Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

Wala hata mie nilikua nalalamika kupitia wenzangu, na hata sijawahi kupata mie, hata pale enyewe sikusema napewa, ila nlkua nasema chuoni kwetu jinsi watu hela waliyopewaa,

Mie sina tatzo na watu kupokea mkopo, tena napenda wanufaika wawe wengi, ila tyuuh wakati wa malipo walipe bila kelele.

Au kosa langu ni lipi mommy.
Kosa lako ni kusema watu walipe kama vile wamekataa kulipa.

Tatizo lipo kwenye VRF. VRF ilipitishwa na bunge mwaka 2013, na ikawahusu hadi wale wa miaka ya nyumba, ambao mkataba wao haukuwa na VRF. Je, hauoni ni kuvunja mkataba?
 
Swala la kulinda thamani ya pesa lilitakiwa kuachwa na cha msingi ingepunguzwa asilimia........ yani ukope leo laki halafu baada ya miaka kumi ulipe laki hiyo hiyo? aiseee
Mbona wao ukiwadai hawaweki hiyo ya ongezeko la thamani?
 
Nilichogundua baada ya kuingia kwenye hyo portal ni kwamba Deni limeisha na ninawadai Kama laki mbili na pointi. Kitu kingine ninachokiona yani chuo na course niliyosoma ni tofauti kabisa na walichoandika kwenye hiyo statement, Sasa najiuliza hata Hilo Deni nililolipa ni langu kweli? Mi nilikuwa miongoni mwa wanafunzi waliopata multiple admission lakini wao kwenye statement yao wameandika chuo ambacho nilikiacha badala ya chuo nilichosoma. Heslb sidhani Kama wapo serious na kazi yao nahisi Kuna ubambikizwaji mkubwa Sana wa madeni
Mkuu nimeshindwa kucheki deni langu, naomba msaada

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Kosa lako ni kusema watu walipe kama vile wamekataa kulipa.

Tatizo lipo kwenye VRF. VRF ilipitishwa na bunge mwaka 2013, na ikawahusu hadi wale wa miaka ya nyumba, ambao mkataba wao haukuwa na VRF. Je, hauoni ni kuvunja mkataba?
Sasa inatakiwa lawama wazitoe kuanzia waliomaliza chuo 2012 kurudi nyuma, au nakosea?
 
Ingia kwenye website yao ujisajili utatumia index no ya kidato Cha nne then ukishajisajili utaweza kuona statement yako na hata Kama ukitaka kuwalipa kabisa utaona control number pia
Kama hapo kwenye circle....mbona username inagoma uki-click??
Screenshot_20210628-205035_Samsung%20Internet.jpg


Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom