Kama deni lako lilikuwa la muda mrefu wamepunguza makato makubwa jamaa akimaliza 2013, alikuwa anadaiwa 8,500,000/= amepunguziwa hadi 5,200,000/=Hata ningepunguziwa hii ingetoa ahueni. Hiyo system inaangalia 'sura'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama deni lako lilikuwa la muda mrefu wamepunguza makato makubwa jamaa akimaliza 2013, alikuwa anadaiwa 8,500,000/= amepunguziwa hadi 5,200,000/=Hata ningepunguziwa hii ingetoa ahueni. Hiyo system inaangalia 'sura'
Umewaza kindezi....uliza wenye madai serikalini hata yakikaa miaka 20 kama huwa inaongezeka thamani! Zaidi zaidi utakatwa kodi. Ili hiyo sheria iwe fair basi ifanye kazi pande zoteSwala la kulinda thamani ya pesa lilitakiwa kuachwa na cha msingi ingepunguzwa asilimia........ yani ukope leo laki halafu baada ya miaka kumi ulipe laki hiyo hiyo? Aiseee
Umewaza kindezi....uliza wenye madai serikalini hata yakikaa miaka 20 kama huwa inaongezeka thamani! Zaidi zaidi utakatwa kodi. Ili hiyo sheria iwe fair basi ifanye kazi pande zote
Kama deni lako lilikuwa la muda mrefu wamepunguza makato makubwa jamaa akimaliza 2013, alikuwa anadaiwa 8,500,000/= amepunguziwa hadi 5,200,000/=
Ili muda uonekane mrefu, je unapimwa na nini?Kama deni lako lilikuwa la muda mrefu wamepunguza makato makubwa jamaa akimaliza 2013, alikuwa anadaiwa 8,500,000/= amepunguziwa hadi 5,200,000/=
Ili muda uonekane mrefu, je unapimwa na nini?
Walinikopesha 8,480,000/- kufikia 2014.
Mpaka sasa nimelipa 7,129,850 kufikia June.
Kwa sasa deni linasomeka 2,506,336.
Je nimepunguziwa nini hapo?
Ndio maana nikasema, hiyo system inaangalia ujirani?
Nililiona hivi majuzi kwenye akaunti yanguHilo den umelionaje?maana hawatoi statement kwa sasa
Wadau heslb waliahidi kutuma statement kwenye e-mail za wanufaika je wamefanya hivyo?
Nipo bodi jamaa kawaka hapa balaa,kajaza fomu tangu j3 but mpaka leo statement hapewi.Mwaka jana nilikua nadaiwa mil sita leo nadaiwa milion 4 na laki nane sijajua nini kinaendelea hadi sasa!!
Nililiona hivi majuzi kwenye akaunti yangu
Nipo njiani kwenda bodi huku hasira zimenijaa,yani leoo ndo nitaitiwa police kama nikikuta mambo tofauti na vile natarajia.Maana nahisi nimemaliza deni lao baada ya mama Samia kuondoa makato kandamizi.
Nitawajuza
Ndiyo mkuu nimekaa nao na kuelekezana.Nimekuta kama nilivyotegemea,deni limeisha hadi raha.Mungu ambariki huyu mama Samia kwakweli.Kuna watu nimekuta wamelipa hadi wanaidai bodi tena,jamaa akaauwasha moto anataka hela yake apewe muda huohuo,tukabaki tunacheka watu wote.Akatulizwa akaambiwa utaratibu akajaza fomu atarudishiwa.So ukiwa umemaliza unapewa liquidation letter unaipeleka kwa mwajili wako ili akuondoe kwenye makato.Tupé mrejesho umeonana nao watu wa loan board?
Je hiyo statement ina deni dogo kuliko nililoonyeshwa online?Ufatilie wakupatie statement
Yaweza kuwa hivo,nimekuta watu wanalalamika kitu hii.Ni kufika tu bodi ndo utajua ni lipi deni lakoJe hiyo statement ina deni dogo kuliko nililoonyeshwa online?
Ndiyo mkuu nimekaa nao na kuelekezana.Nimekuta kama nilivyotegemea,deni limeisha hadi raha.Mungu ambariki huyu mama Samia kwakweli.Kuna watu nimekuta wamelipa hadi wanaidai bodi tena,jamaa akaauwasha moto anataka hela yake apewe muda huohuo,tukabaki tunacheka watu wote.Akatulizwa akaambiwa utaratibu akajaza fomu atarudishiwa.So ukiwa umemaliza unapewa liquidation letter unaipeleka kwa mwajili wako ili akuondoe kwenye makato.
Mungu mbariki mama Samia
Yaweza kuwa hivo,nimekuta watu wanalalamika kitu hii.Ni kufika tu bodi ndo utajua ni lipi deni lako
HELSB ni takataka kama takataka nyingine tu wanajilipa mijihela miingi kwa hela za wanufaika wa mkopo ,hapa ndiomaana riba zilikua juu sana kuliko hata kwenye mabenki ya biashara, walitakiwa wauawe woote hawa jamaa, wana roho mbaya utadhani wao sio watanzania