tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,016
- 1,946
Hawa wajamaa watatuua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini wakuue?Hawa wajamaa watatuua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sanaaaaa!Twende naye kwa step, atatufikisha mbali sana. Ni mtu wa haki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SanaaaaaaBi mkubwa anaupiga mwingi!
Kabisa! Hadi achoke mwenyewe! [emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ndiye tunatakiwa kumkumbusha Ndugai aliambie Bunge kuwa, mama atake asitake tutamwongezea muda wa kuongoza bila kikomo
Kabisa mkuu! Hureeee!Shetani wa kike wewe.
Shwain!
Hurreee Mama Samia[emoji123]
Sasa hivi anabutuabutua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sanaaaaaa
Sie wenye akili tulikuwa tunawacheka tuSasa hivi anabutuabutua
Mi nikiangalia dashboard ya HELSB pesa imepunguzwa hata mwaka huu but deni kwenye salary slip na dashboard ya account yangu bodi liko tofauti. Salary slip bado liko deni la zaman b4 kuondolewa kwa VRFDah sahihi mkuu nacheki sasa hapa naona makato yamefanyika sasa walau nina amani sikulijua hili kabla! Ahsante sana kwa kunitoa ujinga huu!
1. Ndiyoo wanatoaa barua kupeleka kwa mwajiri iloo arekebishe deniiVip wakuu, naomba nipate mawili matatu kuhusu deni la Bodi.
1.Ni kweli wanatoa barua ya ku update deni kwenye salary slip?
2.Inachukua muda gani ku process hiyo barua?
3.Inatakiwa uende na documents zipi ili upewe hiyo barua?
4.ofisi za Bodi ya mkopo zipo maeneo gani hapa Dar?
Ahsante
1. Ndiyoo wanatoaa barua kupeleka kwa mwajiri iloo arekebishe denii
2. Ni muda wa chini ya dakika 10
3. Nenda...na index no ya form four, check no yako, Anwani ya mwajiri..
4. Kwa Dar ofisi ziko Mwenge
Mi nikiangalia dashboard ya HELSB pesa imepunguzwa hata mwaka huu but deni kwenye salary slip na dashboard ya account yangu bodi liko tofauti. Salary slip bado liko deni la zaman b4 kuondolewa kwa VRF
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
1. Ndiyoo wanatoaa barua kupeleka kwa mwajiri iloo arekebishe denii
2. Ni muda wa chini ya dakika 10
3. Nenda...na index no ya form four, check no yako, Anwani ya mwajiri..
4. Kwa Dar ofisi ziko Mwenge
Rubbish, kwani huu Ni mkopo wa biashara? This is basically a service to the poor... ilinidi itolewa bure kwa mwenye sifa. Elimu Ni haki ya kila mtu especially your generationSwala la kulinda thamani ya pesa lilitakiwa kuachwa na cha msingi ingepunguzwa asilimia........ yani ukope leo laki halafu baada ya miaka kumi ulipe laki hiyo hiyo? Aiseee
Nimecheki online kupitia dashboard ya bodi! Kwenya salary sleep bado naonekana nadaiwa mil 4 wakati wao bodi ni 1.4 mil. Last week nilipomuuliza afisa utumishi akaniambia niwasiliane na bodi wanipe barua ya deni langu halisi ili Afisa utumishi alirekebishe sasa maajabu ninapocheki bodi mwezi huu wa saba deni langu halina tofauti na mwezi wa saba yaani ni ile ile 1.4 mil ilihali mwezi wa saba nimekatwa makato kama kawaida!
Mwenge sehemu gani mkuu1. Ndiyoo wanatoaa barua kupeleka kwa mwajiri iloo arekebishe denii
2. Ni muda wa chini ya dakika 10
3. Nenda...na index no ya form four, check no yako, Anwani ya mwajiri..
4. Kwa Dar ofisi ziko Mwenge
Kwa wale wa mikoani tunafanyaje?Mwenge sehemu gani mkuu
Nasikia mikoani wana branches, sina uhakika kama ni mikoa yoteKwa wale wa mikoani tunafanyaje?
Kwani kuna ugumu gani kwa bodi ku-update deni la mdaiwa huko hazina (kwenye salary slip)?