Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

Jmn sheria huwa ni restrospectively...now onwards sio kurudi nyuma

mana makato ya nyuma yalikuwepo kisheria vile vile..

shuleni huwa mnasomea nini jmn
Hatujasoma Sheria sisi. Tumesomea machuma
 
Ni hiyo milioni tatu laki tatu na kitu.

Disbursed amount ni pesa uliyokopeshwa.

Total amount repayed ni hela uliyo lipa mpaka sasa

Total charges ni tozo zao, na hapo ndio palikua na uchawi, ulikua unakuta mamilioni hapo.

Deni lako = (Disbursed amount + total charges) - repayed
Sasa mkuu hiyo "total charges amount" wamemcharge km laki tano na kitu. Je hii ni inaitwaje? na ni asilimia ngapi ya deni ?
 
Je; wale waliokatwa pamoja na hizi VRF watarehesheaa fedha au wanafanyaje?
 
Jmn sheria huwa ni restrospectively...now onwards sio kurudi nyuma

mana makato ya nyuma yalikuwepo kisheria vile vile..

shuleni huwa mnasomea nini jmn
kwa hiyo kujibu/kujua hiyo retrospective tu basi kwa hilo unajiona msomi...acha ujinga mkuu.....ndo maana tunaulizana ili kupata mawazo ya wengine
 
Mama Mungu amjaliie neema kubwakubwa na ndogondogo, kwangu mil 3,700,000/= ambazo nilikuwa nimeporwa kijambazi kabisa zimepungua aisee.Sasa hii statement ambayo wamesema watatuma within 72 hours nadhani kwa email itakua valid kwenda kurekebisha makato kweli?Dah ,nimeteseka sana. Asante mother
 
Msaada jamani. Upande wangu inagoma. kila nikianza kuandika "S" namba ya mtihani inasema incorect. Tazama picha hapo chini.

NB. Natumia simu ya android, kwa browser ya opera mini.

Msaada Tafadhali!

Screenshot_20210626-230500.jpg
 
Msaada jamani. Upande wangu inagoma. kila nikianza kuandika "S" namba ya mtihani inasema incorect. Tazama picha hapo chini.

NB. Natumia simu ya android, kwa browser ya opera mini.

Msaada Tafadhali!

View attachment 1831557
Halafu index number iwe na digits 4.Mfano SO308.OO76.1998.Hizo za katikati kuna vyeti vya zamani vina digit 3 hapo ongeza 0 itajipa
 
Uliporwa milioni 3.7 kivipi mkuu?
Ila Heslb walikuwa pasua kichwa

Back
Top Bottom