Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Huwa sipendi matusi lakini ubishi wako ni wa kijinga. Hivi ndivyo ulivyoandika:
Umeandika kuwa "sheria huwa ni retrospectively". Ulitakiwa kuandika hivi "sheria huwa SIYO retrospective". Kwa sababu wewe ni idiot wa kwanza kabisa huoni tofauti, huoni kosa lako. Baada ya hizo "..." unasema, "now onwards sio kurudi nyuma". Kama siyo kurudi nyuma, kwa nini unasema, "sheria huwa ni retrospectively" Kama hauni contradiction hiyo, basi kaa nao huo mpaka siku unaingia kaburini.
Hata kama ujinga ulioundika ungekuwa sahihi, inatakiwa kuwa "sheria huwa ni retrospective", siyo "....retrospectively". Tatizo siku hizi mavyuo yako mengiiiii. Hata msiostahili kwenda vyuoni mnakwenda tu kwa vile hosteli zipo kwa ajili yenu.
Halafu eti unajaribu ku-define neno retrospective kwangu. Mbona huku-define "restrospectively" uliyoitumia hapo juu? Hata Kiswahili kinakushinda. Ni "siyo" siyo "sio".

U can use google Idiot.,
Sheria ilipobadilishwa hamna kurudi nyuma ni kwenda mbele..
mkataba wenu hamjarudi nyuma ni kuanzia hapo kwenda mbele
Similar wth situation ya Mh Samia
View attachment 1832269