu naiona Bodi ya Mikopo kama 🚮 tu.

Haiwezekani mnufaika umalize deni lote walilokuwekea kwenye salary slip, halafu baada ya miaka kadhaa mbele, waanze tena kukukata kwa kisingizio eti deni bado halijaisha. Huu ni upunguqni.
 
Asee ninachangamoto kubwa na hawa bodi mwenye kunielekeza are dm
 
Back
Top Bottom