Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

Swala la kulinda thamani ya pesa lilitakiwa kuachwa na cha msingi ingepunguzwa asilimia........ yani ukope leo laki halafu baada ya miaka kumi ulipe laki hiyo hiyo? aiseee
Unaumwa wewe sio bure, mbona ukiwa unawadai wao hata ipite miaka mia hiyo thamani haiangaliwi?
 
Acha wivu wa kike.....ulikatazwa usiombe ? kama hukua na vigezo vya kupata mkopo si ukae kimya tu
Wee acha kupanick bila 7bu za msingi, vigezo nikikidhi haswaah, ila sikuomba mkopo. Na still maisha ya chuo hayanisumbui upande wa financial,
Acha kelele lipa madeni ya HELSB, ili wengine wanufaike pia.
 
Ushauri ni vyema bod ya mikopo kama kweli imepunguza kwa namna hiyo wawasiliane na ofisi za utumishi watume majina na kiasi cha madeni cha wanaokatwa
Hili ndilo wanapaswa kufanya.
 
Wee acha kupanick bila 7bu za msingi, vigezo nikikidhi haswaah, ila sikuomba mkopo. Na still maisha ya chuo hayanisumbui upande wa financial,
Acha kelele lipa madeni ya HELSB, ili wengine wanufaike pia.
Sasa kipindi kile mmepewa pesa kidogo ulikuwa unalia lia nini kama sio mnufaika wa mikopo hiyo?
 
Wala hata mie nilikua nalalamika kupitia wenzangu, na hata sijawahi kupata mie, hata pale enyewe sikusema napewa, ila nlkua nasema chuoni kwetu jinsi watu hela waliyopewaa,

Mie sina tatzo na watu kupokea mkopo, tena napenda wanufaika wawe wengi, ila tyuuh wakati wa malipo walipe bila kelele.

Au kosa langu ni lipi mommy.
 
Kuna mahali mtoa mada alisema hataki kuulipa huo mkopo hadi ukasema ilipwe? Au hoja mezani hujaielewa[emoji2369][emoji2369]
 
Hapana hajasema kuwa hataki kulipa, ila mie nilichosema ni kuwa walipe bila kuwa na kelele.
Au ngoja nkuulize swali, wakati wa kuomba mkopo si kunakuwa na kanuni na tararibu zake, vipi kuhusu utaratibu was marejesho? Huenda watu walikua wana sign mambo ambayi hawayajui.
Sorry naomba nieleweshe. Samahan lakini.
 
Huna unachokijua kwahiyo ni bora ukaficha ujinga wako
 
Account ya bodi suspended. Sijui wataiachia lini watu tuna hamu ya kulipa.
Jamii forum ni kisima cha taarifa
 
Hapana hajasema kuwa hataki kulipa, ila mie nilichosema ni kuwa walipe bila kuwa na kelele.
Au ngoja nkuulize swali, wakati wa kuomba mkopo si kunakuwa na kanuni na tararibu zake, vipi kuhusu utaratibu was marejesho? Huenda watu walikua wana sign mambo ambayi hawayajui.
Sorry naomba nieleweshe. Samahan lakini.
I thought unaongelea jambo unalolielewa.
Bye.
 
Wewe mwenyewe haujui unachosema. Restrospective = ina-apply kwa miaka ya nyuma pia. Sheria haitakiwi ku-apply retrospectively. Lakini kwa Tanzania inawezekana. Sheria ya makato ya 15% ili-apply retrospectively. Hata wale ambao tulimaliza zamani kabla ya hiyo sheria ya Ndugu-gay kupitishwa, tunakatwa 15%. Hii haikuwa kwenye mikataba yetu. Kwa hiyo muuliza swali ana haki ya kuuliza. Hapa kwetu neno la Rais ndio sheria.
U can use google Idiot.,
Sheria ilipobadilishwa hamna kurudi nyuma ni kwenda mbele..

mkataba wenu hamjarudi nyuma ni kuanzia hapo kwenda mbele
Similar wth situation ya Mh Samia
B723921A-0401-4B1D-A957-3A79A6E59B74.jpeg
 
kwa hiyo kujibu/kujua hiyo retrospective tu basi kwa hilo unajiona msomi...acha ujinga mkuu.....ndo maana tunaulizana ili kupata mawazo ya wengine
Sio usomi wala nini
Isnt it obvious...?

nani arudi kuwalipa hela?

kwa uchumi upi?.
Mnaona kbs kuna uwezekano wa kulipwa hela?.
 
Sawa lkn awaambie hao watu wa bodi kuwa mkopo ni haki wa kila raia.Kusema kisa umesomesha mtt wako shule ya kulipia unyimwe mkopo si saw.
Naamini katika mwendelezo huo hata wale watt waliosoma shule za private na kuchaguliwa vyuo hususan kwa masomo ya sayansi hawataachwa bila mikopo kwakuwa ni wataalamu wetu wa baadae
 
Back
Top Bottom