ziloi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 758
- 1,063
Kuna ofisi za kanda kwenye baadhi ya mikoa, Nenda kwenye website yao kwenye sehemu ya contact us kama sikosei, utakuta wameorodhesha anuani za ofsi zao za kanda na sehemu zilipo. Dodoma zipo njia ya kuelekea UDOM katika jengo la ofsi za mkaguzi wa mahesabu. (Jendengwa area)Kwa wale wa mikoani tunafanyaje?
Kwani kuna ugumu gani kwa bodi ku-update deni la mdaiwa huko hazina (kwenye salary slip)?