Ulisha register?Mimi inagoma kuingiza username.
Kwenye username iki click keyboard haiji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulisha register?Mimi inagoma kuingiza username.
Kwenye username iki click keyboard haiji
Nimefanikiwa, bado inagoma kuingiza username, niki click keyboard haiji ili niandike username.Halafu index number iwe na digits 4.Mfano SO308.OO76.1998.Hizo za katikati kuna vyeti vya zamani vina digit 3 hapo ongeza 0 itajipa
SipangiwiExactly. Bi mkubwa ni msikivu
Nimekupata vizuri.Ulisha register?
Je,serikali imejiwekea hiyo 6% ya VRF kwenye deni la mshahara linaloidai kwa miaka zaidi ya 5 sasa?Swala la kulinda thamani ya pesa lilitakiwa kuachwa na cha msingi ingepunguzwa asilimia........ yani ukope leo laki halafu baada ya miaka kumi ulipe laki hiyo hiJ
Yani shida sio kulipa kabisa shida sio kulipa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea na wee muhanga wa hilo vanga? Acheni kulia lia bhana, lipeni madeni tena kwa riba kubwa, ili wanufaika wawe wengi,
Wanafunzi wahitaji wa mikopo ni wengi msisahau hilo pia.
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan hii habari mlivoipokea wallah naona SAMIA kawagusa penyewe palipouma, yeye kafuta kabisa had kovu la jeraha. MweeeeehYani shida sio kulipa kabisa shida sio kulipa....
Nimekopeshwa m6 sawa, penalty m1, retention fee m4, deni likawa m11 sawa sijakataa....ila kwanini hiyo m11 tena isiishe? Yani kila mwaka inaongezeka tu? Upimbi huo, kwakweli Samia abarikiwe kwa hilo....ntahakikisha naclear kabla hajaja mwingine akatufanyia umagufuli.
Kwakweli katutendea haki, anabarikiwe sana....[emoji23][emoji23][emoji23] yaan hii habari mlivoipokea wallah naona SAMIA kawagusa penyewe palipouma, yeye kafuta kabisa had kovu la jeraha. Mweeeeeh
Kwakweli mama tukalimalizie tu kabla hajaja mwendawazimu mwingine akatufanyia umafia.Yani shida sio kulipa kabisa shida sio kulipa....
Nimekopeshwa m6 sawa, penalty m1, retention fee m4, deni likawa m11 sawa sijakataa....ila kwanini hiyo m11 tena isiishe? Yani kila mwaka inaongezeka tu? Upimbi huo, kwakweli Samia abarikiwe kwa hilo....ntahakikisha naclear kabla hajaja mwingine akatufanyia umagufuli.
Mi pia nimejaribu mara kadhaa iko suspendedHatimaye Website yao wameifunga, iko suspended sijui kuna shida gani?
Sasa Samia ndiye alietengeneza hilo tatizo ? Mbona unataka kulaum pasipo stahili?Huu mtindo wa kutengeneza tatizo halafu unalitatua halafu watu wanakusifu ni upumbavu wa hali ya juu sana aiseh!!
Acha wivu wa kike.....ulikatazwa usiombe ? kama hukua na vigezo vya kupata mkopo si ukae kimya tuMlivokua mnapokea mkopo na boom, mlikua mnaona raha san, ila kulipa mnapiga mayowe,
Acheni ujinga, mlipe madeni ya HELSB.
Jmn sheria huwa ni restrospectively...now onwards sio kurudi nyuma
mana makato ya nyuma yalikuwepo kisheria vile vile..
shuleni huwa mnasomea nini jmn
HAKUNA kumsifia mama wala wizara, Sisi huku mahakama, mawakili binafsi wanapata fedha nyingi na hakuna anayelipa, kama kweli HELSB wajanja bas waje waombe mfumo wa mawakili uunganishwe na bodi, kwamba wakili hapati leseni yake kama hajaanza kulipa kila mwaka.Kama tunavyojua, kwa mujiba wa katiba yetu Mheshimiwa Rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu yeyote yule.
Hivyo basi tunapokuwa na rais msikivu tena anayefanyia kazi maoni na malalamiko ya watu wake ni baraka kubwa kwa taifa
Kwa sasa ukiangalia statement ya deni lako kwenye mfumo wa bodi ya mikopo (olas.heslb.go.tz ) utaona kuwa wameondoa tozo zote za VRF, yaani hata zile walizotoza zamani (kabla ya agizo la rais) wameziondoa
Wanufaika wa mikopo tunamshukuru sana Mheshimiwa rais kwa kusikia na kuyafanyia kazi maombi yetu. Tulilalamika sana wakati wa mwendazake lakini tukajibiwa kuwa 'hapangiwi'.
Sasa ni muda wa kila mnufaika mwenye uwezo wa kulipa na alipe, tena wamerahisisha unaweza kulipa hata kwa M-pesa na malipo yako yanaonekana hapohapo kwenye mfumo.
Pia niwakumbushe wadau, twendeni vizuri na mama, naiona katiba mpya hususani wakati wa ungwe yake ya pili Mungu akimjaalia na wananchi wakampa ridhaa.
---- update----
Wadau wengi wameuliza namna ya kuangalia, naamini bodi watatoa maelekezo zaidi lakini kwa hapo ngoja nieleze kwa ufupi.
Ingia kwenye website
View attachment 1830801
Kwenye dashboard (juu kushoto) chagua loan repayment
View attachment 1830804
Kisha baada ya apo, chagua beneficiary/lonee/ employee login
View attachment 1830805
Baada ya hapo ingiza namba yako ya form four kwa format inayo onekana
View attachment 1830806
System itaiangalia namba hiyo kwenye database ya bodi na kukuketea jina lako mnufaika.
Baada ya hapo utathibitisha kuwa ni jina lako kweli kwa ku click hilo jina.
Baada ya hapo utajaza taarifa muhimu kama namba ya simu, email na taarifa za mwajiri pamoja na kutengeneza password.
Ukikamilisha utakua umeshatengeneza account kwenye mfumo wao
Baada ya hapo uta log in as registered user na utaona taarifa zako zote za deni lako. Pia utaona control namba unayoweza kuitumia kulipa mwenyewe.
Natumaini inaeleweka.
NB sijaweka picha za hatua za mwisho kwakua zinaonesha taarifa binafsi za mnufaika.