the locksman
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,102
- 355
Mkuu deni lako limeishaje?Ndiyo mkuu nimekaa nao na kuelekezana.Nimekuta kama nilivyotegemea,deni limeisha hadi raha.Mungu ambariki huyu mama Samia kwakweli.Kuna watu nimekuta wamelipa hadi wanaidai bodi tena,jamaa akaauwasha moto anataka hela yake apewe muda huohuo,tukabaki tunacheka watu wote.Akatulizwa akaambiwa utaratibu akajaza fomu atarudishiwa.So ukiwa umemaliza unapewa liquidation letter unaipeleka kwa mwajili wako ili akuondoe kwenye makato.
Mungu mbariki mama Samia
Ni baada ya ya kutoa,
1. Administration fee
2. Penalty 10%
3. VRF ?
Tusaidie kujibu hapa tukapambane nao